Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viungo wamnyima usingizi Nooij

Kocha wa Taifa Stars, Martinus Nooij amehamishia nguvu zake katika kuisuka upya safu ya kiungo ya timu hiyo kwa lengo la kuhakikisha anapata matokeo mazuri katika pambano la marudiano dhidi ya Zimbabwe litakalochezwa Juni Mosi jijini Harare.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

UJAUZITO WAMNYIMA KIM USINGIZI

body_3_5NEW YORK, MAREKANI

MWANAMITINDO maarufu nchini Marekani, Kim Kardashian, amesema kwa hatua aliyofikia anapata maumivu
ya tumbo wakati wa kulala kiasi cha kukosa usingizi.

Mrembo huyo anatarajia kupata mtoto wa pili, baadaye Desemba, mwaka huu na mume wake Kanye West, lakini kutokana na hatua ambayo ujauzito wake umefikia, anadai inampa usumbufu mkubwa.

“Natarajia kupata mtoto wa pili hivi karibuni, lakini kwakweli kwa sasa napata maumivu ya tumbo wakati wa kulala, hii ni dalili ya kuwa siku...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nooij: Viungo wametumaliza

WAKATI Kocha wa Msumbiji, Joao Chissano, akifurahia sare ya 2-2 dhidi ya Taifa Stars, mwenzake Mart Nooij amelaumu safu ya kiungo kushindwa kuwajibika ipasavyo katika mechi hiyo. Akizungumza baada ya...

 

11 years ago

Michuzi

KAMANDA KOVA AKUTANA NA WANAHABARI KUZUNGUMZIA SWALA NA VIUNGO LA VIUNGO VYA WATU VILIVYOTUPWA

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam,CP Suleiman Kova akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam leo wakati akitoa taarifa ya tukio la kukutwa kwa viunga vya binadamu liliyotokea jana jioni maeneo ya Bonde la Mbweni,Mpiji. Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhulia Mkutano huo wa Kamanda Kova.
Chini ni Taarifa Rasmi iliyotolewa leo.

 

11 years ago

GPL

CHEZEA USINGIZI WEWE!

Jamaa huyu amekutana uso kwa uso na kamera yetu, akiwa katika usingizi mzito mida ya mchana pande za Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar na kuzua minong’ono kwa wapita njia ambao hawakufahamu sababu za kuuchapa usingizi eneo hilo. (Picha na Mayasa Mariwata / GPL)

 

9 years ago

Mtanzania

Lowassa: Msikose usingizi

Pg 1Lowassa: Msikose usingizi

*Amwaga ahadi, asema hakuna kura itakayoibwa

*Mnyika amfananisha Dk. Slaa na Samsoni, Delila

 

NORA DAMIAN NA AZIZA MASOUD, DAR ES SALAAM

MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, ameisimamisha tena Dar es Salaam kwa saa kadhaa huku akiwataka Watanzania kutokosa usingizi kwani hakuna kura itakayoibwa.

Lowassa alisema hayo jana jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti...

 

10 years ago

Habarileo

Membe: Pinda ananinyima usingizi

Waziri wa Mambo ya Nje, Bernad Membe.WAZIRI wa Mambo ya Nchi za Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, ambaye pia anaomba CCM impitishe kuwa mgombea urais katika Uchaguzi Mkuu baadaye mwaka huu, Bernard Membe amekiri kwamba katika kinyang’anyiro cha urais ndani CCM, mtu anayemnyima usingizi ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

 

11 years ago

Habarileo

JK: Bunge la Katiba halininyimi usingizi

RAIS Jakaya Kikwete amesema hana wasiwasi na hali ya mjadala mkali, uliotawala Bunge Maalumu la Katiba, kwa sababu ni muhimu kwa mjadala kuhusu Katiba mpya, ukawa wa kina ili kuweza kupata Katiba bora kwa Watanzania.

 

9 years ago

GPL

MTOTO AMKATISHA USINGIZI FAIZA

Imelda mtema FAIZA Ally ambaye ni mzazi mwenziye na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amefunguka kuwa mwanaye Sasha ndiyo kila kitu kiasi cha kumkatisha usingizi wake kila siku. Akizungumza na mwandishi wa habari hii hivi karibuni, alisema kutokana na mapenzi yake kwa mwanaye, kila siku anajikuta akiamka usiku mnene na kumuangalia mwanaye kwa muda mrefu kisha kumbusu na kulala tena. “Huwa naamka usiku wa manane na...

 

9 years ago

Mtanzania

Yanga yamnyima usingizi Kerr

kerr kazini simba 34JUDITH PETER NA ABDUCADO EMMANUEL DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa timu ya Simba, Dylan Kerr, amesema bado ana wakati mgumu wa kupanga kikosi cha kwanza kutokana na ubora na viwango vya wachezaji wake.

Kerr amekiri kuwa pambano la Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya watani wake Yanga litakalofanyika Uwanja wa Taifa,
Dar es Salaam Jumamosi hii litakuwa na upinzani tofauti na mechi ambazo tayari wamecheza.

Kuelekea mchezo huo wa aina yake, Simba itaingia uwanjani ikiwa imeshinda mechi zake tatu za...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani