Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vita dhidi ya kulawiti na kubaka watoto vyawaka moto uzunguni — 2

Vitendo viwili vichafu “vinavyofichwa” na watawala duniani ni biashara ya dawa za kulevya na unyanyasaji wa watoto. Ingawa ni vya aibu na ufedhuli vina faida sana kwa wahusika. Dawa za kulevya ni biashara inayotajirisha haraka kuliko zote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Vita dhidi ya kulawiti na kubaka watoto yawaka moto uzunguni

Leo tuzungumzie watoto. Tuangalie afya, mapenzi na usalama wao. Hakuna kipindi cha historia yetu wanadamu ambapo watoto wanafanyiwa unyama duniani kama sasa.

 

9 years ago

Mtanzania

Polisi jela maisha kwa kubaka, kulawiti mtoto

Na Faraja Masinde, Dar es Salaam

MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam, imemhukumu askari polisi wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, G 9762 PC Daniel (24) kutumikia kifungo cha maisha jela, baada ya kupatikana na makosa ya kubaka na kumlawiti mtoto wa miaka 13.

Mbali na kifungo hicho, mtuhumiwa huyo ameamriwa kulipa fidia ya Sh milioni 2 ili iwe fundisho kwa watu wengine wenye tabia kama hizo.

Hukumu hiyo ilitolewa jana na Hakimu Mkazi Mwandamizi Mfawidhi, Said Mkasiwa baada ya...

 

5 years ago

Michuzi

Ahukumiwa maisha jela kwa kosa la kubaka na kulawiti



Na Amiri kilagalila,Njombe

Mahakama ya hakimu mkazi mkoa wa Njombe imemuhukumu Hezron Ndone ( 44) mkazi wa joshoni kata ya mji mwema mjini Njombe kwenda jela kifungo cha maisha kwa kosa kumbaka na kumlawiti mtoto wake wa kumzaa ambaye ni mwanafunzi darasa la tano mwenye umri wa miaka 10.

Akisoma hukumu ya kesi namba 14 ya mwaka 2020 hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya mkoa Njombe Hassan Mkakube alisema mtuhumiwaalishtakiwa kwa makosa manne mawili ya kuzini na maalimu kinyume na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya ajira kwa watoto Tanzania

Licha ya serikali ya Tanzania kupiga marufuku watoto kufanyishwa kazi, tatizo hilo bado linadhihirika zaidi katika migodi

 

5 years ago

CCM Blog

SAMIA: VITENDO VYA KULAWITI WATOTO WA KIUME NI UKATILI NA UDHALILISHAJI WA WATOTO, LAZIMA VIKOMESHWE

Na Mwandishi Maalum, Simiyu
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan amekemea vitendo vya ukatili wa kijinsia kwa watoto hasa wa kiume ambao baadhi wamekuwa wakiwadhalilisha kwa kuwalawiti.

Ameyasema hayo leo mkoani Simiyu wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kitaifa mkoani hapa/

Makamu wa Rais amewataka Watanzania kusimama pampja kwa kila mmoja kuwa mlinzi wa mwenzie  na kuwa katika mapambano hayo ya kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia.

"Sasa hii tabia ya kuwageuza...

 

11 years ago

BBCSwahili

Kasisi akiri kulawiti watoto UK

Kasisi mwenye umri wa miaka 85 nchini Uingereza amekiri kosa la kulawiti watoto wengi wavulana na kuwaharibu wengine wengi wasichana

 

11 years ago

Habarileo

'Vibabu' vyadaiwa kulawiti watoto 6

WAZEE wawili akiwemo mlinzi mmoja wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya wilaya ya Bunda, mkoani Mara, wamefikishwa mahakamani kwa kosa la kulawiti wanafunzi sita wa shule za msingi zilizoko wilayani hapa.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mbaroni akidaiwa kulawiti watoto

JESHI la Polisi Mkoa wa Pwani linamshikilia Mhandisi Msose Michael (35) mkazi wa Mkaongo Juu Dar es Salaam, kwa tuhuma za kuwalawiti mabinti wawili katika Kijiji cha Zogowale wilayani ya...

 

11 years ago

Habarileo

Adaiwa kuhonga ubuyu kulawiti watoto

MKAZI wa mmoja wa Kijiji cha Igurubi Tarafa ya Igurubi Wilaya ya Igunga mkoani Tabora, anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kuwaingilia kimwili watoto wenye umri wa chini ya miaka kumi, baada ya kuwarubuni kwa kuwapa ubuyu na Sh 500 taslimu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani