USILIE ETI UMRI UNAKWENDA HUOLEWI
![](http://api.ning.com:80/files/b8YL1Nsfi8mz5TnW-lOC*Ds-aFmwIwOBaFY3WvQKCr0La9sMnXaidl5kcjIAUyv88RsXnuk8PGiT21Gxs8*WJoNxKMU7acZ*/blackwomanstressed.jpg?width=650)
NIJumanne tena, mikikimikiki ya siasa ndiyo habari ya nchi kwa sasa. Pole nyingi kwa familia ya Christopher Mtikila kwa kuondokewa na mwanasiasa huyo maarufu nchini.Mada yangu ya leo ni; usilie eti umri unakwenda huolewi’. Kilio cha kutoolewa ni kikubwa kwa wasichana (wanawake) kuliko cha kuoa kwa wavulana (wanaume). Sikumbuki kama nimewahi kukutana na mwanaume akadai anateswa na kutooa. Kama yupo maana yake anateswa kwa sababu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies19 Sep
Uwiii! Eti, eti, Kajala anatumia nafasi ya kuonekana kwenye TV "kuvutia mabwana", Nora huyo karopoka
Muigizaji maarufu nchini aliyetamba mwanzoni mwa miaka ya 2000 Nora Nuru Nassoro aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye filamu kujipatia wanaume kama si mabwana!
Akizungumza kupitia Kipindi cha Mkasi kinachoratibiwa na Mtangazaji Salama Jabir, Jumatatu iliyopita, Nora alisema fani ya uigizaji imevamiwa kwa sasa kwani kuna watu ambao wanaingia kwenye gemu ili wauze sura na kuonekana na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-bpHU5NJRrnE/Xs5Jrc6zrGI/AAAAAAALrtA/rckOioXlnHgbpmDD6huX-KAE69X_W6c6ACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200527-WA0011.jpg)
MFUMO WA STAKABADHI GHALANI UNAKWENDA KUMNUFAISHA MKULIMA WA UFUTA -RC NDIKILO
MKOA wa Pwani, umekemea wakulima wa ufuta waliofanya udanganyifu msimu wa ununuzi uliopita kwa kuchanganya ufuta na mchanga, kwani umesababisha doa kwenye soko hivyo kwasasa mfumo utakaotumika ni wa stakabadhi ghalani ,ambao utadhibiti udanganyifu na kuinua pato la mkulima.
Aidha minada ya ununuzi wa ufuta mwaka huu yatafanyika kupitia mfumo huo na kwa njia ya kielektroniki kupitia soko la bidhaa Tanzania (TMX).
Akifungua kikao cha kujadili maandalizi ya msimu wa...
11 years ago
Mwananchi13 Jul
Umri ni amri? Mmmh jamani, suala la umri lachekesha
11 years ago
Tanzania Daima07 Mar
Man Tuzzo aiachia ‘Usilie’
MSANII wa muziki wa kizazi kipya ‘Bongo Flava’, Muharami Nandule ‘Man Tuzzo, anayefanyia muziki wake visiwani Zanzibar anakotamba na kibao cha ‘Mwambie Atulie’, ameachia singo yake mpya inayokwenda kwa jina...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Q9tIuZ2O174/default.jpg)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/2qI9QjpEOxwKYWLOYnB3-aCtB2j57j2xmdqpnaHUXUsgKS7rG2WyVVUhlhj1h0SYn4QQ3yU6nhVxnqdaPCqvpGJgsMpu7V-W/mapenzi.jpg?width=650)
USILIE, ACHA KUJIUMIZA, MAPENZI HAYATAKIWI KUKUTESA!-3
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dUBGrCUuK8TPUpPiQqA8t4DZKEL0YeL13XE3Q3AKreb6gqUgSeL2zcYuDVfSD7z2qCUEwP5xbOQI8q6cmEPT1y0IJy*OOA3P/MAHABA.gif?width=650)
USILIE, ACHA KUJIUMIZA, MAPENZI HAYATAKIWI KUKUTESA!-2
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p5H7N8Ot6oOua5H-QPoq1PGfZ0ziHo2OTrYEnoXARFCxShJA0jweONWrMU*pVB2U0L15duzj98B8lxVo-1hDWZJgYJeM8ZHN/MAHABA.jpg)
USILIE, ACHA KUJIUMIZA, MAPENZI HAYATAKIWI KUKUTESA!
10 years ago
Dewji Blog27 Nov
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ Desemba 7, 2014
Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto (kulia). Picha zote na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog.
Na Mwandishi Wetu.
WAZIRI MKUU, Mizengo Pinda ametajwa kuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa albamu ‘Usilie’ ambayo itapatikana kwenye DVD Desemba 7, mwaka huu.
Akizungumza Dar es Salaam jana kwenye mkutano na waandishi wa habari, Mkurugenzi wa kwaya ya ‘Family Singers’ Daniel Misheto, alisema hafla hiyo itafanyika kwenye Ukumbi wa PTA uliopo Uwanja wa Sabasaba, Dar es...