NI MSIMU WA PAPAI, ZIJUE FAIDA ZAKE KIAFYA
![](http://api.ning.com:80/files/fXUwj8AcBIkPT436*Rhv3eWzKxC5fdOICt141WthFgdLqvrFlKtfG*52cdPyPTCkwBk0jknDhKTAisJNsI1jurT*u1BymVlX/papai.jpg)
PAPAI, tunda lenye ladha nzuri kama sukari, siyo tu ni tamu kulila, lakini ni chanzo kikuu cha virutubisho vinavyotoa kinga ya mwili dhidi ya magonjwa mbalimbali ya mwili, yakiwemo yale hatari ambayo huchukua maisha ya watu kila kukicha. Huu ni msimu wake kwa ukanda wa Pwani, ni vizuri ukayala kwa wingi. Kinga dhidi ya magonjwa ya moyo Utaona kwamba maradhi ya moyo yana kinga karibu katika kila tunda au chakula cha asili....
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi26 May
Zijue faida za domain ya .co.tz badala ya .com
![](https://ci5.googleusercontent.com/proxy/1FaEF9J5zOdFtV6rkuwR87oCHREnLdk1VI2XNXAmX1bRiu0UqNNJoHjFqX8XRLYMEZlKgFzmUkkwu_NkhWDtIDXAlAeWeuHr-dKwEMX8drfDnnhaRN6f2hr4RA=s0-d-e1-ft#https://www.dudumizi.com/images/domain-name-registration-tanzania.png)
Ni mara ngapi umekuwa ukiumiza sana kichwa kwa sababu majina yote ya .com yanayoendana na jina halisi la biashara yako tayari yameshachukuliwa? mfano, wewe kampuni yako inaitwa Dudumizi, na kila ukitafuta dudumizi.com , Dudumizi.net na hata Dudumizi.info unakuta tayari yameshachukuliwa, hakuna sababu ya kuchanganyikiwa, tunayo .co.tz, majina ya kitanzania zaidi.
Watu wengi wamekuwa wakipendelea kutumia majina ya .com. Wengi wamekuwa na imani kuwa kwa kutumia majina ya .com kinawafanya...
11 years ago
Mwananchi28 Mar
Faida nyingi za uyoga kiafya
10 years ago
Mwananchi10 Oct
Faida za kiafya za kula ndizi
5 years ago
Michuzi![](https://img.youtube.com/vi/6Cw8AcENmiM/default.jpg)
9 years ago
Mwananchi13 Nov
Utoaji mimba na athari zake kiafya
11 years ago
BBCSwahili16 May
Man Utd ilipata faida kubwa msimu huu
11 years ago
Tanzania Daima14 Feb
Tamasha la Pasaka na faida zake 10
KAMPUNI ya Msama Promotions imeanza harakati za maandalizi ya Tamasha la Pasaka la mwaka huu, likifanyika kwa mara ya 14 tangu kuasisiwa kwake mwaka 2000, likibeba malengo 10, kubwa likiwa...
11 years ago
Tanzania Daima03 Apr
Matunda na faida zake mwilini
AFRIKA imejaaliwa mimea, madini, rutuba na hali ya hewa safi, ikiwa ni urithi tangu enzi na enzi. Pamoja na bara hili kujaa vyakula vyote vinavyohitajika na wanadamu, bado uhai wa...
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Kilimo cha alizeti na faida zake
ALIZETI ni miongoni mwa mazao yanayotoa mbegu za mafuta. Kwa matumizi mengine, hutumika kama chakula cha mifugo. Mashuddu yake yanarutubisha sana kiafya mifugo, ikilinganishwa na utengenezaji wa mafuta ya kula...