Video: Mchungaji Getrude Lwakatare aapishwa bungeni
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai amemuapisha Dkt Getrude Rwakatare kuwa Mbunge wa viti Maalum wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mheshimiwa Lwakatare ameapishwa mapema Alhamisi, Mjini Dodoma na Spika Ndugai, baada ya kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Aprili 14 mwaka huu ili kujaza nafasi iliyoachwa na Sophia Simba ambaye alivuliwa uanachama wa CCM kwa madai ya uvunjifu wa maadili ya kichama.
Video:
Dkt Getrude Lwakatare anaingia katika...
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mtanzania08 Aug
Nyumba za Mchungaji Lwakatare zavunjwa
![Mchungaji wa Kanisa la Assemblies Of God Mikocheni, Dk. Getrude Lwakatare](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/Mchungaji-Lwakatare.jpg)
Mchungaji wa Kanisa la Assemblies Of God Mikocheni, Dk. Getrude Lwakatare
MANENO SELANYIKA NA VICTOR MRUTU (TUDARCO)
SERIKALI jana imebomoa nyumba nne za Mchungaji wa Kanisa la Assemblies Of God Mikocheni, Dk. Getrude Lwakatare, zilizopo Mtaa wa Palm Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
Inadaiwa Mchungaji Lwakatare alikuwa anamiliki eneo hilo kinyume na sheria.
Akizungumza na waandishi wa habari katika eneo la tukio, Mhandisi wa Manispaa ya Kinondoni, Baraka Mkuya, alisema uamuzi huo umetoka...
9 years ago
Mtanzania07 Jan
Mchungaji Lwakatare azuia hekalu lake kortini
Na Kulwa Mzee, Dar es Salaam
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha Ardhi imezuia nyumba anayoishi Mchungaji wa Kanisa la Assemblies of God Mikocheni, Dk. Getrude Lwakatare kubomolewa.
Uamuzi huo wa mahakama ulitolewa juzi na Jaji John Mgeta, baada ya Wakili wa Lwakatare, Emmanuel Muga kuwasilisha maombi ya kupinga ubomoaji huo chini ya hati ya dharura.
Jaji Mgeta alizuia ubomoaji wa jengo hilo ama kuchukua hatua yoyote kuhusu jengo hilo lililopo Kawe Beach.
Muga aliwasilisha maombi akimwakilisha mdai...
5 years ago
Bongo514 Feb
Mchungaji Lwakatare azungumzia kuziba pengo la Sophia Simba
Mchungaji wa kanisa la Assemblies Of God maarufu kama ‘Mlima wa moto’ Dk Getrude Lakwatare, lililopo Mikocheni B, amemshukuru Rais Dk. John Magufuli kwa kumkumbuka na kumteua katika nafasi ya ubunge wa Viti Maalumu.
Mama Lwakatare alitoa shukrani hizo wakati wa Ibada ya Pasaka katika kanisa hilo.
“Tunasherehekea kumbukumbu ya kufufuka kwa mwokozi wetu Yesu ambaye alitufia pale msalabani. Pasaka ya mwaka huu ni yangu, Mungu ameniona. “Nina furaha ya mwili na roho kwa sababu Yesu amefufuka...
10 years ago
VijimamboMWANASHERIA MKUU GEORGE MASAJU AAPISHWA BUNGENI
10 years ago
MichuziBREAKING NYUZZZZZ.....: Mbunge wa Mbeya Vijijini Mh.Mchungaji Luckson Mwanjale aanguka ghafla bungeni leo
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-SSHsUHW4Gqs/XqGA3N9rk8I/AAAAAAALn_A/dHNqiscyhFU_jOLWz6-a-SmbfiRUq3wSACLcBGAsYHQ/s72-c/56602b52-3dd6-4c81-abb4-c6810e8d2f01.jpg)
DKT GETRUDE RWAKATARE AZIKWA KANISANI KWAKE MIKOCHENI B
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/fbe15833-e58e-4752-8aec-14aae6659d7e.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/95c7c002-d7aa-472a-91c1-c51f60e70e25.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/c5c6a4c2-1a4d-4fc8-b0a1-a15c73ffcb2e.jpg)
Baadhi ya Waombolezaji wachache wakiwa katika mazishi ya aliyekuwa Askofu na mbunge wa Viti Maalum CCM Mkoa wa Morogoro Mama Getrude Rwakatare yaliyofanyika kwenye kanisa la Mlima wa Moto...
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-mEbZaeiJbfU/Xp1yGICDVTI/AAAAAAAEGxw/JI_QDRZq5ZAGiksfNsSvQuMq4XMmigg4QCLcBGAsYHQ/s72-c/0934bd00-b6ba-42c7-94a6-75d819d48a61.jpg)