Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


USILIE, ACHA KUJIUMIZA, MAPENZI HAYATAKIWI KUKUTESA!-3

NINA furaha kukutana nanyi tena hapa katika ukurasa huu ambapo tunajifunza mambo mbalimbali kuhusu maisha ya uhusiano na mapenzi. Bila shaka unapata elimu nzuri inayokusaidia kukuza uhusiano wako. Uwanja huu ni wa marafiki ambao hata lugha inayotumika hapa ni ya kirafiki zaidi ili kufikisha ujumbe kama ilivyokusudiwa. Kama ni mara yako ya kwanza kufungua ukurasa huu, amini kuwa umeingia kwenye chama sahihi. Utajifunza kila siku...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

USILIE, ACHA KUJIUMIZA, MAPENZI HAYATAKIWI KUKUTESA!-2

WAKATI mwingine maumivu ya mapenzi huwa ni ya kujitakia. Kama mtu ukijua vyema kuhusu mapenzi, kwa hakika mateso yatakaa mbali na wewe. Kikubwa ni kuwa tayari kujifunza na kuchukua yale yanayoonekana yanafaa. Wiki iliyopita nilianza kwa kuelezea kisa cha Ben na Lucy. Naamini ulijifunza kitu kupitia kisa hicho. Sasa hebu tuangalie kisa kingine cha msichana niliyempachika jina la Amina halafu tutajifunza kitu. Amina akiwa darasa...

 

11 years ago

GPL

USILIE, ACHA KUJIUMIZA, MAPENZI HAYATAKIWI KUKUTESA!

NILIPATA kuzungumza na dada mmoja ofisini kwetu wikiendi iliyopita ambaye alinieleza namna anavyoteseka katika mapenzi. Ni hapo mada hii ilipozaliwa. Sitaki kueleza sana juu ya tatizo la msomaji wangu huyu mkazi wa Tabata-Kisukulu, jijini Dar es Salaam lakini kwa juujuu, ni kwamba, yeye ni binti mwenye umri wa miaka 28, ana mtoto mmoja ambaye baba yake alimkana! Anaishi kwa taabu kwa sababu hana kazi, kila siku amekuwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Man Tuzzo aiachia ‘Usilie’

MSANII wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Flava’, Muharami Nandule ‘Man Tuzzo, anayefanyia muziki wake visiwani Zanzibar anakotamba na kibao cha ‘Mwambie Atulie’, ameachia singo yake mpya inayokwenda kwa jina...

 

9 years ago

GPL

USILIE ETI UMRI UNAKWENDA HUOLEWI

NIJumanne tena, mikikimikiki ya siasa ndiyo habari ya nchi kwa sasa. Pole nyingi kwa familia ya Christopher Mtikila kwa kuondokewa na mwanasiasa huyo maarufu nchini.Mada yangu ya leo ni; usilie eti umri unakwenda huolewi’. Kilio cha kutoolewa ni kikubwa kwa wasichana (wanawake) kuliko cha kuoa kwa wavulana (wanaume). Sikumbuki kama nimewahi kukutana na mwanaume akadai anateswa na kutooa. Kama yupo maana yake anateswa kwa sababu...

 

10 years ago

Bongo Movies

Huu Ndiyo Mtazamo wa Shamsa Juu ya ‘Mapenzi ni Kupetipeti au Mapenzi ni Pesa’

Staa mrembo wa Bongo Movies, Shamsa Ford amabaye hivi sasa anatoka na Staa wa Bongo Fleva, Nay wa Mitego baada ya kuachana na mumeo, ameweka wazi kuwa kwenye mapenzi yeye anahitaji kupetipetiwa na pesa pia vinginevyo atakusaliti.

Akiwa anaipa promo nyimbo mpya ‘Mapenzi au Pesa’ ya Nay wa Mitego na Diamond Platinum itakayotoka hivi karibuni,  Shamsa amefunguka hayo na kuwataka mashabiki wake watoe mitazamo yao ikiwa

“Eti mapenzi ni kupetipeti au mapenzi ni pesa..?? Kwa upande wangu vyote...

 

10 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ Desemba 7, 2014

IMG_2621

Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto (kulia). Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.

Na Mwandishi Wetu.

WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda ametajwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ ambayo itapatikana kwenye DVD Desemba 7, mwaka huu.

Akizungumza Dar es Salaam jana kwenye mkutano na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto, alisema hafla hiyo itafanyika kwenye Ukumbi wa PTA uliopo Uwanja wa Sabasaba, Dar es...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?

Mpenzi msomaji wangu, wiki iliyopita utakumbuka nilizungumzia suala la kuwajali wapenzi wetu. Niligusia suala ya kuwapa nafasi watuchune. apo walioshituka kuona kichwa kile cha habari lakini kiukweli sikumaanisha kuchuna kule ambako wanawake micharuko hufanya hasa kwa waume za watu, nilimaanisha utayari wa kila mmoja kumsaidia mwenzake kifedha. Mkeo akitaka pesa ili aende saluni kama zipo, mpe! Akihitaji pesa akanunulie vipodozi...

 

11 years ago

GPL

KILA SAA MAPENZI…MAPENZI…HIVI HAMNA MENGINE YA KUFANYA?-2

Uhali gani mpenzi msomaji wa safu hii. Ni matumaini yangu umzima kabisa na uko tayari kusoma muendelezo wa makala haya ambayo niliianza wiki iliyopita. Maudhui hasa ya makala haya ni kuwatahadharisha baadhi ya watu ambao wanahusudu mapenzi kuliko kitu kingine utadhani wana pepo la ngono. Sikatai, kufanya mapenzi ni kitu muhimu sana hasa kwa watu walioingia kwenye ndoa. Kwa kifupi ni haki ya kila mmoja kuridhishwa na mwenza wake...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani