Utungaji wa mashairi ya Kiswahili
Ushairi ni sanaa inayopambanuliwa kwa mpangilio maalumu wa maneno fasaha yenye muwala, kuwa na lugha ya mkato, picha au sitiari katika usemi, maandishi, au mahadhi ya wimbo ili kueleza wazo au mawazo, kufunza au kueleza tukio au hisi fulani kuhusu maisha au mazingira ya binadamu kwa njia inayogusa moyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV06 Oct
Watafiti, wadau washauriwa kushirikiana utungaji wa sera
Watafiti nchini wamewashauri kushirikiana na watunga sera na wadau wa maendeleo wa sekta mbalimbali kutambua umuhimu wa takwimu katika kutoa uamuzi na kutunga sheria zitakazolingana na takwimu husika.
Tanzania imeonekana kuwa na tatizo la kutotumia takwimu katika baadhi ya maeneo, hali inayosababisha kuwepo kwa upungufu katika huduma za kijamii, hasa sekta ya elimu na Afya.
Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti na Sera (REPOA), Prof Samweli Wangwe, amesema kinachosababisha changamoto katika...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-GPT441M5v5s/VJPi1Qj-kzI/AAAAAAAG4X4/vf9b0xZdw0A/s72-c/unnamed%2B(35).jpg)
waalimu pemba katika warsha ya usomeshaji na utungaji mitihani kitaalamu
![](http://4.bp.blogspot.com/-GPT441M5v5s/VJPi1Qj-kzI/AAAAAAAG4X4/vf9b0xZdw0A/s1600/unnamed%2B(35).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-X8Y66Rsc_m4/VJPi0V7OGUI/AAAAAAAG4Xw/atyag6s3iKM/s1600/unnamed%2B(36).jpg)
9 years ago
Mwananchi07 Sep
Mashairi ya Muyaka
11 years ago
MichuziLHRC YATOA TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU MWENENDO WA MCHAKATO WA UTUNGAJI WA KATIBA MPYA TANZANIA UNAOENDELEA DODOMA
11 years ago
Mwananchi22 Jul
KISWAHILI KWA WANAFUNZI: Ngeli tisa za Kiswahili na upatanisho wa kisarufi
10 years ago
VijimamboDARASA LA KISWAHILI DMV KUWAKILISHA LUGHA YA KISWAHILI KATIKA SIKU YA MAONYESHO YA WHITE OAK CENTER
240-777-6940FAX 240-777-6941
KUTAKUWA NA NA MOON BOUNCE,FIRE MAN,FIRE TRUCKS, CLOWNS, ICE CREAM ,HOT DOGS,PIZZA,COTTON CANDY, NA MENGINE MINGINE .
KIINGILIO BUREEEEE
![](http://www.columbiaengineering.com/Lists/Photos/Community/White%20Oak%20Community%20Center.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wdk-9Zfi1k6V01nAgTUXFqKYFmLJeORpb7TDQZHptRliSyi9IhO2mcWtJs3CUaaDKiVoBOe9nJQvG-hg7fpFaFrSRJwVYfoz/2A3F8029000005783150288imagem20_1436126767798.jpg?width=650)
BOBBY BROWN AOMBA MSAMAHA KWA KUSAHAU MASHAIRI
9 years ago
Bongo527 Oct
Tazama video ya mashairi ya wimbo wa Jors Bless ‘A Moment’
11 years ago
Bongo512 Jul
Video: Mashairi ya wimbo mpya wa Izzo Bizness ‘Walalahoi’