Waandishi wakumbushwa kuandika mambo ya msingi
WAANDISHI wa habari nchini wamekumbushwa kuwa wajibu wao si kuilaumu serikali kunapokuwa na mkanganyiko fulani, badala yake wanapaswa kusahihisha kwa kuandika mambo ya msingi yanayosaidia kujenga.
habarileo
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-t4hruq-QPhs/Xux8qOVGbVI/AAAAAAALuj4/QALD5HWKBB0ywEZkUUzFFg2bCFPXjlzAACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200613_122126_145.jpg)
WAANDISHI WA HABARI WAOMBWA KUANDIKA MAMBO MAZURI YANAYOFANYWA NA SERIKALI
![](https://1.bp.blogspot.com/-t4hruq-QPhs/Xux8qOVGbVI/AAAAAAALuj4/QALD5HWKBB0ywEZkUUzFFg2bCFPXjlzAACLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200613_122126_145.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-0QaQPcsSlBk/Xux8plXC01I/AAAAAAALuj0/nKEOzaU17VoEqTIk77F-L2LZd7i4WJwqQCLcBGAsYHQ/s640/IMG_20200613_133830_193.jpg)
9 years ago
Habarileo16 Sep
Waandishi wakumbushwa kujielimisha rushwa
WAANDISHI wa habari wametakiwa kujielimisha zaidi juu ya sheria mbalimbali za uchaguzi ili watambue ni mambo gani ambayo mgombea akiyafanya kwa wapiga kura inahesabika kuwa ni rushwa na yapi sio rushwa.
10 years ago
Dewji Blog18 Mar
Serikali yahimiza Waandishi nchini kuandika habari kwa kubobea kwenye Sekta
Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Juma Nkamia.
Na Johary Kachwamba-MAELEZO, DODOMA
SERIKALI imewashauri Waandishi wa Habari nchini kuchagua na kubobea katika sekta mbalimbali maalum ili kuinua kiwango cha taaluma ya habari na kuwapa wananchi taarifa muhimu kwa umakini zaidi katika nyanja husika ili kuleta maendeleo ya taifa.
Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Juma Nkamia alipokuwa akijibu swali la msingi la Mhe. Haroub...
11 years ago
Dewji Blog19 Jun
Ufisadi, madawa ya kulevya na mauaji ya tembo vimewafanya waandishi kuacha kuandika habari za maendeleo — Muhanika
Katibu Mtendaji wa Wamiliki wa Vyombo vya Habari nchini (MOAT), Henry Muhanika akizungumza na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini wakati wa kufunga mafunzo hayo ya siku pili mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam, Kushoto ni Mhadhiri kutoka Shule ya Uandishi wa habari na Mawasiliano ya Umma (SJMC) Dkt Ayoub Rioba na Kulia ni Mratibu wa THRDC, Onesmo Olengurumwa.
Na Damas Makangale, MOblog Tanzania
MATUKIO ya kihalifu kama vile ufisadi, rushwa, uigizaji na usafirishaji wa...
9 years ago
StarTV04 Dec
Waandishi wa habari wajengewa uwezo Mtwara kuandika Habari Za Gesi Na Mafuta
Mradi wa kuwajengea uwezo waandishi wa habari wanaoandika habari za gesi na mafuta katika nchi tatu za Afrika, Tanzania, Uganda na Ghana unaoendeshwa na chama cha waandishi wa habari za Mazingira JET pamoja na wadau wengine umeanza kuzaa matunda baada ya kuwepo kwa ongezeko la habari zinazogusa sekta hiyo mpya hapa nchini.
Katika awamu ya pili ya mafunzo hayo kwa waandishi wa habari wanane wa Tanzania ambao hapo awali walihudhuria mafunzo hayo mjini Accra Ghana, imebainishwa kuwa tangu...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-xESQbmuxWTA/XtYDuk9aurI/AAAAAAALsSY/s8_Z-3oytzQUZ8YaBz3PaZU6YQn0yhsDQCLcBGAsYHQ/s72-c/16513870_101.jpg)
JET YAENDELEA KUWANOA WAANDISHI WA HABARI KUANDIKA HABARI ZINAZOHUSU UHIFADHI WA MAZINGIRA,WANYAMAPORI
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
CHAMA cha Waandishi wa Habari za Mazingira Tanzania(JET) imevikumbusha vyombo vya habari nchini kuwa vinavyo nafasi kubwa ya kuwezesha watunga sera kutunga sera zitakazosaidia kukabiliana na biashara haramu ya wanyama pori pamoja na ujangili.
Kwa upande wa jamii nayo imeelezwa wanalo jukumu la kushirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya uhifadhi wa mazingira na wanyamapori kusimama imara katika kukomesha uharibifu wa mazingira na zaidi biashara haramu ya...
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Mambo ya msingi katika Kiswahili
9 years ago
Mwananchi15 Oct
Mambo ya msingi katika uandishi wa Kiswahili
10 years ago
Mwananchi25 Dec
Mambo ya msingi kuzingatia katika uchanganuzi wa masoko