Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashairi ya Muyaka

Nimeandika maelezo mafupi kuhusu maisha ya washairi maarufu wa Kiswahili na mchango wao katika kukienzi na kukiimarisha Kiswahili.  Washairi maarufu wa Tanzania niliotoa maelezo yao ni Sheikh Shaaban Robert, Kaluta Amri Abeid, Saadan Abdu Kandoro, Mathias Eugen Mnyampala na Mohamed Said Abdallah. Hawa ni wachache tu nilioweza kuwapata lakini wako wengine wengi. Washairi hawa wamechangia sana katika maendeleo ya Kiswahili kwani maandishi yao yanahusu masuala ya dini, siasa, wasia na...

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Utungaji wa mashairi ya Kiswahili

Ushairi ni sanaa inayopambanuliwa kwa mpangilio maalumu wa maneno fasaha yenye muwala, kuwa na lugha ya mkato, picha au sitiari katika usemi, maandishi, au mahadhi ya wimbo ili kueleza wazo au mawazo, kufunza au kueleza tukio au hisi fulani kuhusu maisha au mazingira ya binadamu kwa njia inayogusa moyo.

 

11 years ago

Bongo5

Video: Mashairi ya wimbo mpya wa Izzo Bizness ‘Walalahoi’

Izzo Bizness wiki hii ametoa single yake mpya aliyoipa jina la ‘Walalahoi’, haya ni mashairi ya wimbo huo.

 

9 years ago

Bongo5

Tazama video ya mashairi ya wimbo wa Jors Bless ‘A Moment’

Hii ni video ya mashairi ya wimbo wa Jors Bless ‘A Moment.’ Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

10 years ago

GPL

BOBBY BROWN AOMBA MSAMAHA KWA KUSAHAU MASHAIRI

Mwanamuziki wa kimataifa wa R&B, Bobby Brown. GEORGIA, Marekani
MWANAMUZIKI wa kimataifa wa R&B, Bobby Brown hivi karibuni aliwaomba msamaha mashabiki waliohudhuria kwenye tamasha lake huko Atlanta, Georgia baada ya kusahau mashairi ya wimbo aliokuwa anaimba hali iliyosababisha yeye na madensa wake kupishana jukwaani. Bobby hakuonekana kabisa mwenye furaha katika tamasha hilo ambalo ni la pili kufanya tangu Januari… ...

 

9 years ago

Bongo5

Young Killer adai mashairi magumu yanawaponza rappers wengi

msodoki youngkiller

Young Killer amesema nyimbo nyingi za wasanii wa hip hop zimeshindwa kufanya vizuri kutokana na kuwa na mashairi magumu ambayo humwitaji msikilizaji kutumia muda mwingi katika kutafakari mashairi mpaka kuelewa.

msodoki youngkiller

Young Killer ameiambia Bongo5 kuwa, hali hiyo inawafanya wasanii ambao walikuwa na style tofauti ya utunzi, kubadilika ili kwendana na mahitaji ya soko.

“Ngoma zenye mashairi mepesi ni rahisi sana kupenya kwa sababu huchukua muda mfupi shabiki kuishika na kulewa, wanaelewa kwa...

 

9 years ago

Bongo5

Drake azungumzia tetesi za kuandikiwa mashairi kwa mara ya kwanza

Drake ameamua kuvunja ukimya wake kwa kufanya mahojiano ya kwanza katika kipindi cha miaka miwili iliyopita. Rapper huyo amekava jarida la The Fader toleo la 100. Kwenye mahojiano hayo, Drake amezungumzia tetesi za kuandikiwa maishari, beef yake na Meek Mill na mengine. Kuhusu kuandikiwa mashairi alisema: Nahitaji wakati mwingine, watu kuchochea wazo ili niendelee nalo. […]

 

9 years ago

Bongo5

Nimesikitishwa na uzushi kuwa huwa naandikiwa mashairi yangu — Stamina

Hakuna kitu kinachomkera rapper kama kuambiwa kuwa huandikiwa mashairi na mtu mwingine (ghost writer). Hiyo ilikuwa ni chanzo cha beef iliyokwisha ya Drake na Meek Mill. Meek alidai kuwa Drake anaandikiwa mashairi na mtu. Tetesi kama hizo zimemkumba pia Stamina. Akizungumza Bongo5, Stamina amesema amesikitishwa na uzushi huo na kwamba watu walioamua kutangaza taarifa hizo, […]

 

10 years ago

GPL

CHRIS BROWN AICHORA LAMBORGHINI YAKE MASHAIRI YA WIMBO WA 2PAC

Lamborghini Aventador ya Chris Brown baada ya kuchorwa mashairi ya wimbo wa 2Pac. Chris Brown (kulia) akiwa na mchora tattoo Huero.…

 

9 years ago

Bongo5

Nina mashairi makali kuliko Rabbit, Kaligraph na Octopizzo wakiunganishwa — Juliani

Juliani_650

Rapper wa gospel nchini Kenya, Juliani ameanzisha mjadala mkubwa kwenye mtandao wa Twitter baada ya kudai kuwa ni msanii pekee mwenye mashairi makali zaidi kuliko Rabbit, Kaligraph na Octopizzo wakiunganishwa.

Juliani_650

Pamoja na kuonekana wazi kuwa Juliani alitweet ujumbe huo kama utani na kuchangamsha genge, kauli yake imezua mjadala mkubwa ikiwa pamoja na rappers hao kumjibu.

CTcCnWLXAAAGPma
Octopizzo, Rabbit na Kaligraph

Haya ni mazungumzo yao.

The only one with more bars than the three combined is me!!...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani