Waagizwa kufunga viakisi mwanga
JESHI la Polisi nchini limetoa muda wa miezi miwili kwa wamiliki wa vyombo vya moto vyenye ukubwa kuanzia tani tatu na nusu kuhakikisha wanabandika viakisi mwanga.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Dewji Blog22 Oct
CCM kufunga kampeni zake kwa kishindo, Magufuli, Mgombea mwenza na Rais Kikwete kufunga kampeni Mkoani Mwanza
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwa kwenye gari pamoja na Mgombea mwenza (picha ya Maktaba yetu wakati wa kampeni zinazoendelea za wagombea hao).
CCM inapenda kutoa taarifa kuhusu masuala kadhaa kwa wanachama, wapenzi na mashabiki wake na kwa umma wa Watanzania.
Kufunga Kampeni
CCM itafunga kampeni zake kwa utaratibu mpya na kwa kishindo. Kampeni za CCM zitafungwa Kitaifa kwa mikutano mikubwa ya kampeni katika mikoa mitano. Mikutano hiyo itaongozwa na viongozi...
10 years ago
BBCSwahili18 May
Wavuvi waagizwa kutowasaidia wahamiaji
11 years ago
Habarileo17 Mar
Polisi waagizwa kuacha rushwa
POLISI wametakiwa kubadili tabia kwa kujiepusha na vitendo vya kudai na kupokea rushwa kutoka kwa watu wenye matatizo, yanayohitaji huduma za kipolisi. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo Ufuatiliaji na Tathimini cha Jeshi la Polisi nchini, Naibu Kamishna (DCP) Mpinga Gyumi.
11 years ago
Habarileo04 May
Makandarasi waagizwa kufuata utaratibu
NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla amewataka makandarasi wanaofanya kazi katika wilaya ya Mvomero kufuata utaratibu uliowekwa na Baraza la Madiwani la kuwataka wapitie Serikali za vijiji kabla ya kuanza kazi .
9 years ago
Habarileo12 Dec
Madiwani waagizwa kusimamia maliasili
BARAZA jipya la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, limetakiwa kushiriki kikamilifu kuzuia uvamizi wa Hifadhi ya Wanyamapori ya Wami Mbiki na Msitu wa Kuni kwa kuwahimiza wananchi kufuga kisasa zaidi.
9 years ago
Habarileo16 Dec
Ma-RC, DC waagizwa kuzoa taka zilizolundikwa
WAKUU wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini wametakiwa kuhakikisha takataka zote zilizolundikwa wakati wa kazi ya usafi iliyofanyika Desemba 9, nchini kote zinaondolewa.
9 years ago
BBCSwahili05 Nov
Wakenya 20 waagizwa kuondoka Somalia
9 years ago
Habarileo31 Dec
Wakimbizi waagizwa kusalimisha silaha
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa wakimbizi kutoka nchi za Maziwa Makuu kusalimisha silaha wanazozimiliki isivyo halali sambamba na kuwafichua wakimbizi wenzao watakaoingia kambini na silaha na kujihusisha na vitendo vya ujambazi.
10 years ago
Habarileo25 Aug
Tanesco waagizwa kupeleka madaraka chini
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini, Eliakim Maswi, ametaka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuanzisha mfumo wa kupeleka madaraka ngazi ya chini.