Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UWEKEZAJI KWA VIJANA KATIKA SOKA HAUKWEPEKI

MICHUANO ya soka ya Chalenji kwa nchi za Afrika Mashariki iliyoanza Novemba 27, mwaka huu nchini Kenya, ilifikia tamati juzi Alhamisi kwa wenyeji kuibuka mabingwa wa michuano hiyo mwaka huu. Kenya ‘Harambee Stars’ wameshinda taji hilo baada ya kuishinda Jamhuri ya Sudan katika fainali, huku Zambia ikishika nafasi ya tatu baada ya kuifunga Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ kwa penalti. Michuano hiyo ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Bila uwekezaji soka ya vijana kazi bure

SOKA ya Tanzania bado inakabiliwa na changamoto nyingi ambazo kwa hakika zimeifanya ishindwe kupiga hatua kimataifa kuanzia ngazi ya klabu hadi timu za taifa. Zipo sababu nyingi zinazochangia hali hiyo,...

 

11 years ago

Michuzi

KITUO CHA UWEKEZAJI CHAWAPONGEZA WAKUU WA MIKOA KATIKA JITIHADA ZAO ZA KUHAMASISHA UWEKEZAJI MIKOA YA KANDA YA ZIWA

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji amewapongeza Wakuu wa Mikoa wa Kanda ya Ziwa katika juhudi zao za kuhakikisha Kongamano la Uwekezaji Kanda ya Ziwa linafanyika.
Mikoa ambayo itashiriki katika Kongamano la Uwekezaji la Kanda ya Ziwa ni Mwanza, Geita, Mara, Simiyu, Kagera na Shinyanga Kongamano ambalo kwa pamoja litawakutanisha Wawekezaji pamoja na Serikali katika kujadili vivutio vya Uwekezaji vinavyopatikana katika mikoa hiyo ya kanda ya Ziwa.
Kituo cha Uwekezaji Kimejizatiti...

 

10 years ago

Mwananchi

UWEKEZAJI SOKA: Real Madrid, NSSF kuibua vipaji

>Real Madrid na Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF) wamesaini mkataba wa miaka 18 wa kujenga kituo cha michezo kwa gharama ya Sh16 bilioni kwa lengo la kuibua na kuendeleza vipaji vya soka kwa vijana Tanzania.

 

10 years ago

Michuzi

UTT-AMIS YATOA WITO KWA WATANZANIA KUJITOKEZA KATIKA MASUALA YA UWEKEZAJI

WATANZANIA wametakiwa kujitokeza katika masuala ya uwekezaji kwani fursa hiyo wanayo kama ilivyo kwa baadhi ya watu kutoka nje. Hayo yalisemwa na Ofisa Habari Idara ya Masoko, Waziri Ramadhani, wakati wa maonesho ya kuadhimisha miaka 53 ya Uhuru wa Tanganyika, yaliyofanyika jijini Dar es Salaam juzi.Alisema hivyo kutokana na baadhi ya watu hapa nchini kudhani kuwa ili mtu awe muwekezaji ni lazima atoke nje ya nchi wakati sio kweli. “Nawaomba Watanzania wenzangu watambue kuwa wao pia ni...

 

11 years ago

GPL

NHC YAENDESHA JUKWAA LA UWEKEZAJI KATIKA SEKTA YA NYUMBA KWA WADAU WAKE

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mh.Prof Anna Tibaijuka akizungumza mbele ya wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo baadhi ya Wakuu wa Mikoa na Wadau mbalimbali kwenye jukwaa la Uwekezaji katika Sekta ya Nyumba.Prof.Tibaijuka alisema kuwa Serikali inaridhishwa na utendaji unaofanywa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC).…

 

10 years ago

Michuzi

msimu wa tano wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars wazinduliwa leo

Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania leo imezindua rasmi msimu wa tano wa mashindano ya soka kwa vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars ambayo yataanza kutimua vumbi Agosti 8 katika ngazi ya awali na kuhitimishwa kwa fainali za Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia Septemba 11 - 21 mwaka huu.  Akiongea na waandishi wa habari kwenye hafla ya uzinduzi jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania Beatrice Singano amesema kampuni ya Airtel Tanzania ...

 

11 years ago

Michuzi

BAADA YA KIPIGO CHA SERENGETI BOYS, MALINZI AKIRI UBOVU WA MAANDALIZI NA KUKOSEKANA KWA MFUMO SAHIHI WA SOKA LA VIJANA

BAADA ya timu ya taifa ya vijana ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys kutolewa katika michezo ya kuwania kufuzu fainali za Afrika za vijana na Afrika kusini kwa wastani wa mabao 4-0, Rais wa shirikisho la soka Tanzania, TFF, Jamal Emil Malinzi amekiri kuwa bado timu haijaandaliwa vizuri.Rais Malinzi amesema tatizo la timu ni maandalizi yasiyoridhisha yanayochangiwa na kukosa mfumo sahihi na mpango mzuri wa soka la vijana.“Tatizo letu ni lile lile, kwenye maandalizi, lakini...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Vijana changamkieni fursa za uwekezaji — Dk Bilal

MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Gharib Bilal, amewataka vijana nchini kuchangamkia fursa mbalimbali za uwekezaji kwa njia ya ubia kutoka kwa wawekezaji wa nje, ili kujitengenezea fursa za ajira...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani