Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wabunge hawataki kuondolewa madarakani

NI wazi kwamba wabunge hawataki Katiba iwape nguvu wananchi ya kuwaondoa madarakani pale wanaposhindwa kutekeleza majukumu yao, kutokana na jana kamati karibia zote ambazo ziliwasilisha taarifa zake zimependekeza ibara hiyo iliyoko kwenye rasimu ya Katiba ifutwe.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Nape afurahia mawaziri kuondolewa madarakani

>Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ameeleza kupokea kwa faraja, hatua ya mawaziri wanne kuenguliwa nyadhifa zao kwa ridhaa ya Rais Jakaya Kikwete.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa: Wapinzani hawataki kuvunja Muungano

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amewataka Watanzania kufahamu kuwa hakuna chama cha upinzani chenye lengo la kuvunja Muungano. Alisema maneno yanayoelezwa na wafuasi...

 

11 years ago

KwanzaJamii

Miaka 41 Sasa Hawataki Kuhamia Dodoma

PAMOJA na kujinasibu kwamba Dodoma ndiyo Makao Makuu ya Serikali ya Tanzania, lakini inaonekana dhana hiyo ni ya kufikirika ambayo imejawa na matumizi makubwa ya fedha za walipa kodi kwa miaka 39 sasa. Mwandishi Wetu DANIEL MBEGA anachambua kwa kina suala hilo na nini Watanzania wategemee. “MAJENGO yanazidi kufumuka kama uyoga, lakini viongozi wa serikali wanapenda anasa na kuamua kubaki Dar es Salaam upepo wa Pwani unakovuma, hawataki kuja kula vumbi la huku Dodoma,” Elibariki Njau (64)...

 

10 years ago

BBCSwahili

Goa hawataki wapenzi kubusiana hadharani

Kijiji kimoja nchini India kilichoko pwani ya Goa kimeweka sheria ya kuzuia wanandoa ama wapenzi kubusiana hadharani .

 

10 years ago

Mtanzania

Utafiti: Watanzania hawataki Serikali kuingilia vyombo vya habari

Elias Msuya, Dar es Salaam
ASILIMIA 65 ya Watanzania wanapenda kuona vyombo vya habari vikichunguza ufisadi unaofanyika serikalini.
Hayo yamo katika ripoti ya Afrobarometer ya mwaka 2014, inayotolewa na Taasisi ya Utafiti wa Maendeleo na Kuondoa Umaskini (Repoa).
Ripoti hiyo, imekuja wiki chache baada ya Bunge la Tanzania kupitisha miswada ya Makosa ya Mtandao na Sheria ya Takwimu katika habari za mwaka 2015, zinazokosolewa na wadau, huku wakimshinikiza Rais Jakaya Kikwete asitie saini ili...

 

10 years ago

BBCSwahili

Blaise Campaore:Nitasalia madarakani

Rais Blaise Compaore wa Burkina Faso amesema atasalia madarakani kwa kipindi cha mpito cha miezi 12

 

10 years ago

BBCSwahili

Salva Kiir atabaki zaidi madarakani

Sudan Kusini yaahirisha uchaguzi uliotarajiwa kufanywa kati ya mwaka kwa sababu yataka muda kujadili amani

 

10 years ago

Habarileo

Lipumba- Ni vigumu kuiondoa CCM madarakani

CHAMA cha Wananchi (CUF) kimekiri kwamba ni vigumu kuondoa Chama Cha Mapinduzi (CCM) maradakani bila kuwa na umoja na mshikamano baina ya wanachama na viongozi.

 

10 years ago

Mwananchi

Spika Eala ang’olewa madarakani

Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala), jana walimng’oa madarakani Spika, Dk Margret Zziwa baada ya kukubaliana na mapendekezo ya Kamati ya Sheria, Kanuni na Madaraka ya Bunge kuwa amepoteza sifa za kuendelea kushikilia wadhifa huo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani