Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USIHUZUNIKE KWA KUACHWA, UTAMPATA AKUPENDAE

MARA nyingi baadhi ya wapenzi wanaoachwa na wenza wao wamejikuta wakigeuka kuwa watu wa huzuni katika sehemu kubwa ya maisha yao baada ya kuachwa. Huzuni hiyo husababisha wengine kupunguza ufanisi wao wa kazi, wakati mwingine humfanya mtu kuwa dhaifu katika maamuzi na fikra zake, huku wengine wakijiona kana kwamba hawana thamani kabisa katika huu ulimwengu.
Inafikia wakati, wengine huchukia watu wa jinsia ile iliyowatenda,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

2015 NA MPENDE AKUPENDAE, ALIYEKULIZA 2014 AENDE ZAKE!

Tunakutana tena kupitia safu hii namba moja kwa kuandika makala kali zinazogusa maisha yetu ya kimapenzi. Ni matumaini yangu kwamba u-mzima na kwa wale wakristo wenzangu nina imani mnaendelea vyema na maandalizi ya Sikukuu ya Christmas. Mpenzi msomaji wangu, tunaukaribia mwaka mpya wa 2015. Endapo tutakuwa miongoni mwa wale watakaouona mwaka huo tukiwa wazima, kwanza ni lazima tumshukuru Mungu. Tutakuwa na kila sababu ya kufanya...

 

11 years ago

Habarileo

Ajinyonga baada ya kuachwa na mkewe

MKAZI wa Kijiji cha Vikonge, Kata ya Mpandandogo wilayani Mpanda, Joseph Lukato (52) amejinyonga kwa kujitundika mtini akitumia mtandio wa mkewe baada ya kughadhabika na kuachwa naye.

 

11 years ago

GPL

JACK WOLPER: SIJAWAHI KULIA KUACHWA

Na Mwandishi Wetu
STAA wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper amefunguka kuwa tangu aanze kujihusisha na masuala ya mapenzi hajawahi kulia. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper ambaye ana muonekano wa ‘kigumu’, alisema siku zote anaamini katika kupambana hivyo hawezi kumlilia mwanaume hata iweje. “Sijawahi kulia pale nilipoachwa wala kuachana na mwanaume,...

 

11 years ago

Habarileo

ALAT walia kuachwa uteuzi Bunge la Katiba

JUMUIYA ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), imedai haikutendewa haki kwa kutoshirikishwa na kupewa nafasi ya uwakilishi katika Bunge Maalumu la Katiba. Madai hayo yametolewa wakati ambapo tayari Bunge hilo limeanza rasmi mkutano wake mjini Dodoma.

 

9 years ago

Michuzi

SERIKALI YAKANUSHA KUHUSU HAZINA KUACHWA TUPU

Na Jovina Bujulu-Maelezo
Serikali imekanusha taarifa zinazosambazwa na baadhi ya vyombo vya habari kuwa Rais mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuwa amekomba fedha hazina na kuiacha Serikali bila fungu lolote.
Hayo yamesemwa jijini dare es salaam na Kamishina wa Bajeti kutoka Wizara ya Fedha Bwa. John Cheyo huku akiwataka wananchi kupuuza habari hiyo kwani hazina ukweli wowote.
“Hazina inazo pesa za kutosha  na tunajivunia kufanya uchaguzi wa mwaka huu,  kununua mashine za BVR...

 

10 years ago

GPL

UKIONA UNACHUNGUZWA NA KUFUATILIWA SANA, KAA MKAO WA KUACHWA!

Mpenzi msomaji wangu, kilio cha wengi walio kwenye uhusiano ni kuhisi wanasalitiwa na wapenzi wao waliotokea kuwaamini sana. Kasi ya wapenzi kusalitiana imekuwa ikishika kasi kila siku kiasi cha baadhi kuhisi bila kusaliti hawasikii raha. Yaani wanapatilizwa kila kitu na wenza wao lakini bado wanatoka nje. Unakuta mwanaume ana mke mzuri wa sura na tabia na anayejua mapenzi na kila kitu lakini bado mwanaume huyo haridhiki,...

 

10 years ago

GPL

UKIWA HODARI WA KUHONGA, KAA MKAO WA KUACHWA WAKATI WOWOTE!

Leo nataka kuzungumzia suala la uhongaji katika uhusiano. Kuhonga ni tabia ambayo imeshamiri sana katika jamii yetu. Kipindi cha nyuma tumezoea kusikia ama kuona wanaume wakiwahonga wanawake lakini sasa hivi mambo yamebadilika. Wanawake nao wameingia katika mkumbo wa kuwahonga wanaume ili wakubali kuwa nao kimapenzi tu ama waoane kabisa.Tabia hii imekuwa ikiwatia majaribuni walio wengi hali ambayo imesababisha baadhi ya watu...

 

9 years ago

Mwananchi

Wachezaji nyota waliosajiliwa, kuachwa msimu huu Ligi Kuu

Wakati dirisha la usajili likifungwa leo saa 6 usiku klabu  mbalimbali zikiwa zimekamilisha harakati zao za usajili tayari kwa kuanza msimu mpya wa ligi hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani