Vipaji vitumike kuboresha miradi ya ujasiriamali
KATIKA maisha mara nyingi watu hujiwekea malengo mbalimbali na ili kuyafikia wamekuwa wakiweka mikakati na mbinu kadhaa.
Wanawake wa Kitanzania hivi sasa wamekuwa na mwamko wa kujishughulisha na kazi mbalimbali ili kufikia malengo yao katika ngazi ya kifamilia na kitaifa kwa jumla.
Wengi wameamua kutokubaki nyuma kimaendeleo, hivyo kujiunga na vikundi vya ujasiriamali ili kutobweteka na kuachana na dhana ya kutegemea kila kitu kutoka kwa wenza wao.
Katika safu hii leo, Raia...
Raia Tanzania
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies26 May
Mzee Majuto Afungua Kampuni Yake, Azungumzia Miradi ya Ujasiriamali Aliyoianzisha Tanga
Muigizaji mkongwe wa Mzee Majuto amejidhatiti zaidi kwa kufungua kampuni yake mwenyewe ya filamu.
Mzee Majuto ameiambia Bongo5 kuwa huo ni mwanzo wa mipango yake mikubwa.
“Sasa hivi na mimi nina camera zangu, nina watu wangu karibu 75 nimewafundisha vijana ili kuwapa ajira na kweli wamejiajiri, tunatengeneza mikanda, tunauza wenyewe, tunakaa mezani tunagawana. Kwahiyo tuna nguvu,” amesema Majuto.
“Halafu mimi mwenye pia nimejiweka vizuri, nimenunua shamba, nikalitengeneza vizuri, nikaweza...
10 years ago
MichuziNishati na Madini watakiwa kuboresha tathmini ya mapendekezo ya miradi
Wataalamu wa Wizara ya Nishati na Madini wametakiwa kuboresha ufanyaji wa tathmini ya mapendekezo ya miradi (project proposal) ya Wizara kwa uwazi kwani ina mchango mkubwa katika kufanikisha utekelezaji wa miradi hiyo.
Hayo yalisemwa na Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Rasilimaliwatu kutoka Wizara ya Nishati na Madini Lusius Mwenda, alipokuwa akifunga awamu ya kwanza ya mafunzo ya jinsi ya kuandaa mapendekezo ya miradi, sera pamoja na utekelezaji wake...
10 years ago
Dewji Blog18 Apr
World Vision Tanzania yatumia zaidi ya bilioni 5.3 kuboresha miradi ya Afya Singida
Kaimu mkuu wa mkoa wa Singida, Saidi Alli Kamanzi na DC wa wilaya ya Singida, akifungua hafla ya makabidhiano wa mradi wa afya ya mama na mtoto (SUSTAIN-MNCH). Wa kwanza kulia ni mkuu wa wilaya ya Ikungi Gichulu Charles na anayefuatia ni mwakilishi wa mkurugenzi wa shirika la World vision Tanzania, Mary Lema.
Baadhi ya wadau wa afya waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya mradi wa afya ya mama na mtoto (SUSTAIN -MNCH) iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Aque Vitae Resort mjini...
11 years ago
Habarileo18 Feb
Wazazi waomba viboko vitumike shuleni
WAZAZI wa watoto wanaosoma Shule ya Msingi na Sekondari Kitogani Mkoa wa Kusini Unguja, wameitaka Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kuendelea kutumia adhabu ya viboko kwa wanafunzi ili kudhibiti vitendo vya utovu wa nidhamu kwa wanafunzi.
11 years ago
Habarileo16 Dec
‘Viungo vya marehemu vitumike kuokoa wagonjwa’
SERIKALI ya Tanzania imetakiwa kuangalia uwezekano wa kuanza kutumia viungo vya binadamu waliofariki dunia katika kuokoa wagonjwa wenye uhitaji ili kunusuru maisha yao na kupunguza gharama ya kufuata huduma hiyo nje ya nchi.
11 years ago
Mwananchi23 Jun
MAONI: Vipindi vya michezo vitumike ipasavyo
10 years ago
Mwananchi14 Jun
Kinana ataka vitambulisho vitumike kuvuka mipaka
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-X634UbgI2ow/VD5EtyIg6RI/AAAAAAAGqk0/-cGDN7ph7XY/s72-c/ABG%2B1.jpg)
AFRICAN BARRICK YASAINI MKATABA WA KUENDELEZA NA KUBORESHA CHUO CHA MUHIMBILI ILI KUBORESHA TAALUMA YA UDAKTARI
Ushirikiano huu utawezesha wanafunzi wa idara hiyo kupata nafasi za kwenda kufanya masomo kwa vitendo yani (field practise) kwenye ofisi na migodi ya kampuni ya ABG, pia pesa hizo zitatumika kwenye kukarabati majendo na utoaji wa vifaa...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-v_GeVy13tGw/VTui1IksweI/AAAAAAAHTNo/LUJSg1tVW_o/s72-c/1.jpg)
MECK SADICK :VYANDARUA VITUMIKE KWA MATUMIZI YALIYOKUSUDIWA SIO KUFUGIA KUKU
SERIKALI imeitaka jamii kutumia vyandarua kwa malengo yaliyokusudiwa na sio vyandarua hivyo vitumike kwa ajili ya kufugia Kuku au kuvulia Samaki.
Hayo yamesemwa leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick wakati wa maadhimisho ya siku ya Malaria Duniani ambayo hufanyika Aprili 25 kila mwaka.
Sadick amesema wafadhili mbalimbali wamekuwa wakiweka nguvu katika kupambana na Malaria hivyo ni wajibu...