Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VENEZUELA: SERIKALI NA WAPINZANI WAANZA MAZUNGUMZO YA SIRI

Mgogoro wa Venezuela: Serikali na wapinzani waanza mazungumzo ya siri Serikali ya Venezuela na wapinzani wa nchi hiyo wameanza duru mpya ya mazungumzo ya siri yenye lengo la kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa nchi hiyo.Taarifa zinaeleza kuwa, washirika wa Rais Nicolas Maduro wa Venezuela na wale wa mpinzani wake, kiongozi wa upinzani Juan Guaido, wameanza mazungumzo ya siri wakati hofu imetanda nchini humo juu ya kuenea zaidi kwa virusi vya Corona.Mazungumzo hayo yanafanyika wakati kuna wasiwasi mkubwa kuhusu janga la virusi vya Corona au COVID-19,...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tendwa awapa siri wapinzani

Tangu mwaka 1995 vyama vya upinzani nchini vimekuwa vikisimamisha wagombea katika Uchaguzi Mkuu na kuambulia patupu mbele ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), lakini sasa vimepewa somo la kushinda katika uchaguzi huo na aliyekuwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, John Tendwa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Serikali ishughulikie mafisadi, si wapinzani’

MBUNGE wa Viti Maalumu, Mariam Msabaha (CHADEMA), amesema tatizo kubwa la bajeti ni kutokana na kuwa na mafisadi wengi ambao wanalindwa na serikali. Amesema inasikitisha kuona serikali ikiwashughulikia wanachama wa...

 

10 years ago

GPL

NGELEJA: SERIKALI ZA MITAA TUMEWAKIMBIZA WAPINZANI

Mbunge wa Sengerema (CCM), William Ngeleja. Stori: Erick Evarist
MBUNGE wa Sengerema (CCM), William Ngeleja ameweka wazi kuwa pamoja na ushindani kuwa mkubwa katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliofanyika hivi karibuni, anajivunia ushindi mzito walioupata kupitia chama chake. Uchaguzi huo ulifanyika nchi nzima Desemba 14, mwaka huu ambapo licha ya kasoro ndogondogo zilizojitokeza katika baadhi ya maeneo na kusababisha...

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Achaneni na wapinzani, hawana serikali- Nape


WANANCHI wametakiwa kuwa macho na baadhi ya vyama, ambavyo lengo lao ni kuwagawa wananchi kwa maslahi yao.
Kauli hiyo ilitolewa juzi na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi,  Nape Nnauye, alipozungumza na wakazi wa kijiji cha Itolwa wilayani Chemba.

Alisema kumekuwepo na tabia ya baadhi ya vyama kwenda kwa wananchi kuwalaghai kuwa vingeweza kufanya mabadiliko ya hali zao za kimaisha endapo wagombea wake watachaguliwa.
Nape alisema watu hao ni wadanganyifu kwani wanapochaguliwa, hawaonekani kutokana...

 

11 years ago

BBCSwahili

Serikali na waasi kumaliza mazungumzo

Ethiopia inasema serikali na waasi wa Sudan kusini wamekubali kusitisha mapigano na kuunda serikali ya mpito katika siku 60 zijazo

 

10 years ago

Mwananchi

Bila kuondoa kasoro chaguzi Serikali za Mitaa, wapinzani ni wasindikizaji tu

Tukio kubwa linalotazamwa kwa umakini na wanasiasa wa Tanzania hivi sasa, ni Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

 

10 years ago

BBCSwahili

Yemen:Serikali yapinga mazungumzo na waasi

Serikali ya Yemen iliyoko uhamishoni, haitakubali kufanya mazungumzo ya amani na wanamgambo wa Houthi

 

10 years ago

BBCSwahili

Hong Kong:Serikali kufanya mazungumzo

Mkurugenzi mkuu wa mji wa Hong Kong Carrie Lam ametangaza kuwa serikali itafanya mazungumzo nawaandamanaji

 

9 years ago

BBCSwahili

Serikali ya Burundi kususia mazungumzo Arusha

Serikali ya Burundi imesema haitashiriki mazungumzo ya amani ambayo yamepangiwa kuanza hapo kesho mjini Arusha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani