Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utata wagubika wizi wa madini Mirerani

Wingu jeusi limetanda katika sakata la watu wasiofahamika kupora kilogramu 15 za madini aina ya Tanzanite yenye zaidi ya thamani ya kiasi cha Sh10 bilioni katika mgodi wa Tanzanite One Mining Limited (TML), uliopo Mirerani baada ya gari maalumu lililokuwa limetengwa kupakia madini hayo kuharibika siku moja kabla ya tukio.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utata wagubika taarifa ya Kilango

Wakati uongozi wa Bunge la Katiba ukisema ripoti ya Kamati Namba 11 iliyozua utata juzi kutokana na makosa ya uchapaji, mwenyekiti wa kamati hiyo, Anne Kilango Malecela amesema kitabu chake kizima kilikataliwa na wajumbe.

 

11 years ago

BBCSwahili

Utata wagubika bwawa mto Nile

Ujenzi wa bwawa kubwa na kiwanda cha Nishati katika mto Nile umeingia katika mzozo wa kidiplomasia.

 

10 years ago

Mwananchi

Utata wagubika fedha za walimu Kilimanjaro

Utata umeibuka kuhusu mahali zilipo Sh986 milioni ambazo walimu wa Mkoa wa Kilimanjaro walikatwa kama marejesho ya fedha walizokopa chama cha walimu cha Akiba na Mikopo (Saccos).

 

10 years ago

Mwananchi

Utata wagubika mgawo wa Yanga, Simba

Mechi ya watani wa jadi, Yanga na Simba iliingiza Sh427 milioni na Sh49.5 milioni kati ya hizo zikiingia kwenye mfuko mpya wa Jichangie.

 

10 years ago

Habarileo

Madini wafikiria kuwasaidia Mirerani

Kamishna wa Madini, Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Paul Masanja WIZARA ya Nishati na Madini inaangalia uwezekano wa kuwafidia wamiliki wa wachimbaji wadogo wa machimbo ya madini ya tanzanite yaliyoko Mirerani, Simanjiro mkoani Manyara baada ya kuunguliwa kwa kambi zao 16 ya uchimbaji wa madini hayo.

 

10 years ago

Mwananchi

Sheria ya madini ‘yasitisha’ uchimbaji migodi zaidi ya 400 Mirerani

Mirerani. “Sheria hii inatumika kwenye machimbo ya dhahabu na almasi siyo tanzanite ambayo inachimbwa kwa kufuatwa miamba,” anasema Mnenei.

 

9 years ago

Michuzi

wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani kupinga kufungiwa migodi yao

Wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite wa Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, wanatarajia kuandamana kwa amani ili kupinga migodi yao 19 inayopakana na kampuni ya TanzaniteOne kufungiwa.  Mwanachama wa chama cha wachimbaji wadogo wa madini ya Tanzanite (Marema) Tawi la Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, Omary Mandari akizungumza kwenye mkutano wao ambapo waliazimia kuandamana kwa amani kupinga migodi yao 19 kusimamishwa kufanya kazi. Mwanachama wa...

 

10 years ago

Habarileo

Wizi wa madini ya bil. 1,2/- wastukiwa

NJAMA na hujuma zinazodaiwa kupangwa na baadhi vigogo waliokuwa wafanyakazi wa Kampuni ya Tanzanite One iliyouza hisa zake, zinaendelea kushika kasi, kwani madini yenye thamani ya Dola za Marekani zaidi ya 790,000 (Sh bilioni 1.2) yamenusurika kuibwa hivi karibu.

 

11 years ago

Mwananchi

Watuhumiwa kuwa na mtandao wa wizi wa madini

Sakata la wizi wa madini ya Tanzanite ya uzito wa kilogramu 15 yenye thamani ya zaidi ya Sh10 bilioni uliotokea katika Mgodi wa Tanzanite One Mining Limited(TML) hivi karibuni limeendelea kuchukua sura mpya baada ya vigogo wawili ndani ya kampuni hiyo kutajwa kuunda mtandao mpana wa wizi wa madini hayo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani