Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAANDISHI KUNOLEWA VITA DHIDI YA UPANGAJI MATOKEO MPIRANI

waandishi+wa+habari Na Boniface Wambura, Dar es salaamTaasisi moja kutoka Uingereza inayohusika na kampeni dhidi ya upangaji matokeo kwenye mpira wa miguu (match fixing) itafanya uwasilishaji (presentation) juu ya suala hilo kwa waandishi wa habari za michezo nchini. Uwasilishaji huo utafanyika kesho (Julai 5 mwaka huu) saa 11 jioni kwenye hoteli ya Accomondia iliyopo Barabara ya Nkrumah jijini Dar es Salaam. Wataalamu hao wa kupiga vita upangaji matokeo ambao pia wataelezea jinsi matokeo yanavyopangwa, jana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Waandishi wa Sheria mbioni kunolewa zaidi

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki akiagana na Naibu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Maendeleo (UNDP) Bi. Mandisa Mashologu (kulia) alipomtembelea Naibu Waziri ofisini kwake, Mtaa wa Mkwepu, jijini Dar es Salaam leo (Jumatatu, Mei 19, 2014). Katikati ni Mkurugenzi Mkazi wa UNDP Bw. Philippe Poinsot. Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Umoja wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Wasimamizi kunolewa wasicheleweshe matokeo

Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema itatoa mafunzo kwa wasimamizi wa uchaguzi na makamanda wa polisi wa mikoa na wilaya kabla ya Oktoba 25.

 

10 years ago

BBCSwahili

Kesi ya upangaji matokeo kutolewa na FIFA

Matokeo ya uchunguzi wa tuhuma za upangaji matokeo zinazowakabili waamuzi watatu wa Tanzania yatatolewa na shirikisho la dunia, FIFA .

 

10 years ago

Vijimambo

FIFA yachunguza upangaji matokeo Tanzania

Boniface Wambura, Mkurugenzi wa Mashindano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).
Ujumbe wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) upo nchini kuchunguza tuhuma za upangaji matokeo, imefahamika.

Boniface Wambura, Mkurugenzi wa Mashindano wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), alisema jana kuwa waamuzi waliosimamishwa na TFF pamoja na watu wengine watahojiwa na ujumbe huo. Matokeo ya uchunguzi huo yatatangazwa na FIFA baada ya shughuli hiyo kukamilika.

"Tunaendelea kuwahimiza wanafamilia wa mpira...

 

10 years ago

Mwananchi

Vita dhidi ya ebola ni mapambano dhidi ya adui asiyeonekana

Tangu kuzuka kwa ugonjwa wa ebola nchini Guinea mwezi Machi mwaka huu, watu 2,500 wamefariki dunia kutokana na virusi vyake, zaidi ya nusu ni raia wa Liberia.

 

10 years ago

Habarileo

Waandishi waaswa kupiga vita rushwa

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeWAANDISHI wa Habari wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wametakiwa kutumia kalamu zao kupambana na rushwa sambamba na kusisitiza demokrasia na utawala bora katika nchi zao.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya Al Shabaab

Majeshi ya Umoja wa Afrika ya Kulinda amani nchini Somalia yameshambuiwa na bomu la kutegwa kando ya barabara katika mji wa Kismayo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Vita dhidi ya Tumbaku

Tumbaku huchangia asilimia kumi ya pato la kitaifa la Zimbabawe.Nchini Malawi huwa ni asilimia 15.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uingereza yajiunga na vita dhidi ya IS

Uingereza itajiunga na kampeni ya mashambulizi nchini Iraq baada ya wabunge wengi wa taifa hilo kuunga mkono hatua hiyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani