Vyama 1,268 vyafutwa
Johanes Respichius na Elizabeth Nyambele, Dar es Salaam
SERIKALI imevifuta vyama vya kijamii 1,268 katika daftari la msajili wa vyama kwa kushindwa kutimiza masharti ya usajili wake.
Taarifa ya kufutwa kwa vyama hivyo ilitolewa jana na msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Issac Nantanga, mbele ya waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa wizara hiyo.
Alisema kazi ya kuhakiki vyama hivyo ina lengo la kufuta vyama vyote vilivyoshindwa kutekeleza masharti ya sheria ya vyama (Sura ya 337)...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-xxd9FoaWSeQ/VmrWMw9wLTI/AAAAAAAILro/mFW0JU6NCUY/s72-c/IMG_7369.jpg)
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI YAFUTA VYAMA VYA KIJAMII 1,268
![](http://3.bp.blogspot.com/-xxd9FoaWSeQ/VmrWMw9wLTI/AAAAAAAILro/mFW0JU6NCUY/s640/IMG_7369.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-eaXdoQzNbAo/VmrWM3bUPiI/AAAAAAAILrk/mq7_igWZcDM/s640/IMG_7372.jpg)
Na Zainabu Hamisi, Globu ya Jamii.WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imefuta vyama...
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
#HapaKaziTu! Wizara ya Mambo ya Ndani yavifuta usajili wa vyama vya kijamii 1,268
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Isack Nantanga.(Picha na Maktaba).
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufuta usajili wa vyama 1,208 vya kijamii kati ya vyama 12,665 ambavyo vimesajiliwa katika daftari la msajili wa vyama katika Wizara hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Isaac Nantanga amesema sababu ya kuvifuta vyama hivyo ni kushindwa kufata masharti ya usajili, kushindwa kulipa ada za mwaka na kuwasilisha...
11 years ago
Mwananchi20 Jun
Bodaboda 268 wajifunza
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-oUvQTl0b_1k/VBHeCrjmC-I/AAAAAAAC7sY/s-uiGY5YLjk/s72-c/10683687_491115444359256_3412387166859006512_o.jpg)
Sh. bilioni 268 kutumika Uchaguzi Mkuu mwaka huu
![](http://3.bp.blogspot.com/-oUvQTl0b_1k/VBHeCrjmC-I/AAAAAAAC7sY/s-uiGY5YLjk/s640/10683687_491115444359256_3412387166859006512_o.jpg)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, aliyasema hayo jana wakati akiahirisha Bunge mjini Dodoma na kuongeza kuwa maandalizi ya uchaguzi huo yanaenda vizuri.
Alisema vifaa mbalimbali kwa ajili kuufanikisha uchaguzi huo tayari vimeanza kununuliwa.
Pinda alisema kuwa miongoni mwa maandalizi ya uchaguzi huo ni uandikishaji wa daftari la kudumu la...
10 years ago
Michuzi27 Apr
10 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-4lRkb1_s7OI/VYQrmAV5xgI/AAAAAAAAe4Y/1xFfthN7mro/s72-c/INDIA%2B341.jpg)
INDIA YAIPA TANZANIA MKOPO WA DOLA MIL. 268 KWA AJILI YA MRADI WA MAJI KATIKA MIJI YA TABORA, IGUNGA, NZEGA NA SIKONGE
![](http://3.bp.blogspot.com/-4lRkb1_s7OI/VYQrmAV5xgI/AAAAAAAAe4Y/1xFfthN7mro/s640/INDIA%2B341.jpg)
Na Ally Kondo, Delhi
Serikari za Tanzania na India zimewekeana saini Hati za Makubaliano kwa ajili ya kushirikiana...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yO1JdgjIDGa0Y6kLfZla91oqfmkX7w6XfoZdF-i6o-K1i5EBO8j9GeqCxhzlIQnp3-EF77F3P4P-9rBrLEwU3ArjG3ZGt48n/1.jpg?width=650)
10 years ago
Habarileo15 Dec
Wasira: Vyama vya upinzani nchini ni vyama vya matukio
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Uratibu na Uhusiano, Stephen Wasira amewaambia wananchi wa Tarime katika kampeni za CCM kuhitimisha mikutano ya Serikali za Mitaa mwishoni mwa wiki kuwa vyama vya upinzani ni vyama vya matukio.
9 years ago
VijimamboMSAJILI WA VYAMA VYA SIASA ATAJA VYAMA VYA SIASA VYENYE USAJILI WA KUDUMU AMBAVYO VINASTAHILI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU