Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utoaji mimba na athari zake kiafya

Utoaji wa mimba kwa njia isiyo salama umechangia kuongezeka kwa tatizo la ugumba na vifo vya watoto chini ya miaka mitano nchini Tanzania.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Athari za kiafya migodini Tanzania

Wiki Hii katika Haba na Haba tunaangalia athari za kiafya zinazowakuta wananchi kutokana na shughuli za uchimbaji wa madini.

 

10 years ago

Mwananchi

Vinywaji vya kusisimua akili, kutia mwili nguvu, vina athari za kiafya

Wengine, hasa madereva, hupenda kutumia vinywaji hivi ili kuondoa uchovu na kuwafanya wasipate usingizi. Hufanya hivyo ili wasisinzie na kusababisha wasababishe ajali.

 

11 years ago

GPL

NI MSIMU WA PAPAI, ZIJUE FAIDA ZAKE KIAFYA

PAPAI, tunda lenye ladha nzuri kama sukari, siyo tu ni tamu kulila, lakini ni chanzo kikuu cha virutubisho vinavyotoa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali ya mwili, yakiwemo yale hatari ambayo huchukua maisha ya watu kila kukicha. Huu ni msimu wake kwa ukanda wa Pwani, ni vizuri ukayala kwa wingi. Kinga dhidi ya magonjwa ya moyo
Utaona kwamba maradhi ya moyo yana kinga karibu katika kila tunda au chakula cha asili....

 

10 years ago

BBCSwahili

Clinic za utoaji mimba zafungwa-Brazili

Polisi katika mji mkuu wa Brazili,Rio de Jeneiro wamesema wameuvunja mtandao mkubwa katika nchi hiyo wa kiliniki za utoaji mimba.

 

10 years ago

BBCSwahili

Utoaji mimba wazua gumzo Marekani

Mahakama ya juu zaidi nchini Marekani, imetupilia mbali vifungu kadhaa vya sheria tatanishi inayowekea vikwazo wanaotaka kutoa mimba.

 

10 years ago

Habarileo

Utoaji mimba holela waathiri Kagera

IMEELEZWA kuwa kati ya wajawazito kumi ambao hulazwa katika hospitali ya mkoa wa Kagera kwa mwezi mmoja hufa kwa sababu ya kutoa mimba kwa njia za kienyeji.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kardinali Pengo akemea utoaji mimba, ushoga

ASKOFU Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Muadhama Polycarp Kardinali Pengo, amekemea tabia ya utoaji mimba inayofanywa na baadhi ya wanawake nchini kwani kufanya hivyo ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Migogoro ya ardhi na athari zake

MIGOGORO ya ardhi imetawala katika maeneo mengi nchini na kusababisha vifo na mali za mamilioni kupotea. Katika kipindi cha mwaka 2013 mwanzoni hadi mwaka huu migogoro ya ardhi imeendelea kufukuta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani