VIDEO: DIAMOND AONGEA NA JESTINA GEORGE KUHUSU BET NOMINATION 2014
Jana nilibahatika kuwa mtu wa kwanza kumhoji Superstar Diamond Platnumz mara tu baada ya kuwa nominated kwenye BET Awards za Marekani kwenye kipengele cha Best International Act. Diamond ameeleza furaha yake kupitia hapa hapa Jestina George Online TV. Check him out below. Samahani kwa kelele za upepoÂ
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziDIAMOND AONGEA NA JESTINA GEORGE KUHUSU BET NOMINATION 2014
Jana nilibahatika kuwa mtu wa kwanza kumhoji superstar Diamond Platnumz mara tu baada ya kuwa nominated kwenye BET Awards za Marekani kwenye kipengele cha Best International Act. Diamond ameeleza furaha yake kupitia hapa hapa Jestina George online TV. Check him out below.
10 years ago
Michuzi20 Jan
11 years ago
MichuziDiamond achaguliwa (nominated) kugombea BET Awards 2014
Msanii maarufu na mtumbuizaji Hapa nchini Nassib Abdul, maarufu kama DIAMOND PLATNUMZ, ni miongoni mwa wasanii waliochaguliwa kwenda katika Tuzo za B.E.T zinazoandaliwa na kituo cha Television cha watu weusi nchini Marekani 'Black Entertainment Television' (BET) Tuzo ambazo zinatambulika sana kimataifa.
Msanii huyu ambae amekuwa nominated kwenye category ya 'Best African Acts' akichuana na wasanii kama Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), na Tiwa Savage...
11 years ago
GPLDIAMOND PLATNUMZ AKIMBIZA TUZO ZA BET 2014, MPIGIE KURA ASHINDE
Msanii Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz' kwa sasa anakimbiza katika mchakato wa upigaji kura katika Tuzo za BET 2014 ambapo mpaka saa 10:55 leo jioni anaongoza katika kundi lake akiwa na asilimia 76.39 ya kura zote akifuatiwa na Mafikizolo wenye kura asilimia 8.17. Tuzo hizo zitatolewa Juni 29 mwaka huu jijini Los Angeles, Marekani. KUMPIGIA KURA DIAMOND, INGIA HAPA: BET AWARD 2014… ...
11 years ago
GPLDIAMOND APAA TENA KIMATAIFA, ACHAGULIWA KUGOMBEA TUZO ZA BET 2014
STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amechaguliwa katika kinyang’anyiro cha tuzo za BET 2014 kwenye kipengele cha Msanii Bora wa Kimataifa Afrika zitakazotolewa Juni 29 mwaka huu huko Los Angeles nchini Marekani. Katika kipengele hicho, Diamond anakwaana na: Davido (Nigeria), Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). ...
10 years ago
Vijimambo20 May
Celebrity Reactions After Sauti Sol Scooped Prestigious BET Nomination
Sauti Sol has done it again! After bagging MTV EMA, Best African Act, last year, the all boys band has secured a spot on this year’s BET Awards.
News of Sauti Sol bagging BET Nomination hit the country last evening immediately driving Kenyans into a wild frenzy.
See also: Sauti Sol Gets Nominated For A Glamorous Award!!
Kenyans forgot about everything else to warm up to the good news. Lots of folks have been sending in congratulatory messages to the country’s finest singing quartet.
Celebrities...
11 years ago
Bongo511 Jul
Video:Diamond asema BET imempa connection nyingi, ‘ukiacha kuuza muziki kollabo ni kitu ambacho kinasaidia’
Msanii wa muziki Nasib Abdul aka Diamond Platinum amesema kuwa kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo za BET nchini Marekani kimempa connection nyinyi za kimuziki pamoja na kollabo ambazo zinaweza zikasaidia zaidi. Akizungumza na waandishi jijini Dar es salaam jana baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K Nyerere akitokea Marekani, Diamond alisema amepata […]
11 years ago
Michuzinkamia aongea na washiriki wa MISS UDOM 2014
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe.Juma Nkamia akiongea na baadaye kupiga picha ya pamoja na warembo washiriki wa shindano la kumtafuta REDD'S MISS UDOM 2014 Yatakayo fanyika mjini Dodoma katika Ukumbi wa Kilimani Landmark Tarehe 11/04/2014 na kusindikizwa na burudani kutoka Bendi ya Twanga Pepeta
Na Deusdedit moshi
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania