Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vijana ANC wataka kuimarishwa uhusiano na Tanzania

VIJANA wa Chama cha African National Congress (ANC), ambao ni wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Taasisi mbalimbali nchini Afrika Kusini wametaka mahusiano na ushirikiano ulioanzishwa baina ya nchi yao na Tanzania kuendelea kudumishwa daima kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Vijana Afrika wataka ushirikishwaji

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam

JUMUIYA ya Umoja wa Vijana Afrika (PYU) imewataka viongozi wa nchi hizo kutoa kipaumbele kwa vijana na kuwashirikisha katika kufanya uamuzi   ngazi za juu unaohusu kundi hilo   kusaidia kupunguza changamoto zilizopo.

Rais wa jumuiya hiyo, Francine Mayumba, alisema dare s Salaam jana kuwa tatizo la ushiriki mdogo wa vijana katika ngazi za uamuzi katika nchi za Afrika husababisha kundi hilo kutotimiziwa mahitaji yao ya msingi.

“Tunataka kuondoa tatizo la kufanya...

 

10 years ago

Michuzi

VIJANA WALIOTIMIZA MIAKA 18 WAASWA KUPIGA KURA ILI KUCHAGUA VIONGOZI WANAO WATAKA.

Na Avila Kakingo,Globu ya jamii.VIJANA waliotimiza miaka 18 kwa mwaka huu waaswa kupiga kura ili kumchagua kiongozi wanaemtaka na watambue mchango wao katika jamii kwa kupiga kura  kwaajili ya maendeleo ya taifa letu.
Nae Mwenyekiti wa  asasi isiyo ya kiserikali Tanzania People  with Disabilities Organization (TAPWAO), Michael  Mwanzalima ameomba tume ya uchaguzi  kutoa vipaumbele kwa  walemavu wa viungo mbalimbali siku ya kupiga kura ili isiwe kikwazo kwao katika uchaguzi mkuu wa Oktoba 25...

 

11 years ago

BBCSwahili

Uhusiano wa Mandela na Tanzania

Nelson Mandela alikuwa na uhusiano mkubwa sana na Tanzania. Hassan Mhelela anaangazia uhusiano huu.

 

10 years ago

Mtanzania

Tanzania, Finland kuimarisha uhusiano

Sauli_NiinistöNa Mwandishi Maalumu, Finland
UHUSIANO baina ya Tanzania na Finland utaendelea kuimarishwa zaidi kuliko ilivyo sasa, imeelezwa.

Kauli hiyo imetolewa jana mjini Helsinki na Rais Sauli Niinisto wa Finland, katika mazungumzo yake na Rais Jakaya Kikwete yaliyofanyika Ikulu nchini hapa.
“Uhusiano wetu ni wa muda mrefu, ni uhusiano ambao umedumu kwa miaka 50, tumekuwa na uhusiano ambao umeleta maendeleo ya kiuchumi kwa Tanzania.” Rais Niinisto alisema na kuongeza: “Hii inatupa nafasi ya kutafuta...

 

10 years ago

Habarileo

India kuimarisha uhusiano na Tanzania

Debnath ShawBALOZI wa India nchini, Debnath Shaw amesema kuwa nchi yake itaendelea kuimarisha uhusiano uliopo na Tanzania katika kuhakikisha nchi zote zinafaidika na miradi mbalimbali ya maendeleo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania, DRC zaimarisha uhusiano kiuchumi

SERIKALI ya Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimekubaliana kushirikiana kuondoa vikwazo vya usafirishaji wa bidhaa kati ya nchi hizo, ili kurahisisha usafirishaji wa shehena ya Kongo...

 

10 years ago

Mwananchi

Hali tete uhusiano Kenya, Tanzania

>Mgogoro unaofukuta kati ya Tanzania na Kenya umefikia hatua mbaya baada ya juzi usiku kikao cha makatibu  wakuu wa Wizara za Maliasili na Utalii, Wizara za Afrika Mashariki za pande zote mbili kuvunjika.

 

9 years ago

Michuzi

UHUSIANO WA TANZANIA NA CHINA WAZIDI KUIMARIKA

Na Beatrice Lyimo-MaelezoSERIKALI imesema itaendeleza uhusiano na ushirikiano wake na Jamhuri ya Watu wa China kwa kuimarisha  fursa mbalimbali za kijamii ikiwemo nyanja ya  kiutamaduni. 
Hayo yamesemwa leo Jumatatu (Oktoba 12, 2015)Jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi wa Idara ya Habari Bw. Assah Mwambene wakati wa halfa ya uzinduzi wa chaneli mpya ya filamu ya China –Africa Movies itakayoonyeshwa kupitia kituo cha televisheni cha Easy Television kilichopo nchini.
Bw. Mwambene amesema kuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Balozi: Uhusiano wa Tanzania na Rwanda ni mzuri

SERIKALI ya Rwanda imesema uhusiano wake na Tanzania ni mzuri na kwamba hakuna chokochoko zinazofanywa na upande wowote. Balozi wa Rwanda, Ben Rugangazi alitoa msimamo huo leo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuhusu kumbukumbu ya miaka 20 ya mauaji ya kimbari.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani