Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WA MAREKANI WAKOSOA VIKALI UAMUZI WA TRUMP

Viongozi wa Marekani wakosoa vikali uamuzi wa Trump wa kutumia jeshi kukabiliana na waandamanajiViongozi wa Marekani wamekosoa vikali uamuzi wa Rais Donald Trump wa kutuma wanajeshi kwa lengo la kukabiliana na waandamanaji.Zaidi ya wanadiplomasia 280, majenerali na viongozi wa usalama wa taifa nchini Marekani Ijumaa walimtaka Trump kuacha kuwatumia vibaya wanajeshi kwa malengo ya kisiasa. Viongozi hao wa Marekani wametoa taarifa ya pamoja ya maandishi inayosema: "Utumiaji mbaya wa askari kwa malengo ya kisiasa, unadhoofisha muundo wa kidemokrasia wa Marekani." Taarifa hiyo pia imeeleza...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Trump akosolewa vikali kwa kupendekeza kemikali kutumika kama matibabu

Madaktari wasema mapendekezo ya Trump ni "hatari" na "upuuzi".

 

10 years ago

Michuzi

CCM YALAANI VIKALI VURUGU ZILIZOFANYWA NA WAFUASI WA CHADEMA NA CUF KWA VIONGOZI WAO WA SERIKALI ZA MITAA.

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) itakutana Zanzibar Januari 13, kwa kikao cha kawaida cha siku moja chini ya Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete. 
Kikao hicho cha Kamati Kuu kitatanguliwa na kikao cha Sekretarieti ya Halmashauri Kuu kitakachofanyika Januari 10, jijini Dar es Salaam.
Wakati huo huo CCM inalaani vikali vurugu zilizofanywa na wafuasi wa Chadema na CUF kwa viongozi wetu wa serikali za mitaa katika maeneo kadhaa nchini ikiwemo mikoa ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Uamuzi wa Museveni waitia kiwewe Marekani

>Siku moja baada ya Rais Yoweri Museveni kusaini sheria inayotoa adhabu kali kwa wapenzi wa jinsi moja, Marekani imesema inaangalia upya uhusiano wake na nchi hiyo kama ilivyoainisha awali.

 

9 years ago

BBCSwahili

Trump: Sitaacha kuwania urais Marekani

Donald Trump amesema hatajiondoa kutoka kwenye kinyang’anyiro cha urais licha ya kushutumiwa vikali kwa matamshi yake kuhusu Waislamu.

 

10 years ago

BBCSwahili

Donald Trump kuwania urais Marekani

Tajiri Donald Trump kwa mara nyengine tena ametangaza azma yake ya kuwania urais nchini Marekani mwaka 2016.

 

9 years ago

BBCSwahili

Trump ataka Waislamu wazuiwe kuingia Marekani

Mgombea mtarajiwa wa urais kupitia chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump ametaka Waislamu kuzuiwa kuingia Marekani kwa muda.

 

5 years ago

BBCSwahili

Marekani:Trump atishia kufunga mitandao ya kijamii

Rais wa Marekani Donald Trump atishia kudhibiti au kufunga kabisa mitandao ya kjamii nchini humo.

 

11 years ago

Mwananchi

Uamuzi wa viongozi Arusha kususiana hauna afya kwa umma

Aprili 27 madiwani na viongozi wengine wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha walitangaza kususia shughuli zote za mkuu wa wilaya, John Mongela.

 

5 years ago

CCM Blog

TRUMP AZUIA SAFARI KUTOKA ULAYA KWENDA MAREKANI

  Rais wa Marekani Donald Trump ametangaza kusitishwa kwa safari za ndege kutoka nchini humo hadi barani Ulaya kama mbinu ya kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona.
Trump amesema, marufuku hayo yatatekelezwa kwa muda wa siku 30 zijazo kuazia siku ya Ijumaa lakini hatua hii haitaithiri Ireland na Uingereza, ambayo ina maambukizi 460.
"Ili kuzuia visa vipya maambukizi ya Covid-19 kuingia katika nchi yetu, nitazuia safari zote kutoka Ulaya hadi Marekani kwa siku 30 zijazo," amesema rais...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani