Young Killer adai mashairi magumu yanawaponza rappers wengi
Young Killer amesema nyimbo nyingi za wasanii wa hip hop zimeshindwa kufanya vizuri kutokana na kuwa na mashairi magumu ambayo humwitaji msikilizaji kutumia muda mwingi katika kutafakari mashairi mpaka kuelewa.
Young Killer ameiambia Bongo5 kuwa, hali hiyo inawafanya wasanii ambao walikuwa na style tofauti ya utunzi, kubadilika ili kwendana na mahitaji ya soko.
“Ngoma zenye mashairi mepesi ni rahisi sana kupenya kwa sababu huchukua muda mfupi shabiki kuishika na kulewa, wanaelewa kwa...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi18 Feb
9 years ago
Bongo507 Oct
Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa
9 years ago
Bongo502 Nov
Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee
![mtu chee2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mtu-chee2-94x94.jpg)
9 years ago
Bongo504 Dec
Nakuja na project itakayowatikisa rappers wengi – Stamina
![12237338_1516367548673634_1513271570_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12237338_1516367548673634_1513271570_n-300x194.jpg)
Stamina amedai kuwa atafunga mwaka kwa wimbo ‘Fundi Mistari’ ambao anaamini utawatikisa rappers wengi.
“Sitoi tena ngoma official kama nilivyosema ila kuna ile albamu itatoka wiki ijayo,” ameiambia Bongo5.
“Pia kuna project mpya nakujanayo ambayo itawateteresha marapa wengi sana. Hii project inaitwa ‘Fundi Mistari’. Kwahiyo ni kama mistari sita ambayo nimechana bila chorus na nitashoot kama kilinge halafu itatoka kwaajili ya watu wanaopenda muziki wangu,” ameongeza.
Jiunge na Bongo5.com...
9 years ago
Bongo513 Oct
Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram
9 years ago
Bongo512 Sep
Music: Young Killer — Mtanzania
11 years ago
Tanzania Daima01 Feb
Young Killer arudi shule
MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Erick Msodoki ‘Young Killer’, ametimiza ndoto zake za kurudi shule ambapo sasa anasomea teknolojia ya mawasiliano (IT). Nyota huyo chipukizi ambaye amejizolea umaarufu kupitia...
9 years ago
Bongo510 Dec
Young Killer agwaya kutoa albamu
![msodoki youngkiller](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/04/msodoki-youngkiller-300x194.jpg)
Rapper kutoka Mwanza, Young Killer amesema albamu yake ipo tayari lakini anashindwa kuitoa kutokana na kuhofia hasara.
Rapa huyo ambaye ameachia wimbo mpya, ‘Popote Kambi’ hivi karibuni, ameiambia Bongo5 kuwa kinachomkwamisha kuitoa albamu hiyo ni kukosa wasambazaji.
“Sasa hivi nina nyimbo nyingi ambazo nina uwezo wa kuzifanya albamu. Redioni nina ngoma zaidi ya saba na nyumbani binafsi na ngoma karibia nane, hiyo tayari ni albamu,” amesema.
“Nikipata mtu ambaye anaweza akaihitaji,...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Young Killer kuachia ‘Mchana na Giza’
KINDA wa muziki wa hip hop nchini, Erick Msodoki ‘Young Killer’, anajipanga kuachia ngoma yake mpya inayojulikana kwa jina la ‘Mchana na Giza’ hivi karibuni. Young Killer ni miongoni mwa...