Nakuja na project itakayowatikisa rappers wengi – Stamina
Stamina amedai kuwa atafunga mwaka kwa wimbo ‘Fundi Mistari’ ambao anaamini utawatikisa rappers wengi.
“Sitoi tena ngoma official kama nilivyosema ila kuna ile albamu itatoka wiki ijayo,” ameiambia Bongo5.
“Pia kuna project mpya nakujanayo ambayo itawateteresha marapa wengi sana. Hii project inaitwa ‘Fundi Mistari’. Kwahiyo ni kama mistari sita ambayo nimechana bila chorus na nitashoot kama kilinge halafu itatoka kwaajili ya watu wanaopenda muziki wangu,” ameongeza.
Jiunge na Bongo5.com...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo514 Dec
Young Killer adai mashairi magumu yanawaponza rappers wengi
![msodoki youngkiller](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/04/msodoki-youngkiller-300x194.jpg)
Young Killer amesema nyimbo nyingi za wasanii wa hip hop zimeshindwa kufanya vizuri kutokana na kuwa na mashairi magumu ambayo humwitaji msikilizaji kutumia muda mwingi katika kutafakari mashairi mpaka kuelewa.
Young Killer ameiambia Bongo5 kuwa, hali hiyo inawafanya wasanii ambao walikuwa na style tofauti ya utunzi, kubadilika ili kwendana na mahitaji ya soko.
“Ngoma zenye mashairi mepesi ni rahisi sana kupenya kwa sababu huchukua muda mfupi shabiki kuishika na kulewa, wanaelewa kwa...
10 years ago
Bongo515 Oct
Stamina adai wasanii wengi wa filamu wanauza sura, wenye vipaji wachache
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8QOPGYNO0tj29E1lHn3R4ZLvwBieHiiowIKpBUPnvPQmAQoOXBO10ORaQsYrJ2eKdrHLDVjF25S7mIMEyv3AcJxrJUl3q8DY/MATUMAINI.jpg)
YEMI: NAKUJA KUMTEKETEZA SHILOLE
10 years ago
Bongo Movies20 Jun
Lucy Komba: Namimi Nakuja Kugombea Ubunge Songea
Staa wa Bongo Movies, Lucy Komba ambaye kwa sasa anaishi ughaibuni ameonesha nia yake ya kurudi ya kuja kuwania ubunge. Lucy ameyaseme hayo kupitia ukurasa wake kwenye mtandao picha wa instagram ambapo alianza kwa kuwapongeza wasanii wenzake wote walioamua kujikita kwenye siasa.
“Msiseme wanawake tu semeni pia na wasanii tunaweza, hongereni wote wasanii mlioamua kujikita kwenye siasa na mimi nakuja huko kuchukua ubunge wa kwetu Songea”- Lucy ameandika.
Kila la kheri Lucy.
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/viirmOBcoEEFHN62zZ*fOp46DJMDqTnzN-SOX*COvXOK*8rFyNae-F0JjdzVcdpDmPnd9flUU0fv2Fwhc5GOK4KtWXaoF-62/chrisbrown768.jpg?width=650)
BAADA YA WAZIRI KUMUWEKEA NGUMU CHRIS BROWN: MSIJISUMBUE, NAKUJA KUFANYA SHOO
10 years ago
Bongo512 Dec
J.Cole awataja rappers watano anaowakubali
9 years ago
Bongo514 Nov
Joh Makini awashauri rappers wanaotumia style moja
![joh makini](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/04/joh-makini-300x194.jpg)
Joh Makini amesema huhakikisha kila wimbo anaoutoa unakuwa na style tofauti ili kutowachosha mashabiki.
Akizungumza katika kipindi cha 360 cha Clouds TV Ijumaa hii, Joh alisema hata msanii akiwa na mashairi mazuri vipi, anatakiwa kuzingatia jinsi ya kuwakilisha kazi yake.
“Sisi kitu ambacho tunafanya na ambacho tunaamini siku zote usiwe una-rap katika style ile ile moja since umeanza kutoka kwenye game,” alisema.
“Unaweza ukawa mwandishi mzuri sana, unaandika mashairi yanasisimua watu...
11 years ago
TheCitizen22 Mar
Project management bad practices: Ubungo case in DART project
9 years ago
Bongo518 Nov
Billboard wamwacha Tupac kwenye orodha yao ya ‘Greatest Rappers of All Time’
![tupac_shakur_1996_death_row_interscope_records_photofest_WEB-630x416](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/tupac_shakur_1996_death_row_interscope_records_photofest_WEB-630x416-300x194.jpg)
Jarida la Billboard hivi karibuni lilitoa orodha yake ya wasanii 10 bora wa muda wote wa hip hop.
Hata hivyo kwenye orodha hiyo Tupac hakuwemo na Snoop hajafurahia.
“This is so disrespectful. !! Whoever did this list need a swift kick in the Ass. No. Tupac. Come on cuz . Jus my opinion,”aliandika Snoop kwenye Instagram.
Hii ni orodha nzima.
1. Notorious B.I.G.
2.Jay Z
3.Eminem
4.Rakim
5.Nas
6.Andre 3000
7. Lauryn Hill
8. Ghostface Killah
9.Kendrick Lamar
10.Lil Wayne