Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjunita yashinda tuzo ya kimataifa

MTANDAO wa Kijamii wa Usimamizi wa Misitu Tanzania (Mjunita), umetangazwa kuwa miongoni mwa asasi 21 zilizoshinda tuzo ya Ikweta (Equator Prize) kwa mwaka huu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

BIA YA SAFARI LAGER YASHINDA TUZO LA UBORA KIMATAIFA 2014

Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu tuzo iliyopata hivi karibuni ya ubora wa kimataifa Dar es Salaam. Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo akionyesha moja ya tuzo za dhahabu ilizowahi kupata wakati wa mkutano na waandishi wa habari(hawapo pichani) kuhusu tuzo iliyopata hivi karibuni ya ubora wa kimataifa Dar es Salaam.
Kampuni ya Bia Tanzania(TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager leo...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tigo yashinda tuzo ya huduma bora ya kibunifu katika kutuma na kupokea fedha kimataifa

IMG_5163

 

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez.

Tigo Tanzania imeshinda tuzo ya “Huduma Bora ya Kibunifu” kutokana na huduma yake ya kutuma na kupokea fedha kimataifa kati ya Tigo Pesa Tanzania na Tigo Cash Rwanda katika kongamano na maonyesho ya kimawasiliano barani Afrika ijulikanayo kama AfricaCom iliyofanyika Cape Town, Afrika Kusini hivi karibuni.

Meneja Mkuu wa Tigo Tanzania, Diego Gutierrez, alisema kwamba tuzo hii ni matokeo ya kuwa na mwaka wenye mafanikio tele katika huduma zake...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Bia ya Kibo Gold yashinda tuzo

BIA ya Kibo Gold imechaguliwa kuwa mshindi wa medali ya dhahabu kwa ubora duniani inayotolewa na ‘Monde Selection’. Kibo ilipokea utambulisho huo wa kimataifa katika sherehe za 53 za kila...

 

9 years ago

BBCSwahili

Picha ya bweha yashinda tuzo ya mwaka

Picha ya bweha imeshinda tuzo mashuhuri ya Mpiga picha wa Wanyamapori aliye Bora wa Mwaka 2015.

 

9 years ago

BBCSwahili

'Game of thrones' yashinda tuzo za Emmy

Tamasha kubwa la kila mwaka Emmys Awards, la kutoa tuzo kwa vipindi vya televisheni limefanyika mjini Los Angeles Marekani.

 

9 years ago

Vijimambo

NGO YA TANZANIA YASHINDA TUZO YA UMOJA WA MATAIFA

Bi. Helen Clark, Mkuu wa Mfuko wa Maendeleo wa Umoja wa Mataifa ( UNDP) akiwatangaza washindi wa Tuzo ya Ikweta ambayo hutolewa na Umoja Mataifa kwa NGO ambazo zinajihusisha na utunzaji wa mazingira, ulinzi na uhifadhi wa misitu, matumizi bora na endelevu ya ardhi na mali asili na kupiga vita umaskini. Tuzo ya mwaka huu wa 2015 ambayo ni dola za kimarekani 10, 000 kwa kila mshindi inakwenda kwa NGO 21 ambapo NGO ya Tanzania ijulikanayo kama Mtandao wa Jamii wa Usimamizi wa Misitu...

 

11 years ago

Michuzi

Vodacom yashinda tuzo ya Usalama na Afya kazini

Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeshinda tuzo ya nafasi ya kwanza ya Usalama na Afya Mahala pa kazi kwa mwaka 2014 kwa upande wa sekta ya mawasilinao ikiwa ni mara ya kwanza kwa kampuni hiyo kushinda tuzo hiyo tangu ilipoanzishwa mwaka 2000.
Tuzo hiyo inayotolewa na Mamlaka ya Usalama na Afya Mahala pa kazi Nchini (OSHA) imetolewa wakati wa maadhimisho ya kilele cha siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi Duniani ambapo kitaifa ilifanyika jijini Dar es salaam wiki...

 

9 years ago

Dewji Blog

Tigo yashinda tuzo ya mwajiri bora wa mwaka

ATE

Naibu Mkuu wa Rasilmali Watu nwa kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Doris Luvanda akipokea kikombe cha mshindi wa mwajiri bora wa mwaka 2015 kutoka kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Katibu mkuu Dkt Florens Turuka na mwenyekiti wa ATE Almas Maige, Mkuu wa Mkoa wa DSM Said Meck Sadiki na Mkurugenzi wa ATE Dkt Aggrey Mlimuka.

Maadili ya kazi yanayoonyeshwa na wafanyakazi wa kampuni ya simu ya mikononi ya Tigo Tanzania pamoja na juhudi zinazohitajika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani