Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAATUMISHI MIZANI WAASWA KUJIEPUSHA NA RUSHWA


 Muonekano wa barabara ya Sumbawanga- Matai- Kasanga Port (Km 117), kwa kiwango cha lami. Barabara hii imefikia asilimia 94.6 na inatarajiwa kukamilika mwezi Juni mwaka huu.Muonekano wa mizani ya Matai, mkoani Rukwa. Utekelezaji wa ujenzi wa mizani hii umefikia asilimia 99.PICHA NA WUUM
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi),...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

WAASWA WATUMISHI WA SERIKALI MIPAKANI KUTOISALITI NCHI YAO KUJIEPUSHA NA UGONJWA WA CORONA

Katika hali ya kupambana na maambukizi ya ugonjwa unaosababishwa na virusi vya Corona, Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo amewataka maafisa uhamiaji pamoja na watumishi wengine katika bandari za mkoa huo pamoja na mpaka wa nchi kavu kuacha tabia ya kupokea rushwa kutoka kwa wageni hasa katika kipindi hiki ambacho ni hatari kwa nchi.
Mh. Wangabo amewataka watumishi hao kufanya kazi kwa uadilifu mkubwa kwani kuwapitisha wageni hao kwa kutumia rushwa kutasababisha nchi itaingia kwenye...

 

5 years ago

Michuzi

Watumishi wa Serikali mipakani waaswa kutoisaliti nchi yao kujiepusha na ugonjwa wa Corona.








Bandari ya Kabwe, Wilayani Nkasi, Mkoani Rukwa

Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo pamoja na Kikosi cha Ulinzi na Usalama Mkoa akitoa maelekezo baada ya kuiona nyumba itakayotumika kwaajili ya kuhifadhi wageni kwa siku 14 katika bandari ya Kabwe.

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo (katikati) akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Mh. Said Mtanda (kushoto) pamoja na msimamizi wa Bandari ya Kabwe Mohamed Issa (Kulia) na wengineo wakati wakiingia katika lango kuu la bandari hiyo...

 

10 years ago

Habarileo

Rushwa yatimua 400 mizani

WAZIRI wa Ujenzi Dk John Magufuli WAZIRI wa Ujenzi Dk John Magufuli amevitaka vyombo vya dola kuingilia kati suala la rushwa kwenye vituo vya mizani za kupimia uzito wa magari yanayosafirisha mizigo, akisema rushwa hiyo imekithiri.

 

9 years ago

Dewji Blog

Maafisa Wahasibu na wataalamu wa manunuzi na ugavi nchini watakiwa kujiepusha na vishawishi vya rushwa!

SAM_0202

KatibuMkuu Wizara ya Fedha,Bwana Servacius Likwelile akizungumza na wahitimu  wa taasisi ya Uhasibu kampas za Mwanza,Kigoma na Singida(Picha zote Na,Jumbe Ismailly) Na.Jumbe Ismailly [SINGIDA] Maafisa  Wahasibu pamoja na Wataalamu wa manunuzi na ugavi nchini wametakiwa kujiepusha na vishawishi au vitendo vya rushwa na ubadhirifu wawapo makazini,kutokana na vitendo vya rushwa na ubadhirifu kuwa na madhara makubwa kwa maisha ya mtu mmoja mmoja na uchumi wa taifa kwa ujumla.Katibu Mkuu Wizara...

 

5 years ago

Michuzi

Serikali yatoa wito wananchi kujiepusha na rushwa wakati huduma za afya-Dkt. Subi


Na Chalila Kibuda ,Globu ya Jamii

SERIKALI imetoa wito kwa wananchi kuacha kutoa rushwa kwa wahudumu wa afya pindi wanapopatiwa huduma kwani kutoa kutoa huduma ni wajibu wao.

Hayo ameyasema  Mkurugenzi wa Huduma za Kinga wa Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto  Dkt. Leonard Subi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Wanawake Wanataka Nini inayoratibiwa na Muungano wa Utepe Mweupe wa Uzazi Salama Tanzania ikiwa ni maadhimisho ya Utepe Mweupe Tanzania ambayo hufanyika Kila Machi...

 

11 years ago

Habarileo

Rushwa nje nje mizani ya Wenda

BAADHI ya watumishi katika Kituo cha Mizani cha Wenda mkoani hapa, wanadaiwa kuendelea kupokea rushwa kutoka kwa madereva wa magari makubwa. Wanafanya hivyo licha ya kufungwa kamera ya CCTV, kubaini wanaohusika katika vitendo hivyo.

 

10 years ago

Habarileo

Waandishi waaswa kupiga vita rushwa

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard MembeWAANDISHI wa Habari wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wametakiwa kutumia kalamu zao kupambana na rushwa sambamba na kusisitiza demokrasia na utawala bora katika nchi zao.

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAFANYAKAZI NFRA WAASWA KUPAMBANA NA RUSHWA KWA VITENDO


Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara ya Kilimo Bi Hilda Kinanga akisisitiza jambo wakati akimuwakilisha Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo Ndg Gerald Kusaya kwenye ufunguzi wa Baraza la wafanyakazi lililofanyika leo tarehe 21 Mei 2020 katika ukumbi wa mikutano wa chuo cha Ujenzi Mkoani Morogoro. Wengine pichani ni Mwenyekiti wa Baraza la wafanyakazi ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA Ndg Milton Lupa (Kulia) na Mwenyekiti wa Chama cha...

 

10 years ago

Habarileo

Salma awataka mabinti kujiepusha na ngono

WANAFUNZI wametakiwa kujiepusha na vitendo vitakavyowasababisha kupata maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) na mimba za utotoni, jambo litakalowafanya wakatize masomo na hivyo kutotimiza ndoto za maisha yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani