WhatsApp sasa wamekuwezesha kutumia computer kuchat
Mtandao maarufu zaidi wa ujumbe wa simu, WhatsApp sasa unakuwezesha kuwasiliana na marafiki waliopo kwenye simu yako kwa kutumia laptop laptop na PC kwa mara ya kwanza. WhatsApp imeboresha zaidi huduma yake ili wewe uendeleze mazungumzo yako uliyoanzisha kwenye simu unapokuwa unatumia laptop au computer yako. Unapojiunga na huduma hii utakuwa ukipokea na kutuma ujumbe […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo18 Dec
Utata ulivyoibuka baada ya watu wa Brazil kuzuiwa kutumia WhatsApp..
Mtandao wa WhatsApp umekamata sana sasahivi kutokana na watu wengi kupendelea kuutumia mtandao huo, inakuwaje una smartphone yako alafu unazuiwa kutumia WhatsApp ?!! Brazil imewakuta hiyo. Ishu ilianza hivi, Mahakama ya Brazil iliagiza wamiliki wa mtandao huo kuwapa nafasi ya kuweza kuingilia na kupekua taarifa za kila mtumiaji wa mtandao wa WhatsApp aliyepo Brazil, lakini wamiliki […]
The post Utata ulivyoibuka baada ya watu wa Brazil kuzuiwa kutumia WhatsApp.. appeared first on...
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-HEK0QDRFAKk/VfbgSFxKdDI/AAAAAAAAc94/ZD0jx_zSt18/s72-c/3.jpg)
TASWIRA ZA UWANJA WA KAITABA UNAVYOENDELEA MPAKA SASA MJINI BUKOBA. KUMALIZIKA KUJENGWA MWEZI DESEMBA 2015, KAGERA SUGAR KUTUMIA UWANJA WA MUSOMA KWA SASA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-HEK0QDRFAKk/VfbgSFxKdDI/AAAAAAAAc94/ZD0jx_zSt18/s640/3.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-X5Wt3S3udSE/VfbhJIrz2BI/AAAAAAAAc-Q/Gr3Ol0vaPjo/s640/5.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-GDe0f46dIZA/VfbhJuyupBI/AAAAAAAAc-U/4ESsV93HWu0/s640/6.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-9uKwr4HtDww/VfbhH4OLdkI/AAAAAAAAc-I/QQDK6yIDvSg/s640/7.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-WPd0HA-I9Ck/VfbhqYdprvI/AAAAAAAAc-k/JghbrBbsirU/s640/8.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-QqWb_abmdRI/VfbhqPndAVI/AAAAAAAAc-g/5613cPEm1Zo/s640/9.jpg)
11 years ago
Mwananchi11 Mar
EAC sasa kutumia sarafu za ndani
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-dkVvq4HDE5g/VXlltYfymLI/AAAAAAAHeqw/wktVRvbPa7c/s72-c/New%2BPicture.png)
Uwanja Mpana wa kuChat na Marafiki kwenye Tenbre-StarTimes!
![](http://4.bp.blogspot.com/-dkVvq4HDE5g/VXlltYfymLI/AAAAAAAHeqw/wktVRvbPa7c/s320/New%2BPicture.png)
10 years ago
Vijimambo10 Feb
Chadema sasa kushambulia kwa kutumia mabaraza yake
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Tumaini-10Feb2015.jpg)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeamua kutumia mabaraza yake kufanya mashambulizi ya kisiasa kujiimarisha miongoni mwa makundi maalum katika jamii.
Kwa mujibu wa habari zilizopatikana kutoka ndani ya chama hicho, chama hicho sasa kitayatumia mabaraza yake ya Vijana (Bavicha), Wanawake (Bawacha) na (Bazecha) kama mkakati wa kulenga makundi mahsusi ya wapiga kura katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika...
10 years ago
Tanzania Daima20 Sep
Katiba sasa itapatikana kwa kutumia vyombo vya dola?
EEEEEH! Eti hivi ndivyo Katiba tarajiwa italindwa? Haya ndiyo maridhiano katika kuandika katiba mpya? Polisi, virungu na mbwa ndio mjadala wa kukamilisha katiba mpya enyi wanadamu? Kama Katiba ni ya...
10 years ago
Mwananchi20 Feb
TEKNOLOJIA TIBA: Upasuaji kwa kutumia roboti sasa wafanyika nchini
11 years ago
Michuzi24 Jul
SI DHAMBI KUTUMIA KATIBA ILIYOPO SASA KATIKA CHAGUZI ZIJAZO ENDAPO UKAWA WATAGOMA KURUDI BUNGENI - PINDA
Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini .
9 years ago
Dewji Blog07 Nov
When You Don’t Use Your Computer for a Month
This guy turned on his computer after a month and couldn’t understand why it was not working properly. He opened it up to investigate and found the strangest thing inside. How is that even possible?
When he finally got the box apart he found that mushrooms has been growing in the circuitry. Weird but totally true and you can see for yourself.