Video: Diamond alitaja tukio lililomsababisha amtafute mwalimu wa Kiingereza
Miaka kadhaa iliyopita, Diamond Platnumz alijikuta kwenye mtihani mgumu baada ya kubaini kuwa hakutakiwa tu kutumbuiza kwenye jukwaa la kimataifa, bali pia alitakiwa kuzungumza kwa dakika kadhaa mbele ya live television Afrika nzima! Kuongea hakikuwa kitu kigumu kwa muimbaji huyo wa Nana, bali lugha aliyotakiwa kutumia – Kiingereza, ilikuwa inampita kushoto wakati huo. “Wakati naanza […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1D30FS3uSctmlHjp4vARAaZy7TCeHNrPJHDlMdKOevy85rGulzKyRRb6hvyNHAHU0z7Bx6jjbIOk8hV*BUJVrePExLm6sq32/diamond....jpg)
DIAMOND: PENNY NDIYE MWALIMU WANGU WA KIINGEREZA
10 years ago
Vijimambo21 Dec
9 years ago
Mtanzania20 Oct
Diamond Platnumz: Bila Kiingereza huwezi kuwa wa kimataifa
NA CHRISTOPHER MSEKENA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, amesema kuwa lugha ya Kiingereza ni lazima kwa msanii anayetaka kuwa wa kimataifa.
Diamond alipokuwa kwenye mahafali ya darasa la saba Shule ya Rightway, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, alisema
lugha hiyo ilimpa hofu wakati alipokuwa akitaka kufikia soko la kimataifa.
“Mwaka jana nilipata mwaliko wa kutumbuiza kwenye jumba la Big Brother, Babu Tale, akaniambia baada ya onyesho nitafanyiwa...
9 years ago
Bongo521 Oct
Msanii anayetaka kuwa wa kimataifa ni lazima ajue kiingereza — Diamond
9 years ago
Bongo523 Nov
Diamond hana mpango wa kufanya nyimbo za Kiingereza – Asema meneja wake Babu Tale
![mondi bin awards](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mondi-bin-awards-300x194.jpg)
Muziki ni lugha ya dunia, ndio sababu kuna wanamuziki wengi wanaimba lugha za kwao lakini bado wanafanya vizuri katika nchi nyingine zisizoongea lugha hizo.
Diamond Platnumz ametokea kuwa balozi mzuri wa lugha ya Kiswahili, kwasababu mafanikio aliyonayo sasa ya kufanya vizuri ndani na nje ya Afrika yametokana na nyimbo za Kiswahili alizotoa hadi sasa.
Baada ya kugundua kuwa kinachoweza kusababisha wimbo upendwe kimataifa sio lugha, hit maker huyo wa ‘Nana’ hana mpango kabisa wa kurekodi...
5 years ago
Bongo514 Feb
Video: Msako waendelea kwa muuaji wa pasaka aliyempiga risasi mzee mpita njia na kuweka video ya tukio Facebook
Msako mkali unaendelea kumnasa Steve Stephens, 37 wa Cleveland, Ohia nchini Marekani, aliyehusika kwenye tukio la mauaji ya mzee wa miaka 74, Robert Godwin.
Muuaji huyo alidai kufanya kitendo hicho baada ya kukorofishana na mpenzi wake, na hasira zake aliamua kuzihamishia kwa mzee mpitanjia huyo huku akirekodi mauaji hayo na kuweka video Facebook.
Godwin, mfanyakazi wa zamani wa kiwandani na fundi mechanic, ana watoto 10 na wajukuu 14.
Mtoto wa kike, Tonya Godwin-Baines ameiambia CNN...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-MPOKAk_OVQI/VC5JSawsd5I/AAAAAAAAiBU/H8NwI4Yk0EU/s72-c/diamond%2BPlatnums%2Bat%2BSporah%2BShow.jpg)
Kiingereza cha Diamond,The Sporah Show na Kile Cha Shigongo, Straight Talk Africa
![](http://4.bp.blogspot.com/-MPOKAk_OVQI/VC5JSawsd5I/AAAAAAAAiBU/H8NwI4Yk0EU/s640/diamond%2BPlatnums%2Bat%2BSporah%2BShow.jpg)
10 years ago
Bongo Movies03 Nov
Kwa tukio hili, Wema sepetu na Diamond hakuna kinachoendelea tena. kila mtu kwaooooo!
Pamoja na kujishaua mbele ya kamera za wanahabari na simu za kuteleza (smart phones) kisha kutupia kwenye mitandao ya kijamii wakizuga wapo pamoja, habari ya mjini inadai kwamba, sexy lady wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ amemmwaga staa wa Ngoma ya Mdogomdogo, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’.
Kwa mujibu wa chanzo makini ambacho ni rafiki mkubwa wa wapenzi hao, ishu ya kumwagana ilikuwepo muda mrefu lakini kinachoendelea ni kuwazuga mashabiki wao ili wasishuke...