Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Beka (Natumaini) kuja na album aliyoimba kwa makabila zaidi ya matano

Beka_1

Muimbaji mahiri wa muziki aliyewahi kutamba na wimbo ‘Natumaini’, Beka Ibrozama, anatarajia kuja na album mpya iitwayo Kwetu aliyoimba kwa zaidi ya makabila matano.

Katika makabila hayo hakuna hata moja la kwake.

Ameiambia Bongo5 kuwa ukimya wake ulisababishwa na kuwa busy kuiandaa album hiyo na pia kutengeneza bendi yake itakayoanza hivi karibuni.

“Nimechukua muda mwingi kuitengeneza kwasababu nimeenda lugha kama tano tofauti,” amesema.

“Nimeimba Kinyakyusa, nimeimba Kichaga, nimeimba...

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Album mpya ya 2face ‘The Ascension’ yaingia kwenye orodha ya Billboard ya album zinazouza zaidi duniani

Jarida la muziki la Marekani, Billboard Magazine limeitaja album mpya na ya sita ya muimbaji wa Nigeria, 2face Idibia, ‘The ‘Ascension miongoni mwa album zilizouza zaidi wiki hii duniani. ‘The ‘Ascension ” imekamata nafasi ya 12 kwenye chart billboard. Mafanikio hayo yamepokelewa kwa furaha kubwa na mke wake Annie Macaulay-Idibia aliyetumia mtandao wa Instagram kuelezea […]

 

10 years ago

Bongo5

Jay Z na Beyonce kuja na album ya pamoja

Jay Z na Beyonce wameanza kurekodi album ya pamoja, kwa mujibu DJ Skee. DJ huyo amedai kuthibitisha suala hilo kutoka kwa chanzo zaidi ya kimoja. “Couple kubwa kwenye muziki, pengine kwenye burudani, pengine duniani, wanatengeneza album ya pamoja,” alisema. “You know who I’m talking about, Jay Z and Beyonce . I have confirmed and talked […]

 

9 years ago

Africanjam.Com

NEW VIDEO: MWANA FA - AHSANTENI KWA KUJA / THANKS FOR COMING (Official Video)




Africanjam is website that was launched  in December 2013 (with another domain) and on April 2014 the new domain Africanjam(dot)com came into use. It was found by John Kapela who is currently in Dar es Salaam Tanzania. This site provides news from Africa and all over the world in Politics, Sports and Entertainment. We also provide Technology tips, some Amazing Facts as well as Football updates from all over the world. Visit this site everyday for being in touch with everything happening in...

 

9 years ago

Bongo5

Video: Beka Ibrozama – Come Back

beka ibrazama

Video mpya ya msanii Beka Ibrozama wimbo unaitwa “Come Back”. Video imeongozwa na Mr.Mahumu

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

Bongo5

Ja Rule kuja na reality show, double album na ziara ya dunia na Ashanti

Rapper Ja Rule aliyewahi kutumikia kifungo cha miezi 28 jela kuanzia mwaka 2011 anatarajia kuanza kuonekana zaidi kwa kuja na reality show, double album na ziara ya dunia na Ashanti. Kwa sasa Ja Rule anaishi na mke wake Aisha na watoto wao watatu, mama yake na mama mkwe watakaonekana kwenye reality show, Follow the Rules […]

 

9 years ago

Bongo5

Tid na Q Chillah wamaliza tofauti zao, waahidi kuja na album ya pamoja

Habari njema kwa mashabiki wa muziki Tanzania ni kuwa hatimaye wanamuziki nguli wa Bongo fleva, Aboubakar Shaaban Katwila a.k.a Q-Chillah na Khalid Mohamed a.k.a Tid Mnyama wamemaliza tofauti zao zilizodumu kwa muda mrefu. Tid na Q Chief walipokuwa kwenye kipindi cha XXL Wasanii hao ambao waliwahi kufanya kazi pamoja katika Top Band ya Tid kabla […]

 

9 years ago

Bongo5

New Video: Mwana FA – Asanteni Kwa Kuja

fa asanteni

Foleni kubwa ya wasanii kuachia video zao mwisho wa mwaka jana 2015, yaweza kuwa sababu iliyomfanya Mwana FA aishikilie video yake kwa muda hadi baada ya mwaka mpya licha ya kukamilika mapema.

fa asanteni

‘Asanteni kwa kuja’ ni wimbo mpya wa rapper Mwana FA aka Binamu alioutoa mwishoni mwa mwaka jana na kwenda Afrika Kusini kushoot video yake.

Sasa the wait is over, na tayari Binamu ameachia video hiyo iliyoongozwa na Alessio Bettocchi wa kampuni ya Studio Space Pictures ya Afrika Kusini. Itazame...

 

9 years ago

MillardAyo

Yemi alade kaisambaza hii single mpya aliyoimba kwa kiswahili..(+Audio)

Ni headlines za msanii kutoka Nigeria, Yemi Alade ambaye time hii ameamua kutuletea hii single ya ‘Na Gobe’ (Swahili Version) ambayo ameimba kwa lugha ya kiswahili ili watu wake wa East Africa waweze kumuelewa vizuri zaidi. Kukutana nayo bonyeza play hapa chini ikupeleke moja kwa moja, pia usiache kuniandikia maoni yako baada ya kuisikiliza version […]

The post Yemi alade kaisambaza hii single mpya aliyoimba kwa kiswahili..(+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani