Vibaka tishio Sumbawanga
WAKAZI wa Mji wa Sumbawanga mkoani hapa waishio maeneo ya Majengo walilitaka Jeshi la Polisi kufanya doria za mara kwa mara za usiku ili kukabiliana na visa vya kihalifu vilivyokithiri sasa katika maeneo hayo. Wengi waliohojiwa na mwandishi wa habari hizi kwa masharti ya majina yao kutoandikwa gazetini, wamekiri kuongezeka kwa visa vya kihalifu katika maeneo hayo nyakati za usiku vikiwemo ukabaji , ubakaji na uvunjaji wa nyumba.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
FLORA ALIA NA VIBAKA
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Vibaka wamliza Harmonize
NA MWANDISHI WETU
MSANII kutoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Rajabu Abdulkhali ‘Harmonize’, amewashukuru wakazi wa Tanga kwa kujitokeza kwa wingi kwenye onyesho lake la kwanza alilolifanya mkoani humo siku ya Krismasi licha ya watu wasiofahamika kumuibia vitu vya thamani.
Akizungumzia onyesho hilo, Harmonize alisema hakutarajia kupata mapokezi makubwa kama aliyoyapata, lakini anasikitika baadhi ya mashabiki wasio waaminifu waliweza kumuibia cheni na saa.
“Baada ya onyesho nilishuka...
10 years ago
Habarileo24 Nov
Vibaka waua askari, wauawa
WATU watano wanasadikiwa kuwa wamekufa baada ya kuibuka kwa vurugu zinazohusishwa na vibaka katika eneo la Mbagala Kongowe Mzinga katika Manispaa ya Temeke, Dar es Salaam. Polisi wamethibitisha kutokea kwa tukio hilo, ingawa hawakutoa taarifa kamili kwa kuhofia kuharibu uchunguzi na kuahidi kuwa watatoa taarifa kamili ya vurugu hizo leo.
11 years ago
Habarileo20 Mar
Soko lageuka maficho ya vibaka
SOKO lililojengwa katika Kata ya Mjimwema wilayani Njombe mkoani Njombe, limegeuzwa maficho ya vibaka. Gharama halisi zilizotumika kujenga soko hilo, hazijajulikana. Soko hilo lilizinduliwa kwa matumizi ya biashara Novemba 10, 2011.
10 years ago
GPL
VIBAKA WAMLIZA TUNDA MAN
9 years ago
Global Publishers04 Jan
Kamanda OFM avamiwa na vibaka
Mwandishi wetu, Moro
Hii si sawa! Kamanda wa Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers, Mkoa wa Morogoro, Dustan Shekidele amevamiwa na vibaka kisha kuporwa kamera na simu alipokuwa akiwatetea wananchi waliovamiwa na vibaka hao katika Mkesha wa Mwaka Mpya.
Awali kamanda huyo alikuwa kwenye Mkesha wa Mwaka Mpya katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika wa Mji Mpya, alipotoka majira ya saa 6:00 usiku ndipo akapigiwa simu na akina mama waliokuwa wakilalamika...
5 years ago
Michuzi
MACHINGA WALIA NA VIBAKA IRINGA

NA FREDY MGUNDA,IRINGA.
Wafanyabiashara wadogo wadogo maarufu kama machinga manispaa ya Iringa wameendelea kuathirika na wizi unaofanywa na vibaka kwa kuvunja stoo na kuiba mali za wajasiliamali hao.
Akizungumza na waandishi wa habari katibu mkuu wa machinga mkoa wa Iringa Joseph Mwanakijiji alisema...
10 years ago
GPL
NISHA AFANYIWA KITU MBAYA NA VIBAKA
11 years ago
GPL
VIBAKA WACHOMWA MOTO HADI KUFA