Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vatican yawakamata wawili kwa kuvujisha siri

Vatican imesema watu wawili imewakamata watu wawili mmoja akiwa kasisi wa kanisa hilo na mwingine mfanyakazi wa zamani wa makao ya papa kwa tuhuma kuvujisha nyaraka siri za kanisa hilo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Mwanamke Aliyezaa watoto wawili na Assange kwa siri ubalozini aeleza hofu yake

Mwanasheria Stella Morris anasema wawili hao walianza mapenzi yao mwaka 2015 wakati Asange akiwa mafichoni kwenye ubalozi wa Ecuador jijini London.

 

10 years ago

Bongo Movies

Batuli Amshukia Kitale Kwa Kuvujisha Picha Hizi Mtandaoni

Staa wa mrembo wa Bongo Movie, Batuli ameonyesha kuchukizwa kwake kwa kitendo cha staa mwenzake, Kitale kuvujisha picha hizi  akiwa faragha na mwigizaji chipukizi, Stanbakora ikiwa ni kati ya moja ya kipande cha kazi yao mpya, kwa madai kuwa anaipa ‘promo’.

Kupitia ukurasa wake mtandao Batuli ameeleza kuwa Kitale alimpa picha hizo Mateja ambaye ndiye aliezisambaza kwenye mtandao wa Instagram.

“Kwanza mniwie radhi Watanzania mnachokiona na kinachoelezewa ni vitu viwili tofauti mwenye akili...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI

Asalamu Alaikhum Ndugu Watanzania Wa Zanzibar na Tanganyika natumai mumeamka salama na muko katika harakati za kutafuta KIJIO. Ama mimi sina budi ila kumshukuru Mwenyezi Mungu kwakunijaalia kunipa uzima, afay na muda huu mdogo wakufikisha ujumbe […]

The post CCM: YAANZA KUUZA UZA -HISA ZA PBL KWA $$$: milioni 80. SIRI SIRI appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Vijimambo

Bifu la Emelda Mwamanga wa Bang magazine na Reginald Mengi Kwa Kuvujisha Picha za Mengi na Familia yake


Mwanamama mjasiriamali, na managing director wa jarida maarufu nchini , Bang magazine , aitwaye Emelda Mwamanga amefunguka kuhusu bifu lake na mfanyabiashara maarufu nchini, Reginald Mengi, kupitia kwenye moja ya mahojiano ya kwenye kipindi maarufu cha Tv Hapa nchini .Mbali na kuelezea experience yake kwenye biashara yake, pia alizungumzia changamoto mbali mbali anazokabiliana nazo kwenye biashara zake, moja ya changamoto alizozielezea ni ile ya kushtakiwa na mfanyabiashara maarufu nchini,...

 

9 years ago

Bongo5

Abdul Kiba adai kuvujisha ngoma hakulipi

Abdul Kiba anadai amegundua kuwa mfumo wa kuachia wimbo akiwa amejipanga kuna matokeo mazuri kuliko kuvujisha. Amesema njia aliyotumia kuachia wimbo wake mpya ‘Ayaya’ aliomshirikisha Ruby, imeleta matokeo mazuri tofauti na nyimbo zake zilizopita. “Kuachia nyimbo kwa kuvujisha au kutoa bila utaratibu hakuna manufaa,” amesema. “Nyimbo yangu zilizopita kama ‘Pita Mbele’ ni nyimbo ambazo sikuziachia […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema Amtusi Shemeji wa Zari, Kisa?! Kuvujisha Picha Mtandaoni!

SEKESEKE:  Inadaiwa kuwa mwigizaji Wema Sepetu ‘Madam’ amemporomoshea matusi mazito shemeji wa Zarina Hassan ‘Zari’, King Lauwrance akidai amemuudhi sana kwa kitendo cha kuvujisha picha inayomuonesha akiponda raha nchini Afrika Kusini ‘Sauz’ na mume wa Zari, Ivan Semwanga.

Kama tunavyojua Wema na staa wa Bongo Fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ walikwenda Sauz  kufanya Le Project ya Video.

Kwa mujibu wa chanzo  cha GPL kilichokuwa Sauz, baada ya Wema na Ommy kutua nchini humo na ‘project’ ...

 

10 years ago

BBCSwahili

Israel yawakamata 7 waliochoma Wapalestina

Polisi wa Israeli wamewakamata watu 7 wanaoshukiwa kuchoma nyumba ya mpalestina katika ukingo wa magharibi na kuua mototo.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uganda yawakamata washukiwa wa Mauaji

Uganda inasema imekamata watu kadhaa kuhusiana na mauaji ya mwendesha mashtaka Joan Kagezi yaliyotokea wiki iliyopita.

 

10 years ago

BBCSwahili

Saudia yawakamata wanachama 430 wa IS

Mamlaka nchini Saudi Arabia inasema kuwa imewakamata zaidi ya washukiwa 430 wa kundi la Islamic State wakati wa msako wake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani