Vigogo wa Afrika waja kumzika Mbita
RAIS Jakaya Kikwete leo anaongoza waombolezaji, wakiwemo viongozi mbalimbali wa nchi za Kusini mwa Afrika, katika maziko ya Brigedia Jenerali mstaafu, Hashim Mbita yatakayofanyika jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania28 Apr
Wakuu wa nchi za Kusini mwa Afrika kumzika Mbita
Christina Gauluhanga na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
WAKATI nchi nne za kusini mwa Afrika zikithibitisha kushiriki kwenye mazishi ya Brigedia Jenerali Hashim Mbita (82) yatakayofanyika kesho katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam, baadhi ya marafiki waliomfahamu marehemu kwa miaka mingi wamesema ameacha pigo na mchango wake unatambuliwa na mataifa mbalimbali.
Mtoto wa marehemu, Idd Mbita, alisema nchi za Zimbabwe, Namibia, Msumbiji na Angola zimethibitisha kutuma wawakilishi katika...
10 years ago
Mwananchi30 Apr
JK aongoza mamia kumzika Brigedia Jenerali Mbita
10 years ago
MichuziUMOJA WA AFRIKA (AU) WAWATUNUKU DKT. SALIM NA BALOZI MBITA TUZO ZA JUU ZA MWANA WA AFRIKA
Tuzo hiyo pia imetolewa kwa Balozi Mstaafu na Mpigania Uhuru Mahiri Barani Afrika, Balozi Hashim Mbita. Tuzo hizo...
11 years ago
Mwananchi19 Jan
Mtalaa mmoja Afrika Mashariki waja
10 years ago
Mwananchi27 Apr
Mpigania ukombozi wa Afrika Brig Jen Mbita afariki dunia
10 years ago
MichuziAU YAWATUNUKU DKT. SALIM NA BALOZI MBITA TUZO ZA JUU ZA MWANA WA AFRIKA
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-t8odeSRq6vc/VLLd22zKJeI/AAAAAAAG8x0/g2nCevSP7Ec/s72-c/unnamed%2B(48).jpg)
VIONGOZI MBALIMBALI WA AFRIKA WAJITOKEZA KUMZIKA MTOTO WA RAILA ODINGA NCHINI KENYA
![](http://1.bp.blogspot.com/-t8odeSRq6vc/VLLd22zKJeI/AAAAAAAG8x0/g2nCevSP7Ec/s1600/unnamed%2B(48).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-SXxdg3J_XEM/VLLd3DsWHoI/AAAAAAAG8x4/-ulYo8EoC6U/s1600/unnamed%2B(49).jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-PieiB-5Iqz8/VLLd3PuLblI/AAAAAAAG8x8/w7W-5OgLO7U/s1600/unnamed%2B(50).jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WHzRVzpI8pk/VTyW2ArZOWI/AAAAAAAHTWQ/RZPryQB9J0E/s72-c/I0000mvLrZtLR6TE.jpg)
JUST IN: gwiji la ukombozi wa afrika kusini brigedia jenerali hashim mbita afariki dunia leo dar es salam
![](http://2.bp.blogspot.com/-WHzRVzpI8pk/VTyW2ArZOWI/AAAAAAAHTWQ/RZPryQB9J0E/s1600/I0000mvLrZtLR6TE.jpg)
Habari zilizotujia hivi punde zinasema Brigedia Jeneral Mstaafu Hashim Mbita aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Kamati ya Ukombozi ya uliokuwa Umoja wa Nchi Huru za Afrika (OAU), amefariki dunia asubuhi hii katika hospitali kuu ya jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam.
Mzee Mbita atakumbukwa Tanzania, bara zima la Afrika na dunia kwa jumla kama kamanda mahiri aliyeshiriki kikamilifu katika uondoshaji wa utawala wa ukoloni barani Afrika, hususan utawala kidhalimu wa makaburu Zimbabwe na Afrika...
10 years ago
VijimamboBALOZI WA UMOJA WA AFRIKA AMINA SALUM ALI ATOA RAMBI RAMBI KWA KIFO CHA BRIGEDIA JENERALI HASHIM MBITA
Na mwandishi wako, Washington, DC
Balozi wa kudumu wa Umoja wa Afrika, Mhe. Amina Salum Ali leo ametoa salamu za rambi rambi kwa Brigedia Jenerali mstaafu Hashim Mbita aliyefariki siku ya siku ya Jumapili April 26, 2015 asubuhi na kuzikwa siku ya Jumanne April 28, 2015 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Balozi Amina Salum Ali alisema amepokea kwa majonzi na simanzi kubwa taarifa za kifo cha mmoja wa watumishi wa miaka mingi wa Serikali, Jeshi la Ulinzi la...