Vijana hawapendi kujituma
KTIKA miaka ya hivi karibuni vijana wengi wenye umri wa kujitegemea wamekuwa wakiishi na wazazi wao kwa kuogopa kupanga kutokana na changamoto mbalimbali zilizopo. Kuendelea kuishi na wazazi baada ya...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima15 May
Vijana hawapendi kujituma — 2
WIKI iliyopita nilizungumzia vijana wenye umri wa kujitegemea kuendelea kuishi na wazazi wao kutokana na ugumu wa maisha uliopo. Leo nitaendelea na mada hiyo huku nikizungumzia jinsi gani kijana anayekaa...
10 years ago
Tanzania Daima18 Nov
‘Madereva vijana hawapendi kufunga mikanda’
IMEBAINIKA kuwa idadi kubwa ya waendesha magari vijana hawafungi mikanda hivyo kuwafanya kuwa waathirika wakubwa wa ajali za barabarani ambazo zingeweza kuepukika. Hayo yalibainishwa na Mkurugenzi wa Kampuni ya Carmudi...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/REqOXlBbGhj9IAzxES9y08N4AyJRU11DBrY42Z7mwZJiXG3HXS5DP8CB4OfSotflU8b9of8vRxjTQC78QwPQ0qU1c-1sg7E*/DSC_0586.jpg?width=650)
VIJANA WATAKIWA KUJITUMA AIRTEL RISING STARS
10 years ago
MichuziNaibu waziri wa maliasili na utalii awataka vijana kujituma kufanya kazi
BOFYA HAPA KWA HABARI...
10 years ago
MichuziVIJANA WATAKIWA KUJITUMA NA KUFANYA KAZI KWA KWA MAENDELEO YAO
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Kwanini watu hawapendi kupiga kura?
TUMESHUHUDIAuchaguzi wa Jimbo la Kalenga, mkoani Iringa ukimalizika huku wananchi 29,541 pekee wakijitokeza kupiga kura wakati idadi kamili ya waliopaswa kupiga kura ikiwa ni 71,964. Hesabu hiyo ni sawa na...
11 years ago
Habarileo11 Aug
‘Wanawake duniani kote hawapendi vita’
MKE wa Waziri Mkuu, Tunu Pinda amesema wanawake wote duniani hawapendi vita wala machafuko na hulilia amani kwani machafuko husababisha kutoweka kwa amani kuanzia ngazi ya familia na kuleta vifo vya watu wasio na hatia.
10 years ago
Vijimambo20 Jan
KUTONGOZA KWA KUJISIFU, WANAWAKE HAWAPENDI KUSIKIA
![](http://www.essence.com/sites/default/files/images/2014/04/08/couple-meeting-bar_400x295_92.jpg)
Mada yetu ya leo ni kujisifu, wanawake hawapendi kusikia. Hii ni mada pana kidogo ambayo wanaume ni walengwa wakubwa lakini wenyewe hawajui.
KABLA YA MADA
Kabla ya mada nachukua nafasi hii kusema kuwa, mara zote ninapoandika jambo f’lani huwa nafanya uchunguzi wa kina kwanza kwa wahusika wachache ambapo hesabu za haraka huniambia ukweli unakuwa wapi!
TURUDIE MADA
Wiki...
10 years ago
Habarileo15 Nov
Nchimbi aagiza watumishi wa Njombe kujituma
MKUU wa Mkoa wa Njombe, Dk Rehema Nchimbi, amewataka watumishi wa Serikali kujituma na kila mtumishi kutekeleza majukumu yake kwa maendeleo ya Mkoa wa Njombe na nchi kwa ujumla.