Uwanja Mpana wa kuChat na Marafiki kwenye Tenbre-StarTimes!
![](http://4.bp.blogspot.com/-dkVvq4HDE5g/VXlltYfymLI/AAAAAAAHeqw/wktVRvbPa7c/s72-c/New%2BPicture.png)
Kingine kipya kutoka Star Times kinadondoka kwako! App kali ya Tenbre; sasa itakufanya uzipate habari zote kali, chat room inakayokupa uwezo wakualika marafiki, kupiga stori mbalimbali za vipindi vya Startimes ambapo tabasamu hutawala.
Orodha yote ya vipindi vya wiki nzima itakuwa kiganjani mwako kupitia smartphone yako, unapata uwezo wakipekee kupanga channel uzipendazo kutegemeana na nchi; au mkoa. Si hilo tu, wale wapenzi wa filamu na muziki na habari zataifa hatuja waacha...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Jul
Cheki list ya vipindi vyako vyote vikali kwenye simu yako na Tenbre Star Times!
Ukishamaliza kudownload app ya Tenbre Star Times, kuangalia orodha ya vipindi vinayo ruka kwa siku hiyo, ni rahisi sana!
1. Kwenye app yako ya tembre, bonyeza kitufe cha menu (nyekundu) juu kushoto kwenye screen ya simu yako. Hii itakuletea orodha yenye baadhi ya vitu kuchagua. Bofya “Channel Guide”.
2. Sasa utaona orodha kama hii ya kwanza. Ukiscroll chini utaona orodha ya chaneli zilizopo.
3. Chagua chaneli unayotaka na orodha ya vipindi vinavyoruka kwa siku hiyo ita tokezea.
Kwa...
10 years ago
VijimamboDULLAH MSANGI AWAALIKA MARAFIKI KWENYE BBQ, HOOVER, ALABAMA.
11 years ago
CloudsFM11 Jun
WASANII WAMWALIKA RAIS KWENYE UZINDUZI WA KAMPENI YA ‘NAIAMINIA TANZANIA’,JUMAMOSI HII KWENYE UWANJA WA JAMHURI, DODOMA
Naiminia Tanzania ndiyo habari ya mjini, weekend hii siku ya Jumamosi ndani ya uwanja wa Jamhuri,Mkoani Dodoma wasanii wa fani mbalimbali hapa nchini wameandaa ufunguzi wa kampeni kubwa inayoitwa ‘Naiaminia Tanzania’.
Ambayo ni muendelezo wa ile ngoma yao ya miaka 50 ya tanzania, ambayo waliirekodi wasanii 50, wakashuti na video.Msanii wa Bongo Fleva,Mwana FA pamoja na Nikki Wa Pili watatoa speech mbele ya mgeni rasmi, Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania. Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, rais wa...
10 years ago
Bongo522 Jan
WhatsApp sasa wamekuwezesha kutumia computer kuchat
10 years ago
Dewji Blog13 Jul
Sasa ni rahisi zaidi kutazama account yako na Tenbre App
Sasa unaweza kucheki bill ya account yako mpaka miezi sita kwa app ya tenbre. Unaweza kuona historia ya account yako, makato au marejesho ya kiasi cha pesa pia yataonekana.
Anza kwa kuchagua “smart card”. Hii itakuonyesha orodha ya vitu mbali mbali.
Chini ya orodha hii, utaona “Account Bill”, chagua hiyo ili kuangalia bill yako.
Unaweza kuchagua mwezi unaotaka kuangalia:
Download Tenbre kwa kutembelea Play Store kwenye simu yako ya Android au bofya hapa
Kama una swali au ungependa kujua...
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Ijue hatari ya saratani ya utumbo mpana
10 years ago
Mwananchi10 Dec
Kamati teule za bunge ziwe na wigo mpana
10 years ago
Mwananchi20 Oct
Soka ni vita kwenye uwanja mstatili
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jn0HiigvFFw-6BWJoM6al8LVzcM40oQ7ZxWD36sL9XPvo-6FD29sUlHCnqwo3U64rA62VHEbe-WGJAX-BnDQsp9aRrHQQ3b8/2.jpg?width=750)
MAZOEZI YA SIMBA SC KWENYE UWANJA WA NANGWANDA, MTWARA