Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Vitu 10 mwanamke anavyotakiwa kuvifanya baada ya kupewa talaka

1.USIINGIE KATIKA UHUSIANO MWINGINE GHAFLA Wapo wanaojikuta wakianzisha uhusiano mengine ghala bila kutulia. Kipindi hiki siyo cha kuanzisha uhusiano mwengine. Inashauriwa kutulia kwanza na kutafakari kabla ya kuanzisha uhusiano mwingine kwani kwa kuharakisha unaweza kujikuta unaingia katika uhusiano ambao utakutesa maisha yako yote.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Ernestine: Mwanamke aliyeweka rekodi ya kunyanyua vitu vizito

Ernestine “Ernie” Shepherd (77) Mwanamke mwenye umri mkubwa zaidi kuwahi kushinda taji la mnyanyua vitu vizito duniani, jambo lililomfanya aingizwe kwenye kitabu cha rekodi za dunia cha Guiness.

 

10 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kupewa Onyo na BASATA, Shilole Afunguka

Staa wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ameeleza kusikitishwa na kitendo cha yule aliempiga picha zile akiwa stejini akitumbuiza  kwani ilikuwa ni bahati mbaya na sio makusudi.

Shilole amesema kuwa hata yeye hakupenda kile kilichotokea jukwaani wakati akitumbuiza Ubelgiji hivi karibuni, kwa sababu ilikuwa bahati mbaya na hakudhamiria kukaa uchi kama wengi wanavyosema.

Shishi ambaye ni mama wa watoto wawili amesema kuwa nguo mpya aliyoivaa siku hiyo ndio ilimponza...

 

10 years ago

Bongo5

Drake adaiwa kulazwa hospitali baada ya kupewa kichapo na P.Diddy

Baada ya kuhusishwa kwenye drama ya Chris Brown na Karrueche Tran weekend iliyopita, sasa inadaiwa kuwa rapper wa Canada, Drake amelazwa hospitali baada ya kujihusisha kwenye ugomvi na P.Diddy. Kwa mujibu wa TMZ, Diddy alimfunza adabu Drake nje ya club ya Miami Jumatatu asubuhi ambapo wote walikuwa wamehudhuria birthday ya Dj Khalid. Mwanzo ilisemekana kuwa […]

 

10 years ago

Bongo5

Fanya vitu kwa usahihi na sio vitu sahihi tu!

Inawezekana unaanza kushaangaa kuna tofauti gani kufanya vitu kwa usahihi na si kufanya vitu sahihi tu. Hiki kitu inawezekana umekutana nacho kazini kwako au siku moja utakutana nacho katika majukumu ya kila siku hapo ofisini. Mara nyingi watu tunapenda kufanya vitu sahihi ila hatujali hivyo vitu sahihi tumevifanya kwa usahihi au lah. Maeneo ya kazi […]

 

10 years ago

GPL

ATESEKA KITANDANI MIAKA MITATU NI BAADA YA KUPEWA TAARIFA YA KIFO CHA BABA YAKE

Shani Ramadhani na Denis Mtima, Dar es Salaam INASIKITISHA! Johanitha Robert Mulokozi (31) amekuwa kitandani kwa miaka mitatu kutokana na kuugua ugonjwa wa kupooza mwili mzima.Mama huyo mwenye mtoto mmoja amekuwa akisumbuka na ugonjwa huo uliomfanya akose raha licha ya kupata matibabu katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Johanitha Robert Mulokozi  amekaa kitandani kwa miaka mitatu kutokana na kuugua ugonjwa wa kupooza...

 

9 years ago

GPL

MWANAMKE KUSIKIA MAUMIVU WAKATI NA BAADA YA TENDO LA NDOA

WAPO ambao wakati wanapofanya mapenzi badala ya kupata furaha, wao wanasikia maumivu, wanaume ni mara chache sana kulinganisha na wanawake. Mwanamke ndiye husumbuliwa zaidi na tatizo hili. Mwanamke anaweza kukosa kuhisi furaha na matokeo yake kuumia wakati tendo linapoanza pale mwanzoni, ukeni au kwa ndani zaidi. Maumivu haya pia yanaweza kugawanyika katika makundi mawili. Kwanza ni maumivu wakati wa tendo la ndoa ambapo ndiyo...

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016

Headlines za Arsenal kufanya vizuri bado zinagonga vichwa vya habari vya magazeti mengi ya michezo dunini, Arsenal kwa sasa ndio timu inayopewa nafasi ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Uingereza msimu wa 2015/2016. Sababu za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa ubingwa sio kwa sababu kaifunga Man City. Hizi ndio sababu tano za Arsenal kupewa nafasi […]

The post Baada ya miaka 11 bila taji la EPL, hizi ndio sababu 5 za Arsenal kupewa nafasi ya kutwaa taji hilo msimu wa 2015/2016 appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani