Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WA CHADEMA WALIVYOSHIRIKI MAZISHI YA MWANAHABARI EDSON KAMUKARA

Jeneza lililobeba mwili wa mwanahabari Edson Kamukara likiwa limewekwa tayari kwa kutoa heshima za mwisho na kwenda kuzikwaMwenyekiti wa CHAHDEMA Mh Freeman Mbowe akitoa salamu za mwisho kwa mwili wa marehemu Edson Kamukara katika viwanja vya Leaders Club.Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa akitoa salamu za mwisho wakati wa kuaga mwili wa marehemu Edson Kamukara.Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akisalimiana na Mkurugenzi wa Hali Halisi Ndugu Said Kubenea wakati wa kuaga mwili wa...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

mpiganaji Edson Kamukara afariki dunia


Mhariri  wa Mwana Halisi Online, Edson Kamukara (pichani), amefariki Dunia kwa ajali ya moto nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es Salaam leo hii majira ya saa moja kasorobo jioni, baada ya kulipukiwa na jiko la gesi, habari zilizotufikia sasa hivi zinasema kuwa Polisi wameuchukua mwili wa marehemu na kwenda kuhifadhi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa ajili ya uchunguzi wa kifo chake.


Ofisa Uhusiano wa NMB, Viccent Mnyanyika akimkabidhi zawadi marehemu Edson Kamukara wakati wa uhai wake...

 

10 years ago

Dewji Blog

Salamu za rambirambi kutoka TGNP kufuatia kifo cha Edson Kamukara

Mwana Halisi Online, Edson Kamukara

Marehemu Edson Kamukara enzi za uhai wake.

Salamu Za Rambirambi Kutoka TGNP- Kifo Cha Kamukara 

 

10 years ago

Vijimambo

ALIYEKUWA MHARIRI WA KAMPUNI YA MWANAHALISI, EDSON KAMUKARA KIJIJINI AZIKWA BUKOBA


Na Faustine Ruta, Bukoba.Mwili wa aliyekuwa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Salvatory Kamukara aliyefariki alhamisi ya wiki iliyopita jijini Dar es Salaam umezikwa leo Nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera katika Kijiji cha Ihangiro kitongoji cha Bukujungu na kuagwa na mamia ya waombolezaji.Marehemu Edson alizaliwa 27,03.1980 na kufariki wiki iliyopita juni 25, 2015 na amezikwa jana Jumatatu juni 29, 2015. Marehemu walizaliwa Mapacha na ameacha Pacha mwenzake Edda na  ameacha Mtoto...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mamia wajitokeza viwanja vya Leaders Club Jijini Dar kumuaga Mhariri Edson Kamukara

Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam jana asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera.

Mwenyekiti wa Umoja wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (MOAT), Reginald Mengi (katikati), akiwa na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.Wilibrod Slaa kwenye...

 

10 years ago

GPL

MAMIA WAJITOKEZA VIWANJA VYA LEADERS CLUB JIJINI DAR ES SALAAM KUMUAGA MHARIRI EDSON KAMUKARA

 Waombolezaji wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa Mhariri wa Kampuni ya Mwanahalisi, Edson Kamukara wakati ulipowasili viwanja vya Leaders Club Dar es Salaam leo asubuhi, kwa ajili ya kuagwa. Kamukara alifariki dunia juzi na mazishi yake yanatarajia kufanyika nyumbani kwao Muleba mkoani Kagera.…

 

11 years ago

Michuzi

Mazishi ya Mwanahabari Nguli nchini, Mzee Nkwabi Ng’wanakilala

Mwanahabari wa Reuters nchini Bw. Fumbuka Ng’wanakilala (aliyebeba msalaba), pamoja na wadogo zake, Lugendo  (kushoto) na Manyanda (kulia), wakiwaongoza waombolezaji waliobeba jeneza lenye mwili wa Baba yao, Marehemu Mwl. Nkwabi Ng’wanakilala baada ya kuwasili nyumbani kwao Kibamba nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam Julai 01 mwaka huu, kwa ajili mazishi. 
Mwl. Ng’wanakilala, ambaye alikuwa Mhadhiri katika Idara ya Habari na Mawasiliano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino (SAUT),...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mwili wa mke wa mwanahabari Thobias Mwanakatwe waagwa Jijini Dar, mazishi kufanyika leo Karatu mkoani Arusha

Mhariri wa Gazeti la Nipashe, Jesse Kwayu (kushoto), na waombolezaji wengine wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mke wa mwanahabari wa Kampuni ya The Guardian, Thobias Mwanakatwe, Levina Genda wakati wakilipekeka kwenye gari tayari kwa safari ya kwenda Karatu mkoani Arusha kwa mazishi yatakayofanyika leo.

Mwanahabari wa Kampuni ya The Guardian Ltd, Thobias Mwanakatwe akitoa heshima za mwisho mbele ya jeneza lenye mwili wa mke wake, Levina Genda wakati wa ibada ya kumuaga iliyofanyika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani