Vodacom yashinda tuzo ya Usalama na Afya kazini
Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeshinda tuzo ya nafasi ya kwanza ya Usalama na Afya Mahala pa kazi kwa mwaka 2014 kwa upande wa sekta ya mawasilinao ikiwa ni mara ya kwanza kwa kampuni hiyo kushinda tuzo hiyo tangu ilipoanzishwa mwaka 2000.
Tuzo hiyo inayotolewa na Mamlaka ya Usalama na Afya Mahala pa kazi Nchini (OSHA) imetolewa wakati wa maadhimisho ya kilele cha siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi Duniani ambapo kitaifa ilifanyika jijini Dar es salaam wiki...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziOSHA, WENYE VIWANDA WAJADILI UTEKELEZAJI WA SHERIA YA AFYA NA USALAMA KAZINI
Ujumbe huo wa viongozi kutoka CTI ambao ulijumuisha baadhi ya wawakilishi wa wanachama wa CTI uliongozwa na Mkurugenzi Mtendaji wa shirikisho hilo, Bw. Leodgar Tenga.Akizungumza baada ya kuhitimisha kikao hicho, Tenga amesema madhumuni ya kikao yalikuwa ni...
5 years ago
MichuziDC ayataka makampuni mafuta na gesi kuimarisha mifumo ya usalama na afya kazini
Kaimu Mtendaji Mkuu wa OSHA Bi Khadija Mwenda akiongea kwenye Kikao na wadau wa mafuta na gesi, kwenye kikao cha Kujadiliana masuala ya utekelezaji wa masula ya usalama na Afya kwenye sekta hiyo, kilichofanyika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya...
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ASHUHUDIA KUSAINIWA KWA MAKUBALIANO YA MWENDELEZO WA KAMPENI ZA USALAMA BARABARANI BAINA YA BARAZA LA TAIFA LA USALAMA,JESHI LA POLISI NA VODACOM TANZANIA
9 years ago
Habarileo23 Sep
Mjunita yashinda tuzo ya kimataifa
MTANDAO wa Kijamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (Mjunita), umetangazwa kuwa miongoni mwa asasi 21 zilizoshinda tuzo ya Ikweta (Equator Prize) kwa mwaka huu.
9 years ago
BBCSwahili14 Oct
Picha ya bweha yashinda tuzo ya mwaka
9 years ago
BBCSwahili21 Sep
'Game of thrones' yashinda tuzo za Emmy
10 years ago
Tanzania Daima10 Sep
Bia ya Kibo Gold yashinda tuzo
BIA ya Kibo Gold imechaguliwa kuwa mshindi wa medali ya dhahabu kwa ubora duniani inayotolewa na ‘Monde Selection’. Kibo ilipokea utambulisho huo wa kimataifa katika sherehe za 53 za kila...
10 years ago
MichuziFILAMU YA DOGO MASAI YASHINDA TUZO MAREKANI
FILAMU ya kitanzania ya Dogo Masai iliyotengenezwa na kuongozwa na muongozaji Timoth Conrad ‘Tico’ imeibuka kidedea baada ya kushinda katika tuzo za Silcon Valley African Film Festival (SVAFF) kama Filamu Bora kutengenezwa Afrika (The best African Production Movie ) tuzo hizi zimetolewa California Marekani.
Mtayarishaji wa filamu hiyo Timoth kupitia kampuni yake ya Timamu African Media amesema ushindi huo ni wa Tanzania ndio maana hata kama hakupewa Support na taasisi...
5 years ago
MichuziTANZANIA YASHINDA TUZO YA UTALII NCHINI INDIA
Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Baraka Luvanda (kulia) akipokea Tuzo ya Utalii baada ya Tanzania kuibuka mshindi kwa kuonekana ni eneo bora zaidi la Utalii wa Wanyamapori duniani nchini India kwa mwaka 2020 (The Best International Wildlife Destination) iliyotangazwa katika hafla ya kutoa tuzo hizo zilizotolewa na Jarida la Utalii la "Outlook Traveller Magazine" na kufanyika katika Hoteli ya Rossette jijini New Delhi, India tarehe 22 Februari 2020.
Mhe. Balozi Luvanda akifuatilia...