Utata ulivyoibuka baada ya watu wa Brazil kuzuiwa kutumia WhatsApp..
Mtandao wa WhatsApp umekamata sana sasahivi kutokana na watu wengi kupendelea kuutumia mtandao huo, inakuwaje una smartphone yako alafu unazuiwa kutumia WhatsApp ?!! Brazil imewakuta hiyo. Ishu ilianza hivi, Mahakama ya Brazil iliagiza wamiliki wa mtandao huo kuwapa nafasi ya kuweza kuingilia na kupekua taarifa za kila mtumiaji wa mtandao wa WhatsApp aliyepo Brazil, lakini wamiliki […]
The post Utata ulivyoibuka baada ya watu wa Brazil kuzuiwa kutumia WhatsApp.. appeared first on...
MillardAyo
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziMgomo baridi wa usafiri BAADA YA DALADALA DAR ES SALAAM KUZUIWA KUTUMIA KITUO CHA MWENGE NA KUTUMIA CHA MAKUMBUSHO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LDRZ*VdxUTHSLs3ZmcKgyvxgSit3MuuDGvhvCEeVXOhMcZAwGYKIUpUXHosye1na9pccQHZImnVQBZLCWoya51lkycx-6KXZ/1yuyuyu.jpg)
RECHO AANGUA KILIO BAADA YA KUZUIWA KUMTUZA DIAMOND
10 years ago
Bongo522 Jan
WhatsApp sasa wamekuwezesha kutumia computer kuchat
10 years ago
Vijimambo03 Jul
NHC YANYANGANYA MASHINE ZA KUFYATULIA MATOFARI BAADA YA HALMASHAURI ZA MIKOA BAADA YA KUSHINDWA KUTUMIA FURSA HIYO
![New Picture (1)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/New-Picture-1.png)
![New Picture (2)](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/07/New-Picture-2.png)
11 years ago
Mwananchi19 Jun
Brazil 2014: Posho yazua utata Black Stars
5 years ago
BBCSwahili13 Feb
Mabilioni ya watu wanatumia WhatsApp, lakini je mtandao huu ni salama?
11 years ago
Dewji Blog02 Jun
Baada ya mabasi kuzuiwa kituo cha Mwenge wafanyabiashara wadogo wapanga kuandamana kupinga kuweka meza zao za biashara ndani ya kituo
Abiria wakiwa wanashangaa Daladala zinapita Mwenge Bila kusimama.
Daladala zikiwa zinapita bila kusimama sehemu yoyote.
Kituo cha kwenda Tegeta , Kawe na Mbezi Beach kikiwa Kitupu Muda huu.
Kituo cha Mabasi Mwenye Cheupe hakuna hata Daladala hata moja.
Bajaji ndizo zimegeuka kuwa daladala na ni Tsh 1000 tu kwa mtu mmoja mpaka Mwenge.
Eneo ambalo Daladala zilikuwa nyingi sasa hakuna tena mabasi hayo.
Bajaji zikiendelea na Kazi.
Upande wa Mwenge kwenda Morocco Pia hakuna mabasi...
9 years ago
Bongo Movies04 Sep
Utata waibuka Baada ya Wolper Kuvishwa Pete
Baada ya hivi majuzi staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper ‘Jacqueline Lowassa’ kuwepa picha mtandaoni akivishwa pete na mchamba wake,siku ya jana kumeibuka habari za udaku sambamba na picha zikimuonyesha jamaa huyo aliyemchumbia Wolper akiwa kwenye kwenye vazi la harusi na mwanamke ambaye inasemekana ni mkeo.
Habari hizo ambazo hazijathibitishwa na jamaa huyo wala Wolper zinadai kuwa jamaa ni mme wa mtu wa ndoa ya mwaka 2014 nchini Congo na kwa sasa mkeo yupo nchini humo akiwa hana...
9 years ago
Mwananchi01 Oct
Utata watanda vifo vya watu watano