Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakenya 20 waagizwa kuondoka Somalia

Mahakama nchini Somalia imewaagiza Wakenya 22 waliopatikana na hatia ya kuwa huko kinyume cha sheria kuondoka nchini humo.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Wakenya 12 wauawa mpakani na Somalia

Kenya imethibitisha kuwa watu 12 wameuawa katika mpaka wa nchi hiyo na Somalia, katika shambulio lililofanywa na Al shabaab.

 

9 years ago

Habarileo

Madiwani waagizwa kusimamia maliasili

BARAZA jipya la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, limetakiwa kushiriki kikamilifu kuzuia uvamizi wa Hifadhi ya Wanyamapori ya Wami Mbiki na Msitu wa Kuni kwa kuwahimiza wananchi kufuga kisasa zaidi.

 

11 years ago

Habarileo

Makandarasi waagizwa kufuata utaratibu

NAIBU Waziri wa Maji, Amos Makalla amewataka makandarasi wanaofanya kazi katika wilaya ya Mvomero kufuata utaratibu uliowekwa na Baraza la Madiwani la kuwataka wapitie Serikali za vijiji kabla ya kuanza kazi .

 

10 years ago

BBCSwahili

Wavuvi waagizwa kutowasaidia wahamiaji

Wavuvi kutoka Indonesia wamesema kuwa wameamriwa na Serikali kuwa wasiwalete wahamiaji wanaopatikana wakielea kwenye vyombo baharini

 

9 years ago

Habarileo

Wakimbizi waagizwa kusalimisha silaha

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa wakimbizi kutoka nchi za Maziwa Makuu kusalimisha silaha wanazozimiliki isivyo halali sambamba na kuwafichua wakimbizi wenzao watakaoingia kambini na silaha na kujihusisha na vitendo vya ujambazi.

 

9 years ago

Habarileo

Ma-RC, DC waagizwa kuzoa taka zilizolundikwa

WAKUU wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini wametakiwa kuhakikisha takataka zote zilizolundikwa wakati wa kazi ya usafi iliyofanyika Desemba 9, nchini kote zinaondolewa.

 

9 years ago

Habarileo

Waagizwa kufunga viakisi mwanga

JESHI la Polisi nchini limetoa muda wa miezi miwili kwa wamiliki wa vyombo vya moto vyenye ukubwa kuanzia tani tatu na nusu kuhakikisha wanabandika viakisi mwanga.

 

11 years ago

Habarileo

Polisi waagizwa kuacha rushwa

POLISI wametakiwa kubadili tabia kwa kujiepusha na vitendo vya kudai na kupokea rushwa kutoka kwa watu wenye matatizo, yanayohitaji huduma za kipolisi. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Kitengo Ufuatiliaji na Tathimini cha Jeshi la Polisi nchini, Naibu Kamishna (DCP) Mpinga Gyumi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wakimbizi Kenya waagizwa kurudi kambini

Wakimbizi wote wanaoishi nje ya kambi za Kakuma na Dadaab wametakiwa kurudi katika kambi hizo haraka iwezekanavyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani