YEMI: NAKUJA KUMTEKETEZA SHILOLE
![](http://api.ning.com:80/files/8QOPGYNO0tj29E1lHn3R4ZLvwBieHiiowIKpBUPnvPQmAQoOXBO10ORaQsYrJ2eKdrHLDVjF25S7mIMEyv3AcJxrJUl3q8DY/MATUMAINI.jpg)
MKALI wa muziki kutoka pande za Nigeria, Yemi Alade amesema yupo tayari kuja kumteketeza mkali wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ katika Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Agosti 8, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar. Mkali wa muziki kutoka pande za Nigeria, Yemi Alade. Akizungumza na Over The Weekend, kwa njia ya simu, Yemi ambaye ametokea kujizolea umaarufu mkubwa kupitia wimbo wa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Iumatxx-0jw7q-MUd1KjhDe0gVtNU-3EKx-AGJ0x7CsQJb9Ox6PUb2tC2Wm4WClePGfWnY8P3sNK4PfYW-CdodztuNlTB5zr/tamasha.jpg)
SHILOLE: YEMI ATAFIA UGENINI
9 years ago
Bongo505 Oct
Shilole apanga kumshirikisha Yemi Alade
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/mrjGDDFzeeE*0il56qQaZ*jPW9nay11rMI0ogUxDBMG7ZyT4SXoozpOYL8WJeX8XeEyLeHZtfqxk*L5NuYa3Ddh9kfmMpN1V/tamasha.jpg)
YEMI, SHILOLE KUFANYA MAAJABU KITAIFA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Whapl-f-NAYJBlxpAvD07Jagz0iIVjsOJGYxGyhZ5HYHdWhT50Nnym37i9ndm7xbXqKAQhcq9BwoFHDlJIFJhzv5bny719yN/tamasha.jpg)
TAMASHA LA MATUMAINI 2014... SHILOLE KUMFUNIKA YEMI ALADE
11 years ago
Michuzi26 Jul
YEMI, SHILOLE KUFANYA MAAJABU TAIFA USIKU WA MATUMAINI
![](http://api.ning.com/files/mrjGDDFzeeE*0il56qQaZ*jPW9nay11rMI0ogUxDBMG7ZyT4SXoozpOYL8WJeX8XeEyLeHZtfqxk*L5NuYa3Ddh9kfmMpN1V/tamasha.jpg)
![](http://api.ning.com/files/mrjGDDFzeeEfi*GtZE0505mBZ8STR-ENuwO-wTL4TDsjG0Mwvf8k0-2VPDXUd79MTEFOwTZPmCTMzKxhl9ZZPuotamgDq2*s/YemiAlade_FashionPlus.jpg?width=650)
Good newz ni kwamba Zuwena Mohamed ‘Shilole’ atapanda jukwaa moja na diva wa muziki kutoka Nigeria anayetamba na wimbo wa Johnny, Yemi Alade kudondosha shoo ya...
9 years ago
Bongo521 Dec
Shilole aingia studio na producer wa Yemi Alade, Selebobo
![Shilole na Selebobo](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Shilole-na-Selebobo-300x194.jpg)
Staa wa muziki nchini, Shilole ameingia studio na producer wa hit single ya Yemi Alade (Johnny) Selebobo wa Nigeria kurekodi wimbo mpya.
Shilole ambaye yupo nchini Nigeria, ameiambia Bongo5 kuwa kila kitu kimeenda sawa na usiku wa Jumamosi waliingia studio.
“Tunaingia leo (Jumamosi) usiku studio. Nimezungumza naye nimemwonesha ngoma zangu na ametokea kupenda kazi zangu, kwahiyo kwa kifupi mashabiki wangu wategemee mambo mazuri hasa hasa kolabo,” alisema.
Shilole amesema safari yake ya...
11 years ago
GPL28 Jul
SHILOLE: TUKUTANE UWANJA WA TAIFA MUONE NINAVYOCHUANA NA YEMI ALADE
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/R*tm0ukPJZcQC0Z7ojHaPdVlpPGbFfl5xXvfKrMumU7dt0z1RYinBiBX4AYozwOCp5*JgVt8nYP8klBzc4hgVIBU741yeIZD/TAMASHALAMATUMAINIA3copy.jpg?width=750)
9 years ago
Bongo504 Dec
Nakuja na project itakayowatikisa rappers wengi – Stamina
![12237338_1516367548673634_1513271570_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/12237338_1516367548673634_1513271570_n-300x194.jpg)
Stamina amedai kuwa atafunga mwaka kwa wimbo ‘Fundi Mistari’ ambao anaamini utawatikisa rappers wengi.
“Sitoi tena ngoma official kama nilivyosema ila kuna ile albamu itatoka wiki ijayo,” ameiambia Bongo5.
“Pia kuna project mpya nakujanayo ambayo itawateteresha marapa wengi sana. Hii project inaitwa ‘Fundi Mistari’. Kwahiyo ni kama mistari sita ambayo nimechana bila chorus na nitashoot kama kilinge halafu itatoka kwaajili ya watu wanaopenda muziki wangu,” ameongeza.
Jiunge na Bongo5.com...