Vita dhidi ya Al Shabaab
Majeshi ya Umoja wa Afrika ya Kulinda amani nchini Somalia yameshambuiwa na bomu la kutegwa kando ya barabara katika mji wa Kismayo.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili22 Mar
AU yazidisha vita dhidi ya Al Shabaab
Mamia ya wanajeshi wa AU wanaukaribia mji muhimu wa Koryoley,ambao umekuwa chini ya Al Shabaab kwa miaka 5
11 years ago
BBCSwahili14 Mar
Vita dhidi ya Al Shabaab vinaathiri raia-UN
Umoja wa mataifa umesema mashambulizi ya kijeshi nchini Somalia dhidi ya wapiganaji wa Kiislamu yamewaathiri watu milioni 3
10 years ago
Mwananchi08 Oct
Vita dhidi ya ebola ni mapambano dhidi ya adui asiyeonekana
Tangu kuzuka kwa ugonjwa wa ebola nchini Guinea mwezi Machi mwaka huu, watu 2,500 wamefariki dunia kutokana na virusi vyake, zaidi ya nusu ni raia wa Liberia.
11 years ago
BBCSwahili25 Feb
Shambulio dhidi ya Al Shabaab
Somalia inasema kuna uwezekano wa shambulio dhidi ya wapiganaji wa kiislamu Al Shabaab, wanayoidhibiti sehemu kubwa ya nchi hiyo.
11 years ago
BBCSwahili13 Mar
Mashambulizi mapya dhidi ya Al-Shabaab
Wanajeshi wa Muungano wa Afrika wakishirikiana na wanajeshi wa Somalia, wameanza mashambulizi mapya dhidi ya kundi la wanamgambo la Al Shabaab.
10 years ago
BBCSwahili03 Apr
Waandamana dhidi ya Al-shabaab Garissa
Wananchi wa mji wa Garissa nchini Kenya wamefanya maandamano kupinga vitendo vya kundi la Al Shabaab,
11 years ago
BBCSwahili06 Jun
Vita dhidi ya Tumbaku
Tumbaku huchangia asilimia kumi ya pato la kitaifa la Zimbabawe.Nchini Malawi huwa ni asilimia 15.
11 years ago
BBCSwahili14 Feb
Kikwete:Vita dhidi ya ujangili
Rais Jakaya Kikwete alihudhuria mkutano wa kimataifa kuhusu wanyamaporti mjini London
10 years ago
BBCSwahili11 Dec
Vita dhidi ya mauaji ya Albino TZ
Kampeni kubwa imezinduliwa Tanzania, iliyoongozwa na rais wa nchi hiyo Jakaya Kikwete, kuchangisha pesa kuwalinda albino.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania