Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Utumikishaji watoto washamiri Geita

WILAYA ya Geita imebainika kuwa ni miongoni mwa maeneo ambayo utumikishwaji wa watoto wadogo kwenye maeneo ya migodini unazidi kushamiri. Hayo yamebainika katika utafiti uliofanywa na shirika lisilo la kiserikali...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Utapeli mtandaoni washamiri Ghana

vijanawenye Umri wa chini ya miaka thelathini. Wanaendesha magari ya kifahari na mavazi ya bei kali.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wazazi Geita mbaroni kwa kutopeleka watoto shule

WAZAZI watano mkoani Geita wamekamatwa na Polisi kwa kugoma kuwapeleka watoto wao shule na kuwalazimisha kuwaoza. Hatua hiyo inatokana na agizo la Mkuu wa Mkoa wa Geita, Saisi Magalula, la...

 

10 years ago

Mwananchi

Wajawazito, watoto walivyo hatarini katika migodi Geita

Ni katika Kijiji cha Nyakabale kilichopo mjini Geita. Kijijini hapo kuna nyumba nyingi zilizojengwa, unazoweza kuzifananisha na makambi ya wakimbizi.

 

10 years ago

Mwananchi

Wanawake, watoto hatarini mgodini Geita maisha wawatesa waishio

Baadhi ya wanawake katika machimbo ya Nyarugusu wilayani Geita wakiwa wabeba watoto wao mgongoni wameendelea kufanya kazi ya kuponda mawe bila kujali maradhi yanayoweza kuwapata watoto wao.

 

9 years ago

StarTV

Watoto Denis na Esther Lucas walazwa Geita hospitali kwa Madai Ya Kuunguzwa Na Baba

Watoto wawili wa familia moja wa kijiji cha Msasa kata ya Busanda wilayani Geita wanaodaiwa kuunguzwa kwa moto na baba yao mzazi kwa tuhuma ya kuiba mboga kwa jirani wamefikishwa katika hospitali ya wilaya ya Geita kwa matibabu zaidi.

Kufikishwa hospitalini hapo kumekuja siku mbili baada ya wasamaria wema kugundua kuwa watoto hao wameunguzwa midomo, mikono na miguu na kisha kufichwa ndani kwa zaidi ya siku sita na baba yao mzazi Lucas Petro mwenye umri wa miaka 29.

Watoto waliounguzwa ni...

 

11 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA NELICO NA MABARAZA YA WATOTO WILAYA YA GEITA WAFANYA ZIARA YA KIMAFUNZO KATIKA SHIRIKA LA KIVULINI

Mkurugenzi wa Shirika la Kutetea Haki za Wanawake na Wasichana la KIVULINI akitoa historia ya shirika la KIVULINI kwa wawakilishi wa mabaraza ya watoto mara baada ya kutembelea ofisi za shirika hilo hapo jana. KIVULINI ni shirika lisolo la kiserikali linalofanya shughuli za kupinga na kutetea Haki za Wanawake na Wasichana katika mikoa yote ya kanda ya ziwa pamoja na mkoa wa Singida tangu mwaka 1999. Afisa Utetezi na Mitandao ya Kijamii toka Shirika la KIVULINI Bi. Khadija Liganga...

 

5 years ago

Michuzi

GEITA GOLD MINING LTD YATOA MILIONI 100/- KUSAIDIA UJENZI CHUO KIKUU HURIA-GEITA

KATIKA kukuza sekta ya elimu ya juu nchini, Kampuni ya Geita Gold Mining Ltd. (GGML) kupitia sera yake ya uwajibikaji kwa jamii imetoa kiasi cha Sh milioni 100 kusaidia ujenzi wa Kituo cha Chuo Kikuu Huria(Open University) cha mkoani wa Geita.

Awamu ya kwanza ya mradi huo inajumuisha ujenzi wa jengo la utawala linalojumuisha chumba mikutano cha viongozi, maktaba, chumba cha maabara ya kompyuta na ofisi nyingine tano.

Pia kiasi hicho cha pesa kilichotolewa na GGML ni kwa ajili ya ununuzi wa...

 

5 years ago

Michuzi

KANALI MSTAAFU NDUGU NGEMELA LUBINGA AFANYA ZIARA WILAYA YA CHATO NA MBOGWE GEITA MKOANI GEITA.




Mlezi wa Mkoa wa Geita Ndugu. Ngemela Lubinga ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM (Siasa na Uhusiano wa Kimataifa) amefanya ziara wilayani Chato na Mbogwe Mkoani Geita. 
Wilayani Chato Ndugu Lubinga amekagua na kujionea upanuzi wa Hospital ya Wilaya ya Chato pamoja na maendeleo ya mradi wa ujenzi wa majengo matano ambao umekamilika kwa asilimia 97%. 
Aidha amekagua pia maendeleo ya ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mlimani ambao umejengwa kwa nguvu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani