VOA yazindua ushirikiano na Equator FM, Kisumu, Kenya
Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika Jumatano ilizindua rasmi ushirikiano wa kimatangazo na Equator FM - radio inayomilikiwa na chuo kikuu cha Maseno mjini Kisumu Kenya. Mkuu wa Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya America Dr. Mwamoyo Hamza akizungumza wakati wa uzinduzi huo Kisumu siku ya Jumatano.
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo28 Oct
VOA YAZINDUA MATANGAZO YA ALASIRI VOA EXPRESS.
![IMG_5776](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/10/img_5776.jpg?w=714)
![IMG_5781](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2014/10/img_5781.jpg?w=714)
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/vKR8mtf*1cpIJxJsV3vBVgPykbs88ydrJp6m-*yVC-G2kROs-DU*ubQX3BwVPoP7IUdA7xexhO9p2-CJ*udgJ1ZIsyFYY5x8/tyson.jpg)
11 years ago
CloudsFM02 Jun
GEOGRE TYSON KUAGWA LEADERS JUMATANO,KUZIKWA KISUMU,KENYA JUNI 7
Mwili wa aliyekuwa mwongozaji na mtayarishaji wa filamu, George Otieno Tyson aliyefariki dunia kwa ajali ya gari mwishoni mwa wiki mkoani Morogoro ambapo mwili wake utaagwa siku ya Jumatano katika viwanja vya Leaders, Kinondoni na kusafirishwa kwenda Kisumu, Kenya na kuzikwa Juni 7.Tyson alifariki dunia Ijumaa usiku akiwa njiani kukumbizwa Hospitali ya Mkoa ya Rufaa Mkoa wa Morogoro kufuatia ajali mbaya ya gari iliyotokea maeneo ya Gairo, Morogoro.
Katika ajali hiyo, mbali na marehemu...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/-nMzymXXjMJ5CgPscjZefT8*-zlHFPmOe0OYFfD3wfJsKO0tX*us3lF0HR5yLa975rQcdOFkilFJ7gYpsJ7hWocXQOmJDVA7/somazaidi.gif)
GEORGE TYSON KUAGWA LEADERS CLUB, KUZIKWA KISUMU NCHINI KENYA
10 years ago
VijimamboWANAHABARI WA VOA WATINGA NAIROBI, KENYA KUHABARISHA ZIARA YA OBAMA NCHINI HUMO
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
SNV yazindua ushirikiano na FINCA kuanziasha mradi wa kuboresha maisha ya vijana 20500 waishio vijijini
Mkuu wa Huduma za Kibenki wa FINCA Tanzania, Bwana Gershom Mpangalah akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa mradi wa kusaidia vijana wa OYE unaofanywa kati ya FINCA na shirika la maendeleo la SNV. Wanaotazama kutoka kushoto ni Mkuu wa Mradi OYE Upande wa Vijana Bwana Awadh Milas, Mkuu wa Miradi ya OYE Tanzania, Mozambique na Rwanda, Bwana Roy Van Der Drift na Mkurugenzi Mtendaji wa FINCA Bwana Ed Greenwood.
Na Mwandishi wetu
Shirika la Maendeleo la Kiholanzi SNV na...
11 years ago
Tanzania Daima27 Feb
Equator SumaJKT kuleta matrekta nchini
KAMPUNI ya Equator SumaJKT imesaini mkataba wa ushirikiano wa kuleta matrekta nchini wenye thamani ya dola milioni 70 na Kampuni ya Farmer kutoka nchini Poland. Akizungumza na waandishi wa habari...
10 years ago
StarTV10 Feb
Ushirikiano Tanzania, Kenya wapunguza ujangili.
Na Ramadhan Mvungi,
Arusha.
Ushirikiano baina ya nchi za Tanzania na Kenya katika kupambana na vitendo vya ujangili kwenye hifadhi za wanyama na mapori ya akiba umeanza kuzaa matunda baada ya takwimu kuonyesha kupungua kwa mauaji ya wanyama wakubwa wakiwemo Tembo, Simba na Twiga kwa kipindi cha miaka minne iliyopita.
Ushirikiano huo unatekelezwa chini ya programu zinazohusisha vijiji vinavyopakana na maeneo ya wanyamapori yaliyohifadhiwa kisheria chini ya uratibu wa shirika la...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/U8LSueg-IYoLPtfYEXffJD8eUw3dJfAxBobjxPqcWx8OY5IXOiX4WghkUi467qXxQ9n8nHOe783BU8DWiTfZnyZ33CBJ6Hu5/1.jpg?width=650)
WAKUU WA SEKTA YA TEHAMA NCHINI KENYA WAKUTANA, WAHIMIZA USHIRIKIANO