Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa upinzani Uganda waachiliwa

Viongozi wawili wa upinzani nchini Uganda ambao walikuwa wamekamatwa mapema leo hatimaye wameachiliwa huru

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Uchaguzi Uganda 2021: Je ni kweli kampeni za kutumia redio zitaufungia upinzani Uganda?

Kupigwa marufuku kwa mikutano ya kampeni nchini Uganda wakati taifa hilo likielekea kufanya uchaguzi mkuu mwezi Januari 2021 kunaweza kunufaisha chama tawala zaidi kuliko upande wa upinzani.

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani washindwa kuungana Uganda

Rais wa Uganda Yoweri Museveni huenda akapata afueni baada ya muungano wa upinzani kushindwa kuungana kufuatia mkutano mrefu wa wiki moja ili kukubaliana kuhusu mgombea mmoja katika uchaguzi wa mwaka ujao.

 

9 years ago

BBCSwahili

Upinzani wadai kuchunguzwa Uganda

Rais Yoweri Museveni amelalamikiwa na baadhi ya wapinzani kuwa anawachunguza kwa maslahi yake binafsi

 

10 years ago

BBCSwahili

Viongozi wa upinzani wajiuzulu Uingereza

Kiongozi wa chama cha Leba nchini Uingereza Ed Miliband amewaambia wanaharakati wa chama hicho kwamba anajiuzulu

 

9 years ago

BBCSwahili

Viongozi 2 wa upinzani wanyongwa Bangladesh

Viongozi wawili wa upinzani wamenyongwa nchini Bangladesh kutokana na uhalifu wa kivita wakati wa vita vya uhuru 1971.

 

5 years ago

BBCSwahili

Upinzani Uganda: Kizza Besigye na Robert Kyagulanyi waunda muungano

Viongozi wa upinzani Uganda Kizza Besigye na Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine wameunda muungano wa upinzani.

 

10 years ago

StarTV

Baada ya kushindwa, Viongozi wa upinzani wajiuzulu Uingereza.

Kiongozi wa chama cha Leba nchini Uingereza Ed Miliband amewaambia wanaharakati wa chama hicho kwamba anajiuzulu kama kiongozi wa chama hicho kufuatia matokeo duni ya uchaguzi mkuu.

Miliband ambaye amempongeza Waziri mkuu David Cameron kwa kuchaguliwa kwa awamu ya pili amesema kuwa anachukua jukumu la kushindwa kwa chama chake katika uchaguzi huo.

Chama cha leba kilishindwa vibaya katika uchaguzi huo.

Katika hotuba aliyotoa mjini London,Miliband alisema kuwa ni wakati mtu mwengine anafaa...

 

5 years ago

Michuzi

INNOCENT KALOGERIS :VIONGOZI WA UPINZANI ACHENI KUICHAFUA NCHI KIMATAIFA RUDI NYUMBANI TUZUNGUMZE


Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro Innocent Kalogeris amewataka Viongozi wa Vyama vya Upinzani nchini wanaozunguka ughaibuni Nchi mbalimbali wakiiachafua Nchi na Rais Magufuli warudi Nyumbani kwa ajili ya Majadiliano

Ameyasema Hayo wakati wa Hafla ya kuwapokea na kuwakabidhi Kadi rasmi madiwani wawili na wanachama Kadhaa wa Upinzani walioamua kurudi CCM wakati wa Ziara ya Katibu Mkuu CCM Taifa Dr Bashiru Ally akiwa Morogoro Vijijini hafla imefanyika Ofisi za CCM Mkoa wa Morogoro Mtaa wa Saba...

 

10 years ago

Dewji Blog

Katibu CCM Ikungi awajia juu viongozi wa Upinzani, awataka kuzingatia misingi ya utawala

DSC04879

.Katibu CCM wilaya ya Ikungi mkoani Singida, Aluu Segamba, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari (hawapo kwenye picha) juu ya tuhuma mbalimbali wanazowatuhumu wabunge wa wawili wa CHADEMA mkoani hapo. Moja ya tuhuma ni ile ya kutukana viongozi wa CCM taifa, mkuu wa wilaya na CCM yenyewe. DSC04869 Mkuu mpya wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida ,Gishuli Charles, ameahidi kuzifanyika kazi tuhuma zilizotolewa na CCM dhidi ya wabunge Tundu Lissu na Christowaja Mtinda wote wa CHADEMA. DSC04849 Baadhi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani