Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana Afrika wataka ushirikishwaji

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana Afrika (PYU) imewataka viongozi wa nchi hizo kutoa kipaumbele kwa vijana na kuwashirikisha katika kufanya uamuzi   ngazi za juu unaohusu kundi hilo   kusaidia kupunguza changamoto zilizopo.

Rais wa jumuiya hiyo, Francine Mayumba, alisema dare s Salaam jana kuwa tatizo la ushiriki mdogo wa vijana katika ngazi za uamuzi katika nchi za Afrika husababisha kundi hilo kutotimiziwa mahitaji yao ya msingi.

“Tunataka kuondoa tatizo la kufanya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Vijana wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakutana Arusha kujadili Sera ya Vijana wa EAC

 Mbunge kutoka Kenya Mhe. David Ocheng akitoa hotuba wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania.  Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. Jesca Eriyo (kushoto) akitoa mada wakati wa mkutano wa kwanza wa Vijana wa EAC kuhusu Sera ya Vijana wa EAC unaoendelea makao makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Jijini Arusha Tanzania. Kulia ni mwenyekiti wa Mkutano huo ambaye...

 

10 years ago

Dewji Blog

Vijana kutanua wigo wa kibiashara Afrika na China kupitia mkutano wa jukwaa la viongozi vijana

IMG_2103

Balozi wa China nchini Tanzania Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akiongea na kushoto ni Naibu waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Mhe. Stephen Masele walipokutana kwenye ukumbi wa ubalozi huo kuzungumzia mkutano wa kimataifa wa viongozi vijana wa Afrika na China unatorajiwa kufanyika kuanzia Machi 27 na kumalizika Machi 31 katika Ukumbi wa Hoteli ya Ngurdoto, mkoani Arusha.

IMG_2136

Balozi wa China hapa nchini Mheshimiwa Dr.Lu Youqing akijibu swali aliloulizwa na mwandishi wa habari (Hayupo...

 

9 years ago

Habarileo

Vijana ANC wataka kuimarishwa uhusiano na Tanzania

VIJANA wa Chama cha African National Congress (ANC), ambao ni wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Taasisi mbalimbali nchini Afrika Kusini wametaka mahusiano na ushirikiano ulioanzishwa baina ya nchi yao na Tanzania kuendelea kudumishwa daima kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.

 

10 years ago

Michuzi

Makamu Mwenyekiti wa UVCCM achaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Afrika Kanda ya Afrika Mashariki

 Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM),Mboni Mhita (katikati) akizungumza na waandishi (hawapo pichani) pamoja na baadhi ya vijana wa Mkoa wa Dar es salaam leo,juu ushindi wake alioupata katika Uchaguzi wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana Barani Afrika,ambapo yeye amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Umoja huo kwa upande wa Afrika Mashariki.Uchaguzi huo ulifanyika Mwishoni mwa mwezi uliopita katika Jiji la Johannesburg,nchini Afrika Kusini.Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa...

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WALIOTIMIZA MIAKA 18 WAASWA KUPIGA KURA ILI KUCHAGUA VIONGOZI WANAO WATAKA.

Na Avila Kakingo,Globu ya jamii.VIJANA waliotimiza miaka 18 kwa mwaka huu waaswa kupiga kura ili kumchagua kiongozi wanaemtaka na watambue mchango wao katika jamii kwa kupiga kura  kwaajili ya maendeleo ya taifa letu.
Nae Mwenyekiti wa  asasi isiyo ya kiserikali Tanzania People  with Disabilities Organization (TAPWAO), Michael  Mwanzalima ameomba tume ya uchaguzi  kutoa vipaumbele kwa  walemavu wa viungo mbalimbali siku ya kupiga kura ili isiwe kikwazo kwao katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25...

 

5 years ago

Michuzi

USHIRIKISHWAJI WA WANANCHI WASISITIZWA








………………………………………………………………… Na Mwandishi wetu Mihambwe 
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu amesisitiza uwepo wa umuhimu wa ushirikishwaji wa Wananchi kwenye shughuli za kimaendeleo za Kiserikali ili kuimarisha dhana nzima ya utawala bora nchini. 
Gavana Shilatu ameyasema hayo alipotembelea mradi wa ujenzi wa Zahanati unaondelea Kijiji cha Lembela kata ya Mihambwe ambapo hakufurahishwa na kitendo cha Wananchi kutojumuishwa kwenye kamati mbalimbali za Halmashauri ya Serikali ya...

 

5 years ago

Michuzi

MAREKANI YARIDHISHWA NA HATUA ZA TANZANIA KATIKA USHIRIKISHWAJI WA WANAWAKE

 Marekani imeeleza kufurahishwa na mafanikio ya Tanzania katika masuala ya ushirikishwaji wa wanawake katika ngazi za uongozi wa kisiasa na maamuzi na hatua zilizochukuliwa kuhakikisha wanawake na wasichana wanapata elimu bora na salama.
Hayo yamebainishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi mara baada ya kukutana na kufanya mazungumzo na mshauri wa Rais Trump kuhusu masuala ya maendeleo ya wanawake Balozi Kelley Currie mazungumzo...

 

11 years ago

Mwananchi

Vijana wa Afrika waibukia Ligi ya Marekani

Kwa muda mrefu wachezaji wa Kiafrika wamekuwa wakienda kucheza soka la kulipwa barani Ulaya.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani