Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vitambulisho tanzania na hoja ya ughaibuni

Hivi karibuni baadhi ya wananchi wamelalamikia suala jipya la vitambulisho. Wanadai linakera; eti watu wameuawa. Kuna upendeleo, ugumu na mambo kama hayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

HOJA YA HAJA KUTOKA KWA WADAU WA UGHAIBUNI

MIMI NI MTANZANIA...
Mnhomo Gwa Nzunzu ni Mtanzania aliyezaliwa Sengerema, Mwanza. Baada ya kuzaliwa wazazi wake walifariki wakati yeye akiwa na miaka mitatu tu kutokana na ajali ya gari. Baada ya kufariki wazazi wake Nhomo Gwa Nzuzu alilelewa na bibi yake ambaye alimsisitizia sana apate elimu ili ajikombowe kimaisha. Kwa vile Nhomo Gwa Nzuzu hakutaka kumsikitisha bibiye aliamua maisha yake ni kitabu na kitabu na yeye.
Kutokana na juhudi zake za kujisomea Nhomo Gwa Nzuzu alifaulu darasa...

 

11 years ago

Michuzi

hoja ya haja: Mimi wa Ughaibuni kama Diaspora pia ni Mtanzania

Swali muhimu tunaloulizwa Watanzania tunaoishi ughaibuni ni: tunataka nini hasa kwenye katiba mpya? Na ni kwa namna gani tunataka changamoto zetu ziingizwe kwenye katiba mpya? Katika kipindi hiki cha Bunge Maalumu la Katiba tumeonelea ni muafaka kuyapatia majibu maswali haya.
Kwa kuanzia na bila kupoteza muda, Watanzania wa ughaibuni tunataka masuala yafuatayo yaingizwe kwenye katiba mpya: ·      Uraia wa nchi mbili; ·      Haki ya kurudi Tanzania kwa Watanzania na Watu wenye asili ya...

 

11 years ago

Michuzi

aluta kontinyua: hoja ya haja: Mimi wa Ughaibuni kama Diaspora pia ni Mtanzania...

Kwa muda wa wiki sasa Watanzania tunaoishi ughaibuni tumekuwa tukiendesha kampeni yakuelimisha umma kuhusu maombi yetu ya kupatiwa haki ya kikatiba ya kuwa na uraia pacha. “Mimi ni Mtanzania” ni ukweli uliopo kwa mtu yeyote mwenye asili ya Tanzania bila ya kujali anaishi Tanzania au ughaibuni.  Leo tunapenda kutoa wito kwa serikali, kwa Bunge Maalumu la Katiba na kwa vyama vyote vya kisiasa katika jitihada zetu za kuwasilisha maombi yetu ya uraia pacha kwenye Bunge Maalumu la Katiba ili...

 

10 years ago

Mtanzania

Tanzania mwenyeji wa jukwaa la vitambulisho

Na Aziza Masoud, Dar es Salaam

ZAIDI ya nchi 25  zinakutana nchini katika mkutano wa Jukwaa la Vitambulisho vya Elektroniki Afrika unaotarajia kuanza   Dar es Salaam leo.

Mkutano huo pamoja na mambo mengine utajadili changamoto zilizopo katika masuala ya uandikishaji  na kutafuta njia za kuzitatua.

Mkutano huo wa kwanza kufanyika katika   Afrika unatarajiwa kufunguliwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,  Mathias Chikawe na kuhudhuriwa na zaidi ya washiriki 300 kutoka nje ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tanzania yakataa vitambulisho EAC

SERIKALI ya Tanzania haiko tayari kutumia vitambulisho vya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa ajili kulinda maslahi ya taifa. Haya yalibainishwa jijini Dar es Salaam jana na Waziri wa Jumuiya...

 

11 years ago

Michuzi

PINDA AZINDUA JARIDA LA FIRST LA KUITANGAZA TANZANIA UGHAIBUNI

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akisalimiana na Mwenyekitna Muasisi wa Kampuni ya Invest Africa ya Uingereza, Bw. Robert Hersov kabla ya mazungumzo yao kwenye hoteli ya Savoy,London Oktoba 20, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama Jarida la  First baada ya kukabidhiwa nakala  ya toleo la  jaridai hilo na Muasisi wake, Rupert Goodman  (kulia) kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London , Oktoba 21, 2014. Jarida  hilo limesheheni  makala zenye...

 

11 years ago

Mwananchi

UGHAIBUNI: Ukarimu wa Tanzania kuhudumia wakimbizi na gharama inazolipa

>Ninaikumbuka Dar es Salaam ya miaka ya sitini. Bandari hiyo ilikuwa kweli ya salama, hasa kwa wakimbizi kutoka sehemu mbalimbali za Afrika. Ukiacha mji mkuu wa Misri, Cairo, mji huo wa Tanzania ulikuwa ni kituo muhimu katika harakati za vyama vya ukombozi katika Afrika.

 

11 years ago

Dewji Blog

Pinda azindua toleo la Jarida la First linaloinadi Tanzania ughaibuni

PG4A6406

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitazama Jarida la  First baada ya kukabidhiwa nakala  ya toleo la  jarida hilo na Muasisi wake, Rupert Goodman  (kulia) kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Uingereza uliopo London , Oktoba 21, 2014. Jarida  hilo limesheheni  makala zenye kuinadi Tanzania na vivutio vyake nje ya nchi.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

PG4A6421

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza wakati alipozindua toleo la  Jarida la First lenye makala mbalimbali za kuinadi Tanzania na Vivutio vyake nje...

 

11 years ago

Michuzi

Mwanamuziki Jhikoman kutoka BAGAMOYO,Tanzania, afanya makubwa ughaibuni

Jhikoman aliwasili Finland tarehe 24.4.2014 kuanza ziara ya kimuziki katika nchi za Ulaya  Nchini Finland amefanya maonyesho sita! Kubwa ni lile alilolifanya Helsinki African Film Festival 16.5.2014  Pia alifanya onyesho la utangulizi kabla ya mkongwe Peetah Morgan wa Morgan Heritage kupanda jukwaani 23.5.2014.  Tarehe 10.5.2014 alifanya onyesho kwenye uzinduzi wa Helsinki African Film Festival!   Jhikoman amefanyakazi studio na msanii mashuhuri wa Hip hop nchini Finland Paleface! Kwa sasa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani