Viongozi wa Chadema kizimbani
>Viongozi watatu wa Chadema, akiwamo diwani wa Ubungo, wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu wakikabiliwa na mashtaka mawili ya kuteka na kujeruhi.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi22 Apr
Mwenezi wa Chadema Wilaya ya Meatu arudi CCM pamoja na viongozi wengine wa Chadema



11 years ago
Mwananchi20 Sep
Wafuasi wa Chadema kizimbani Dar
10 years ago
Dewji Blog25 Feb
Exclusive: Chenge apandishwa ‘kizimbani’ ahojiwa kukiuka maadili ya viongozi wa umma
Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge akijianda kutoka nje ya ukumbi wa Karimjee ausbuhi ya leo.
…Maamuzi magumu kutolewa kesho Februari 26
Na Andrew Chale wa modewjiblog
LISAA limoja lililopita Mbunge wa Bariadi Magharibi (CCM), Andrew Chenge amepandishwa kizimbani katika kikaango cha kukiuka maadili ya viongozi wa umma, chini ya Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Baraza la Maadili lililoketi, jijini Dar es Saalam asubuhi ya leo.
Katika shauri linalomkabili Chenge ni dhidi ya...
10 years ago
StarTV18 Sep
Diwani CHADEMA Ubungo kizimbani kwa makosa mawili
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imempandisha Kizimbani Diwani wa Kata ya Ubungo Kisiwani kwa tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo CHADEMA Boniphace Jacob kwa makosa mawili la kwanza likiwa ni kumshambulia Mwandishi wa Habari wa Gazeti wa Uhuru Christopher Lissa.
Kosa la pili analokabiliwa nalo ni kuharibu Kamera ya Picha Mnato aina ya Nicon yenye thamani ya Shilingi Milioni Nane, Mali ya Kampuni ya Uhuru Publisher Limited.
Katika Kesi hiyo Wakili wa Serikali,...
11 years ago
Tanzania Daima24 Aug
Diwani CHADEMA awashukia viongozi
MWENYEKITI wa Madiwani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Kinondoni, Boniface Jacob amewashukia baadhi ya viongozi wa manispaa hiyo na mkoa wa Dar es Salaam, kwa kutoa...
9 years ago
Mwananchi29 Nov
Viongozi waliojiuzulu Chadema warejea
11 years ago
Mtanzania25 Sep
Viongozi wa Chadema Dar mbaroni

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk. Wilbrod Slaa
Na Waandishi wetu
JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam jana, liliwakamata viongozi na wafuasi 11 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Dar es Salaam.
Wafuasi hao walikamatwa jana asubuhi walipojaribu kufanya maandamano ya kuelekea ofisi ya Mkuu wa Mkoa, Said Meck Sadiki kwa nia ya kushinikiza kusitishwa kwa Bunge Maalum la Katiba linaloendelea na vikao vyake mjini Dodoma.
Wafuasi hao ambao walifika saa 12 asubuhi wakitokea...
11 years ago
Uhuru Newspaper
Viongozi CHADEMA watifuana kikaoni
MBUNGE wa Maswa Magharibi (CHADEMA), John Shibuda, ambaye ametoa notisi ya kuachana na chama hicho, amevurumishiana maneno na mbunge mwenzake, Sylvester Kasulumbayi.

Mvutano huo nusura uvunje kikao hicho, ambapo Mwenyekiti wa Baraza hilo alilazimika kuingilia kati ili kutuliza munkari.
Hali hiyo...
11 years ago
Tanzania Daima22 Sep
Viongozi Chadema Mtwara washikiliwa
CHAMA Cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Mtwara Mjini, jana walishindwa kuandamana baada ya Jeshi la Polisi mkoani hapa, kuwashikilia viongozi wa chama hicho kuanzia saa moja asubuhi hadi...