Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Video: Pastor aliyewalisha majani waumini wake, sasa awanywesha petroli

Mchungaji wa Afrika Kusini aliyewahi kuwalisha waumini wake majani, sasa anawanywesha petrol. Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries aliwahi kuandikwa sana na vyombo vya habari duniani kwa kuwaagiza wafuasi wake kula majani kama wanyama kwa madai kuwa binadamu wanaweza kula chochote kilichotoka kwa Mungu. Kitendo hicho kiliwaacha waumini wengi wakitapika na kuharisha. Na sasa […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Atakayefungasha bidhaa kwa majani sasa kukiona

Wafanyabiashara wa matunda na mbogamboga wa Soko la Mawenzi la Manispaa ya  Morogoro mkoani hapa, wamepigwa marufuku kuingiza bidhaa hizo sokoni zikiwa na vifungashio vya majani.

 

10 years ago

Mwananchi

Petroli sasa Sh2,200

Serikali imepandisha bei ya mafuta kuanzia leo baada ya jiji la Dar es Salaam kukumbwa na uhaba wa muda wa nishati hiyo kutokana na baadhi ya wafanyabiashara kusitisha mauzo kusubiri kunufaika na bei mpya.

 

11 years ago

GPL

VIDEO: JINSI YA KUTENGENEZA JUISI YA MAJANI YA PAPAI KAMA DAWA YA DENGUE!

In this video I am showing how to prepare papaya leaf juice using a stone slab/roller which helps in increasing platelet for dengue patient. This video is in continuation with my earlier video at http://www.youtube.com/watch?v=7yZgSZ.... As all of us know that there is no medicines for dengue & no specific treatment. Treatment are given only after observing the patient. In most of the dengue patient it is seen that the platelet...

 

11 years ago

GPL

KESI YA MWINGIRA: MAHAKAMA YAJAA WAUMINI WAKE

Stori: Richard Bukos na Makongoro Oging'
KESI namba 306/13 inayomkabili Nabii na Mtume wa Kanisa la Ephata la Dar, Josephat Mwingira, ya kuzaa na mke wa mtu, Alhamisi iliyopita iliunguruma mahakamani na kusababisha watu kufurika wanaoaminika kuwa ni waumini wake. Mtume na Nabii Josephat Mwingira. Mlalamikaji katika kesi hiyo, Dokta William Morris alimfungulia kesi Nabii Mwingira katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu jijini...

 

5 years ago

Michuzi

KANISA KUGAWA BARAKOA KWA WAUMINI WAKE

Na Editha Karlo,Kigoma.
Katika kupambana na maambukizi ya virusi vya  ugonjwa wa Corona (Covid 19), Paroko wa parokia ya Mt. Vicent wa Paulo Katubuka jimbi la Kigoma Padre  Stephene Shaiju amesema kanisa limeandaa mkakati wa kuhakikisa kila muumuni anapata barakoa 2 bure kutokana na barakoa kuuzwa bei ambayo siyo kila mtu anaweza kuimudu.

Ameyasema hayo wakati wa misa takatifu iliyoazimishwa parokiani hapo baada ya Daktari kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi hivyo.

Padre Shaiju...

 

10 years ago

GPL

GWAJIMA AWAACHA WAUMINI WAKE NJIA PANDA

Erick Evarist
MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amewaacha waumini wake njia panda kufuatia kauli yake ya kuwataka wamsindikize Kituo Kikuu cha Polisi cha Kati jijini Dar, jana alipokwenda kuhojiwa huku Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akiwa ametoa tamko la kuzuia waumini hao kukusanyika kituoni hapo. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima. Gwajima aliyetoa...

 

5 years ago

CCM Blog

KANISA HALISI LA MUNGU BABA LAWAJENGA WAUMINI WAKE KIUCHUMI

Katika ibada ya Jumapili iliyopita, Kanisa Halisi la Mungu Baba, lilitumia ibada hiyo kufanya maonyesho makubwa ya bidhaa na huduma mbalimbali. ibada hiyo kwa mujibu wa Kanisa hilo inaitwa 'Mauzo ya Uzalishaji'.  mtiririko w ibada hiyo iliyoongozwa na Kiongozi wa Kanisa hilo Baba wa Uzao, ni ifuatayo;

KWA NINI IBADA NI UZALISHAJI?

UFUNGUO:
Katika Mathayo 21:13 Yesu aliwaambia watu aliowakuta wanafanyia biashara hekalumi kwamba; “Nyumba yangu itakuwa Nyumba ya Sala, lakini nyie mumeifanya kuwa...

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Missy Elliott auonesha mwonekano wake wa sasa baada ya mwili wake kupungua sanaaa!

Rapper Missy Elliot ameshare picha ya muonekano wa mwili wake ulivyo hivi sasa, baada ya kupungua kwa kiasi kikubwa sana hadi unaweza usimtambue kwa haraka. Mwonekano wa sasa wa Missy Elliott Katika picha hiyo aliyoipost Instagram aliandika “Just got off stage thanks @ALEXANDERWANGNY and @hmusa for having me perform I enjoyed.” Muonekano wa 1998 Elliot […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani