Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Waasi’ sasa tishio kwa wananchi Tabata

Wakazi wa Tabata na viunga vyake, sasa wanaishi kwa wasiwasi mkubwa kutokana na kuibuka kwa kundi la vijana, wanaojiita Waasi wakitumia silaha za jadi, kujeruhi watu na kupora mali nyakati za usiku.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Typhoid isiyotibika sasa ni tishio

Shirika la Afya Duniani (WHO), linaripoti kuwa kila mwaka watu 222,000 wanakufa kati ya 21 milioni wanaugua ugonjwa ya homa ya matumbo maarufu kwa jina la kitaalamu, typhoid.

 

10 years ago

GPL

MAUAJI YA POLISI SASA TISHIO

Makongoro Oging’ na Haruni Sanchawa HALI ni tete! Matukio ya mauaji ya askari polisi sasa ni tishio. Hilo limebainika kufuatia Mkuu wa Kikosi cha Kupambana na Majambazi Mkoa wa Morogoro, ASP Elibariki Israel Palangyo (53) kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wenye harufu ya ugaidi, Uwazi limechimba.  ....Soma zaidi===>http://bit.ly/1hv1WxB ...

 

10 years ago

Vijimambo

WANANCHI WAASI, WAWASHAMBULIA WATENDAJI, VIONGOZI

Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue
Takribani wiki moja baada ya Ikulu kukana Rais Jakaya Kikwete, kuagiza watumishi wa serikali kuchangishwa fedha na Chama cha Walimu Tanzania (CWT) na watumishi wengine wa serikali kupinga walimu kukatwa mishahara kuchangia ujenzi wa maabara za shule za sekondari nchini, baadhi ya wananchi mkoani Singida wameasi na kuwashambulia na kuwajeruhi viongozi wa serikali waliokuwa wakitekeleza mpango huo.

Wananchi hao wanadaiwa kuwashambulia na kuwajeruhi...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tishio la EBOLA, wananchi wakae chonjo

ebola_QT1_1433[1]

Pichani ni baadhi ya  Daktari wakiwa wamembeba mgonjwa wa EBOLA picha kwa hisani ya Mtandao.

Na Hannah Mayige,  wa Chuo Kikuu Huria, OUT

TISHIO la ugonjwa wa Ebola unaoendelea kuuwa mamia ya watu Afrika Magharibi, umezua wasiwasi  mkubwa   kwa nchi za Afrika  na  dunia nzima  kwa  ujumla na kutakiwa watanzania kuchukua tahadhari  kubwa kudhibiti ugonjwa huo usiingie nchini.

Lazima  Serikali na wananchi  wazingatie masharti na tahadhari inayotolewa kimataifa kuudhibiti ugonjwa na utayari...

 

11 years ago

GPL

MAANDALIZI YA MISS TABATA NDANI YA DA' WEST TABATA USIKU HUU

Mabango ya Global Publishers ambao ni mojawapo ya wadhamini wa Miss Tabata 2014 yakiwa ndani ya Da' West, Tabata. Baadhi ya wananchi walioanza kuingia ukumbini kwa ajili ya kumshuhudia Miss Tabata 2014 usiku huu.…

 

11 years ago

Mwananchi

Kwa nini malaria ni tishio kwa mama mjamzito?

‘Wekeza kwa maisha ya baadaye, ishinde Malaria’ hii ni kauli mbiu ya mwaka huu katika maadhimisho ya siku ya Malaria duniani ambayo inaadhimishwa leo duniani kote.

 

11 years ago

GPL

KINACHOENDELEA MSIBANI KWA MZEE SMALL, TABATA

Waombolezaji wakiwa msibani kwa Mzee Small, Tabata jijini Dar.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sasa ni vita ya serikali na wananchi

TANGU kuzaliwa kwa mfumo wa vyama vingi nchini Tanzania mwaka 1992 hali ya kisiasa imekuwa ya mvurugano. Watawala ambao ni CCM wamekuwa wakilinda nafasi yao ili isichukuliwe na wapinzani wao....

 

9 years ago

Mwananchi

Tchetche, 3-5-2 tishio kwa Yanga

Kocha mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amesema hana wasiwasi na mfumo wa 3-5-2 unaotumiwa na Azam FC tayari ameshapata mbinu ya kuwamaliza katika mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani