Utawala unapotafutwa kwa mabavu
BADO nayakumbuka maneno mazito ya hayati Baba wa Taifa, Mwl Julius Kambarage Nyerere aliyoyatoa siku kadhaa kabla ya kuachia madaraka ya uongozi wa serikali na Chama Cha Mapinduzi. Nayakumbuka kwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili28 Jun
Uchina haitatumia mabavu kwa wengine
Rais wa Uchina aahidi kuwa hata Uchina ikiwa na nguvu kubwa sana, haitazionea nchi nyengine, kwa sababu siyo tabia ya Uchina
10 years ago
Mwananchi19 Jan
Lema, Nassari wadai watamtoa Muhongo bungeni kwa mabavu
Mbunge wa Arusha mjini (Chadema) Godbless Lema amesema atamtoa kwa mabavu bungeni Waziri wa nishati na madini,Profesa Sospetre Muhongo katika kikao kijacho cha Bunge endapo atakuwa hajaondolewa kwenye nafasi hiyo.
11 years ago
Tanzania Daima16 Feb
Serikali ya mabavu inamtumikia nani?
UCHAGUZI mdogo wa madiwani uliofanyika Jumapili iliyopita katika kata 27 nchini umenifunulia kitu kimoja muhimu. Baada ya kuutafakari uchaguzi huo mara moja nimegundua kwamba kumbe Chama Cha Mapinduzi (CCM) hakina...
10 years ago
Mwananchi04 May
‘Utawala wa JK kuacha makovu kwa wanahabari’
>Imedaiwa kuwa kipindi cha miaka kumi ya Rais wa Jakaya Kikwete kimekuwa kigumu kwa wanahabari nchini kwa kujeruhiwa na wengine kuuawa.
10 years ago
BBCSwahili14 Nov
Utawala kurejeshwa kwa Raia Burkina Faso
Viongozi wa kisiasa, kijeshi na asasi za kiraia wakubaliana mfumo wa Serikali ya mpito nchini Burkina Faso
10 years ago
Mwananchi10 Dec
‘Utawala mbovu ni matokeo ya kufutwa kwa Azimio la Arusha’
Mwanasiasa mkongwe nchini, Getrude Mongella amesema, kufutwa kwa Azimio la Arusha lililowabana viongozi na wananchi kufuata misingi ya mtawala na mtawaliwa ndiyo chanzo cha matatizo yanayolikumba taifa sasa.
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-Zv2e72POFls/VjJsiib9nrI/AAAAAAAIDaw/qXMV78AestM/s72-c/unnamed.jpg)
Ushauri wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa ZEC
![](http://3.bp.blogspot.com/-Zv2e72POFls/VjJsiib9nrI/AAAAAAAIDaw/qXMV78AestM/s640/unnamed.jpg)
9 years ago
BBCSwahili06 Oct
Ripoti: Rwanda inaongoza kwa utawala bora Afrika Mashariki
Rwanda inaongoza kwa utawala bora katika eneo la Afrika Mashariki, kwa mujibu wa ripoti mpya kuhusu utawala barani Afrika.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania